Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Hakuna ubaya kwa timu yoyote ya michezo kupelekwa Ikulu kuzawadiwa ikiwa kuna umuhimu. Cha ajabu TBC wapo live Ikulu wakiwaonyesha mabinti wa timu ya Taifa ya Wanawake walioshinda COSAFA CUP...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Madhara ya ushabiki wa mpira unaoendelea kutamalaki Tanzania ni makubwa sana kuliko ulevi mwingine katika jamii(NAONGELEA “USHABIKI” SIO MAPENZI YA MICHEZO YA KAWAIDA) Umesababisha uvivu...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Nipo tayari Kuchukiwa na Kutukanwa na Wana Simba SC wote wasiojua Mpira ila najua wale Wana Simba SC wasio Wanafiki na Werevu watakubaliana nami kuwa Penati iliyotupa Ushindi Usiku huu dhidi ya...
6 Reactions
58 Replies
5K Views
Ukweli tuuseme Yanga ni timu changa sana!! Hawawezi kujilinganisha na Simba hata kidogo!! Waulize kwenye haya mashindano wamevuna shilingi ngapi na walinganishe na fedha alizovuna Simba mwaka jana...
4 Reactions
15 Replies
1K Views
Baada TP Mazembe kutoka, tunahitaji timu moja nyingine kati ya zifuatazo kuaga mashindano leo ili tuwe pot 2 na kupata draw nzuri Esperance Widad Mamelody Horoya Ikiwa hizo timu zote zikashinda...
4 Reactions
21 Replies
2K Views
Kwa sasa wanaamini kwa vile wamesajili wacongo wengi basi TP Mazembe imewawakilisha. Ninashangaa wana furaha sana licha ya kutolewa klabu bingwa Afrika mechi ya awali kabisa. Wao wanaamini kikosi...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Baada Ya Kupigwa 3 kwa Moja Na Jwaneng Galaxy, Leo simba Wanaikaribisha Polisi Tanzania Kwenye Mchezo wa Ligii kuu Tanzania Bara. Polisi Tanzania Wamekuwa na Mwanzo Mzuri wa Ligi hii huku Simba...
3 Reactions
205 Replies
17K Views
Katika pitapita zangu kwenye live score nkakutana na mechi za ligi kuu ya Congo league 1. Nlichokutana nacho naona ni vichekeshi kuliko hata kwenye ligi yetu, kama inavyoonesha hapo katika...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Be Sports wameonyesha utabiri wa Simba kupoteza mechi ya leo. Najua Yanga wataisapoti analysis hii na Simba fans wataiponda na hii ndio raha ya mpira duniani
1 Reactions
49 Replies
4K Views
*manula.... huyu hata kumuelezea ni ngumu siku akiamua kudaka anadaka kwelikweli siku akiamu kuvurunda kama jana utafurahi mwenyewe kwa huzuni *Boko .... Huyu naye kama Manula probably hana...
9 Reactions
38 Replies
4K Views
Kesi inayomuhusisha aliyekuwa mshambuliaji wa klabu ya Yanga ambaye kwa hivi sasa anakipiga Simba Sc, Bernard Morrison itasikilizwa na kutolewa hukumu leo hii. Morrison anadai kuwa hakusaini...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Gomez alifukizwa kimakosa, lakini kesi ya mnyonge hakimu wake ni Mungu. Mungu atanza rasmi Leo kumlipia Didier Gomez watakapocheza na polisi Tanzania.
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Huku ndani namwaga madini mengi sana nilitoa habari ya menina kudai mamiilioni ikapostiwa instagram copy and paste yangu yangu kuna ya biashara kudaiwa kuuza mechi hadi kitenge kapost ingawa...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kwa kuwa mpira ni kazi mtu anaweza kufanya kazi mahala popote pale kama ambavyo tumejionea hivi karibuni kwa Senzo na Haji Manara. Huyu jamaa ni msaada mkubwa atawasidia Yanga hadi watashangaa...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari wadau Mimi ni shabiki sana wa soka la bongo. Nimejaribu kuvuta kumbu kumbu sijapata kabisa mechi za mashindano ya bongo yenye ladha kama za caf champions league. Jwaneng simpi sifa kwa...
1 Reactions
5 Replies
787 Views
Nimelala nikaota ndoto game ya Simba na yanga imesogezwa mbele na haitachezwa tarehe 11 mwezi 12 Kama ilivyopangwa kwenye ratiba. Hapo ndio uwa najiuliza tff wanafanyaje kazi zao kwanini...
0 Reactions
3 Replies
838 Views
Maduka yanayotembea yenye miguu miwili yajiandae, story zenu za mpira una matokeo matatu kasimulieni wake zenu na marehemu bibi zenu, nyambafu
4 Reactions
57 Replies
5K Views
Laiti haya mambo yangekuwaga na uchunguzi wa kina tungegunduaga mambo ya ajabu sana , sasa the talk of the town huko libya ni kwamba Biashara utd ilihongwa pesa nyingi sana ili watafute kisingizio...
1 Reactions
71 Replies
4K Views
Kiukweli jumapili ilikuwa siku ngumu sana kwangu hasa baada wale makiri kiri kutupiga goli la tatu Nikasema ngoja nisubiri manyuu ya OLE GUNA SOSHA ndio kabisaaa ikawa maumivu juu ya maumivu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Ukiona akina GENTAMYCINE wanamkataa Mtu jua ya kwamba huwa hatukosei kwani wengine tumeshabarikiwa Maono ya Kifalsafa na Mwenyezi Mungu. Wakati nikimkataa mapema tu Mhamasishaji Mkuu mpya wa...
14 Reactions
84 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…