Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kwanza kabisa nitangaze interest yangu mimi ni muumini wa mpira wa pasi zote ndefu na fupi na matokeo uwanjani yaonekane.Kwa miaka mingi sana yanga imekua na utamaduni wa kutumia pasi ndefu na...
-1 Reactions
50 Replies
4K Views
El Fenómeno - Ronaldo Lima Between The Age of 16 to 21 was UNREAL. 🤯🔥 — Scored 186 Goals & was Involved in 225+ Goals for Club & Country in His First Five Seasons as a Professional Player. 🥵🔥 —...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
1. Ikubali kuwa Msimu huu Yanga SC imesajili vyema na imedhamiria Kivitendo kufanya vyema na kuwa Mabingwa wa NBC Premier League.. 2. Ikubali kuwa Msimu huu imesajili Kimihemko na vibaya zaidi...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Tukio lililotokea Jana linafanana kabisa na la leo kwenye mechi ya Simba vs coastal union. Mchezaji wa Coastal union kachezewa faulo ndani ya 18 lakini refa hakufunika tuta. Jana mlipiga kelele...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Siku zote ambazo simba imekua ikipoteza mechi au ikifanya vibaya baadhi ya mashabiki na viongozi 'huwaga' wanatoa madai ya kujuhumiwa. Walianza kumsimamisha Said Tully kwa madai hayo hayo ya...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
THE MOTHER OF COINCIDENCEs! 🤯 Cristiano Ronaldo & Didier Drogba are The Oldest Players Ever to Both - Score & Assist a Goal in a Single Premier League Game — Both of them were Exactly The Same...
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Nafikiri tutaendelea kuelewana mdogo mdogo kwa wale mashabiki oya oya wa simba ambao ni mbumbumbu wa kuiangalia timu yao kiufundi Ina matatizo gani, sasa aya yanayotokea sio kwa bahati mbaya bali...
6 Reactions
30 Replies
2K Views
Kama timu itapoteza mechi yake dhidi ya Yanga ya sasa ijue kuwa sio uzembe wa kocha, wachezaji Wala viongozi, imefungwa na timu Bora nchini kwa msimu huu wa 21/22. Hivyo ni kosa kuwa kuchukuwa...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Timu ngeni hazitaki kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo viwanjani kwa kuhofia hujuma. TFF msipuuzie jambo hili, lisemwalo lipo kama halipo linakuja. Lazima Kuna ukweli fulani, kwani timu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiona Yanga wanapata goli moja msiwabeze kwa kuwaona wabovu kwa kushinda goli moja moja. Kutumbukiza goli wavuni na kupata point tatu sio kazi ndogo. Simba imecheza dhidi ya Biashara wakahaha...
9 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimetazama mechi za simba dhidi ya Coastal union leo na nimegundua yafuatayo: simba haina mipango ya ufundi utafutaji wa goli. Sawa kuna juhudi ila kila sriker inapaparika huoni mbinu, akili...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Pamoja na kundi la upande wa pili jana kusubiria kwa hamu kutwa nzima ya jana eti yanga ingeenda kupoteza mchezo ..hali haikuwa hivyo...yanga kakimbiza mwanzo mwisho. Watu tume enjoy burudani safi...
22 Reactions
22 Replies
2K Views
AC Milan, Liverpool & Napoli are The Three of The Four Clubs in Europe's Top Five Leagues to Remain UNBEATEN in Their Respective League So Far. 😎🔥 But Things Don't Look Good for Them in the early...
0 Reactions
6 Replies
770 Views
According to statistics provided by Mr. MO mashabiki wa simba tuko milioni 40. Hivi haiwezekani sisi mashabiki tukachanga walau buku buku au hata Jero ili tuwarudishie Hela zao Waarab (Al Ahly...
0 Reactions
1 Replies
619 Views
NAWEKA MJADALA MEZANI: Bila ya kuweka ushabiki mbele, hivi kati ya Golikipa wa Chelsea Edouard Mendy na mshambuliaji wa Liverpool Mohammed Salah yupi anastahili kupata tuzo ya mchezaji bora wa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Nafahamu kuwa mguto ni kiongozi wa bodi ya league na coastal union pia, lakini kwanini ameruhusu ili jambo?
1 Reactions
3 Replies
985 Views
Golikipa wa timu ya Arsenal, Aaron Ramsdale ameokoa mpira wa adhabu ndogo uliopigwa na James Maddison nje kidogo tu ya eneo la 18. Save hiyo ya Aaron Ramsdale ndio inasemekana kuwa save bora ya msimu
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Tuweke ushabiki pembeni, japo wanacheza nafasi tofauti, Dr. Aucho wa Yanga na Chama yule wa kipindi akiwa Simba yupi ni mchezaji hatari zaidi akiwa na mpira?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari wakuu Nadhani wote tumeshuhudia kwa hizi game team ilizocheza imefia kwenye namba 10. Nafasi za kufunga hazitengenezwi kabisa. Kuelekea game za CAF je Hilo tatizo limeshapata mwarobaini...
3 Reactions
6 Replies
964 Views
Kuna YANGA halafu kuna timu za Ligi kuu: Achana na ukubwa wa soka tunalocheza Sasa na matokeo ya mechi ya Jana dhidi ya Azam, Kila mtu anasema lake, acha na mimi nichangie, lakini kwa kuanzia...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…