Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nawasikiliza hawa jamaa, ni wapuuzi kweli. Yaan refa kushindwa kustahimili mchezo kisa presha na ujanja wa wachezaji na mashabiki Kwao wanaona ipo poa tu.
0 Reactions
27 Replies
2K Views
Nadhani dozi hii hakuwa kwaajili ya watu kama ruvu ni kwamba imetokea kwasababu ya rivers najisikia vibaya sana aise 😅. Sio mbaya lakini wataizoea kidogo kidogo wakishindwa tutafutiwe ligi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Simba sc nawaonya kuwa Kocha Hitimana hawezi kufundisha mpira. kuwa na vyeti siyo kujua mpira ,hivyo chonde chonde ni Bora kumuachia Matola afanye kazi hiyo huku tukisubiri apatikane kocha mpya.
0 Reactions
6 Replies
874 Views
Kwa kweli Ruvu Shooting mlionyesha kiwango cha juu sana kimchezo katika mechi yenu na UTO ila tu bahati mbaya ile red card iliwatoa mchezoni. Na baada hapo ndipo UTO waka-take advantage ya...
1 Reactions
7 Replies
933 Views
Kuna watu mbali mbali wanaosambaza uongo kwa kuweka mlinganisho wa mechi nne msimu uliopita dhidi ya mechi nne za msimu huu kisha akahitimisha kuwa Simba imeimarika tofauti na msimu uliopita...
8 Reactions
28 Replies
2K Views
Niwaombe wana Jamii Forum wasaidie kufikisha ujumbe huu kwa kiongozi yoyote wa SSC kama wapo humu. Madam Barbara : Tatizo la Simba ni moja tu fanyia kazi hili haraka sana, 1: Mpaka muda huu...
2 Reactions
43 Replies
4K Views
Katoa red cad kimakosa halafu pia katoa penalty kimakosa. Wataalamu wa soka karibuni kwa maoni yenu, ushabiki tuuweke pembeni
0 Reactions
83 Replies
6K Views
Jamani kwa kikosi hiki kibovu walichonacho Makolos SC leo SAA 1 usiku naiomba draw tu match dhidi ya Namungo. Namungo nipeni raha jamani, kama hotel nzuri tumeshawalipia tayari tena ni Serena...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Kuna Timu kwa nia njema tu naionya kwakuwa bado ina Jeraha la Kufungwa mara mbili Dar es Salaam na Port Harcourt isikubali Kucheza Mchezo wake wa Ngao ya Hisani (Jamii) na Simba SC tarehe 25...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
85% ya Maisha yake akitokea Kwake Mbweni kuja Mjini huku Kushinda muda Wote utamkuta amekaa na Watu tena Matajiri wa Timu ambayo leo anacheza nao Saa 12 na Robo Jioni pale Temeke Mkapa Stadium.
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Habari za wakati huu wakuu..Hopeful mko poa,,Mimi in shabiki mkubwa sana na mchezaji pia wa mpira wa Kikapu..Karibuni kwenye Uzi huu mahususi kabisa kwa Mpira wa kikapu kwaajili ya kupeana...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Nilikuwa naangalia mechi baina ya Yanga na Ruvu na mpira ulikuwa umebalance huku Ruvu wakimiliki mchezo vyema hadi pale referee kwa mapenzi binafsi alipoamua kuharibu mpira kwa kuwazawadia Yanga...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Siku nitakayokutana na Muhammad Ali nitamkimbilia kisha nitamwambia "Ahsante sana,Ahsante Sana, Ahsante Sana Muhammad Ali kwa kumbukumbu uliotuachia hakika uliitendea haki mikono yako"...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Simba imepoteza uimara uwanjani kabisa.inacheza as if wanacheza ndondo hawana mipango hawana maamuzi. Tulishazoea Simba vs coastal ni mechi ya magoli mengi lakini leo hii Coastal anamiliki mpira...
7 Reactions
101 Replies
8K Views
Title inajieleza, wajuzi mtujuze, nakumbuka zamani ilikua. je ni.ufinyu wa mashabiki hawatatosha ama? Kwa maana uwezo wake ni watu 10000 na baadhi ya mechi Taifa za Azam vs Yanga/Simba ni...
1 Reactions
3 Replies
733 Views
Kinda la Utopolo fc lenye miaka 21 hapa linaonekana katika picha likiwa kama mwamuzi msaidizi likiwa na miaka 15 tu , linaitwa Kibwana shomari
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habarini za mda huu. Napenda kuuliza ni nini kilimfanya CAPTAIN wa Sasa wa AZAM kuchange jina? Mwaka Jana alikuwa anaitwa SOMEBODY BRAYSON Kama sikosei saivi namuona anaitwa SOSPETER...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING Katibu Mkuu wa UVCCM Ndg Kenan Kihongosi ashiriki JOGGING maalum ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza wana CCM Vyuo SENATE iliyoandaliwa na...
0 Reactions
8 Replies
883 Views
Nchi yetu imejaliwa kuwa na mikoa takribani 30 kwa sasa, na mfumo wa michezo inayosimamiwa na TFF unahusisha mikoa yote ya Tanzania bara, hata hivyo kuna mikoa ambayo huwezi kusikia ina timu...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
BIla kupepesa macho, kama alivosema mwenyekiti wao wa Zamani, Ismael Aden Rage kwamba mashabiki wa Simba ni Mbumbumbu, Mo ameona awasajilie mchezaji legelege, mchezaji amelegea kama urojo wa...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…