Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wakuu habarini za machweo. Kwa muda mrefu nimeona utitiri wa hizi mbio zinazoitwa za marathon ambazo zimeibuka kwa kasi sana kipindi. Sina upingamizi na hizi mbio zao ila ninachotaka kukisema ni...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Tunaposema mpira wa Tanzania umejaa siasa ni kwa mambo kama haya. TFF na NBC Ltd wameingia mkataba wa NBC kuidhamini ligi kuu Tanzania na moja ya nasharti ni vilabu vyote lazima vivae nembo ya...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Ili kukuza uzalendo na bidii ya kufanya kazi kwa watu wa Misri, mchezaji nguli wa soko Mo Sallah ameingizwa kwenye mtaala wa masomo ya nchi hiyo ili wanafunzi waweze kumsoma. Sasa ni lazima kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Aliyekuwa winga teleza wa klabu ya Simba, Yahya Akilimali, amekutwa na umauti usiku wa kuamkia leo Jumamosi ya Oktoba 30, 2021 katika Hospital ya Maweni, Kigoma. Mazishi yatafanyika leo nyumbani...
4 Reactions
16 Replies
4K Views
Nawashangaa azam kuanzia timu hadi tv wamepania vibaya hii mechi yao na yanga kuliko hata ambavyo walivyokua wakishiriki CAF confederation cup na hadi kufikia kutolewa kirahisi na timu ya...
8 Reactions
32 Replies
3K Views
Je Waamuzi wetu wanajua mazingira ya kutoa indirect free kick kwenye penalty box? Reference simba vs Polisi Tanzania Credit: Azam tv (mchambuzi Othman)
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu namiini mnaendelea vema na shughuli zenu nimekukuwa mshabiki wa mpira lakini kiukweli bado sijaweza kufahamu vema kuna aina ngapi za pitch. Kiukweli sijawahi kuona mimi binafsi mtu akifunga...
2 Reactions
16 Replies
19K Views
Swali hili ni La Kawaida Sana , tusilichukulie Ki Usimba Na Uyanga. Goli La huyu Mwamba Msuva Lilikuwa Fantastic ...! Lakini ile misukosuko Iliyoelekezwa Langoni Kwa Stars Sio Ya Kitoto na Manula...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Pambano la sita 'super heavy weight' kati ya Hafidh Mlawa na Emmanuel Philimon lilikuwa kali sana!!! Ila kitendo alichokifanya bwana Emmanuel baada ya pambano kumalizika ni kibaya sana, dharau...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani ako kamsemo bado kapo uko mtaani kwenu,,,,,pasi 800 ushindi wa 100% πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
5 Reactions
4 Replies
802 Views
Baada ya mzunguko wa kwanza Yanga kuifunga Coastal union bao 3-0, leo Coastal Union wamesema wanachezea heshima kwa uwanja wake wa nyumbani na kocha Mgunda amejigamba atakuwa wa kwanza kuifunga...
17 Reactions
411 Replies
33K Views
Na Adhabu Inaweza Kuongezeka Kufikia Kuporomoshwa Daraja. Hili Limekaaje Wadau? Bodi Ya Ligi ina lengo La kuwaumbua Viongozi Vya Vilabu wasiotumia Busara Kuongoza? Ni Vijimambo vinavyopatika...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka camp nou , je wamepatia au wamechemka ?
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Unamkumbuka yule box to box mildfielder Ramirez kijana toka Brazil,aliyekioiga Chelsea miaka ya nyuma,ni tumbo moja na kiungo fundi wa simba Bwalya.
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hakuna maelewano mazuri kati ya Viongozi wa Real Madrid na PSG mpaka sasa, PSG wakiwashutumu Madrid kumlaghai kijana na ndio sababu amegoma kusaini mpaka sasa. Taarifa za leo asubuhi ni kuwa...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza naomba kukiri kwamba mimi ni Mwanasimba ( mmoja wa wachangiaji wa hela za kuendesha timu ) , ambaye sijaridhishwa na mchakato wa kumuuzia hisa za Simba mtu ambaye anayo historia ya wazi ya...
11 Reactions
147 Replies
14K Views
Hivi ndivyo walivyohukumiwa na Mahakama siku ya Leo, Aveva amefungwa kifungo cha nje cha miezi 6 kwa matumizi mabaya ya ofisi, huku Kaburu akiachiwa huru kwa kuonekana hana hatia. ====== Dar es...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Hizi kadi nyekundu zimewanufaisha Sana mikia na kuvuna point 3 muhimu, mechi ya Dodoma jiji, mechi ya leo na polisi, pia mechi ya fainali kombe la shirikisho kigoma dhidi ya yanga, bila hizo kadi...
4 Reactions
24 Replies
2K Views
Nafasi waliyopoteza Yanga Biashara ilitakiwa ndo wacheze Rivers United ,tumeletewa aibu kubwa na Yanga kwenye haya michuano
17 Reactions
101 Replies
7K Views
Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara...
7 Reactions
70 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…