Habari ambazo hazijathibitishwa ni kwamba benchi la ufundi limepigwa chini, kama ni kweli ni sawa tu ingawa Hitimana kaonewa
Mzungu keshachachawa hajui tena hata kufanya sub na mapenzi binafsi kwa...
Salaam wakuu!!
Kuna Jambo nashindwa kulielewa kabisaa kuna huyu mwamba Fraga sijui mkataba uliisha? Au alivunja mkataba!! Lakini nakumbuka alipata tatizo la Goti na simba ikatoa taarifa kwamba...
As vita a.k.a utopolo de kinshasa wametolewa na ka team kageni cha south africa kwenye kombe la shirikisho kaitwacho Garrants, mechi ya kwanza kapigwa 2-1 huko south africa ,pale kinshasa katoka...
Wakuu kwema?
Kuna Jambo linaendelea kwenye mitandao yakijamii kuhusu kupoteza kwa mchezo wa Simba taifa. (kwa mkapa hatoki mtu).
Wakuu kwa wanasimba wenye Bongo timamu wanatambua tunapitia...
KAMA MADUKA yataendelea kupewa nafasi za kujimwamwaya na ma libero kama Wawa wanaokataa kuruka juu wataendelea kuchekewa basi tutarajie maumivu makubwa huko shirikisho sababu hadi sasa kuna...
Leo baada ya kuona taarifa ya Waiziri Mkuu wa Sudan kuwekwa chini ya Ulinzi nimejikuta na maswali juu ya Biashara United kushindwa kusafiri .
Hoja zao wanadai tangia tarehe 16 walishakata tickeck...
Kama Manchester United wanataka kurejea zile enzi za Babu basi wamchukue huyu kocha hatari wa Ajax
Huyu jamaa ni zaidi ya Pep kwa tactics, Mpira wa kisasa ili upambane na Chelsea na Liverpool...
Tuna timu nzuri sana wana Simba ila wasiwasi wangu unakuja kwenye perfomance ya baadhi ya wachezaji kukosa mwendelezo kwa kila mechi
1. Mzamiru kacheza vizuri sana kwenye mechi ya stars lakini...
The pre-match technical meeting for Al Ahly Tripoli v Biashara United Mara has been concluded. Biashara United, still nowhere to be found. Kick-off is 17:00 GMT. The Libyans will progress to...
Wakuu, wanamsimbazi kindakindaki, kwa namna Simba inavyocheza, huku wakijichanganya kwenye eneo la viungo na kukosa maelewano, Basi tutarajie safar za mafanikio mwaka huu Ni zero bin sifuri!
Kuna...
Kama mechi za round ya kwanza ni timu 3 tu zilizopata matokeo ugenini. Kama hujui nakujuza kwamba timu zilizocheza ugenini ndio timu bora kuliko wenyeji, ndio maana miongoni mwao timu 10 zimeanzia...
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku...
Wale wana wa Msimbazi poleni sana kwa kipigo pale kwa Mkapa.
Kuondoka kwa Haji Manara kweli kunaonesha kabisa kuna Nguzo moja imevunjika pale Msimbazi.
Namkumbuka sana Manara mechi kama hizi...
Kuna rekodi hazivunjiki kama vile;
Young Africans ndiyo Klabu ya kwanza Tanzania kuingia robo fainali klabu bingwa 1969
Simba ndiyo klabu ya kwanza kuingia nusu fainali klabu bingwa 1974...
Kagere ni mshambuliaj mzuri Sana tena ana uwezo wa kufunga magoli, lakini cha kushangaza hachezeshwi, benchi la ufundi likiona muda umeisha ndio wanamwingiza.
Mechi ya Leo mimi naamini Kagere...
wakuu salaam,
Ukitizama profile za wachezaji wa simba utagundua simba inakikosi bora zaidi Tanzania bt why hawafanyi vizuri licha ya kupata pre-season nzuri?
Kitendo cha kuudharau mchango wa...
Nimeona bwana Crescentius Magori ametweet kwamba wamesalitiwa kwenye mechi ya leo na inaonekana kuna baadhi ya wachezaji wataangushiwa jumba bovu muda si mrefu kuwa wameisaliti timu.
Kitu ambacho...
Huyu Sadio alikuwa Man of the Match CHAN2020 huko Comeroon.
Sadio akawa Man of the Match kwa mara ya pili CHAF2020
Kisha akaipeleka Mali fainali ya CHAN2020 ikicheza na mabingwa Morroco ambapo...
Hahahaaah! Dah... Wikend yangu inataka iishe vizuri leo... Bado liva anifurahishe nilale
Kikosi kipana... Leo kimepanuliwa palepale kwa mkapa ambapo huwa hatoki mtu!
Wani wei tu shirikisho... Na...