Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Declaration: Say No to Racism. Kwanza niseme tuu huyu jamaa namkubali 101% katika kile anachokifanya. Ni jamaa anayejua kuleta amsha amsha hasa kwa timu ya taifa, lkn sijawahi kumsikia akiwa...
8 Reactions
39 Replies
3K Views
Kuna Watu wanajulikana kuwa Wao kila ikikaribia Mechi yao na Mahasimu wao akitajwa tu Mwamuzi (Referee) huwa wanalalamika kuna ni Mnazi wa Wapinzani wao na kupelekea hata Kumtisha ili awe...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kulikoni Wananchi tunawakosa watu hawa muhimu sana katika Yanga hii mpya? Upande wa Kikosi na Upande wa hamasa Nina imani kubwaSaidoo angeungana na akina Bangala na Mayele na Aucho tungepata...
0 Reactions
6 Replies
645 Views
Klabu ya Simba imewatambulisha Mwijaku na Kay Mziwanda kuwa wahamasishaji wapya wa klabu hiyo, kazi aliyokuwa akiifanya aliyekuwa Msemaji wa klabu hiyo, Haji Manara. Umewapokeaje wahamasishaji...
4 Reactions
33 Replies
2K Views
Kuna kasumba inayoendelea ya kuusu mwijaku kupewa kitengo cha huamasishaji watu kubeza naona kama wanakosea yule ni mwahamasishaji na wala si afisa habari wa timu. Kwa mpira wa bongo ulivyo...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Nimeangalia yake magoli yote aliyofungwa KMC nimejirishisha pasi na shaka kwamba kipa kwa KMC kauza mechi. Usibishe angalia tena na tena hasa goli la kwanza...
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Huenda leo kuna Mtu akadhalilika na Kujichoresha kwani anaenda Kupokea Tuzo ya Mhamasishaji na Msemaji bora ya TFF akiwa Simba SC ambayo ametumia muda mwingi Kuichafua na Kuidhalilisha baada ya...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Kuna kipa atamaliza mzunguko wa kwanza bila kuruhusu goli, pia kuna timu haitapoteza mchezo wowote ndani ya mzunguko huo Na ndio hiyo itakayobeba kombe Msiniulize ni timu gani.
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Kwamba Mwijaku Ndio anaongea na Wachezaji anakuja Kuwaeleza Mashabiki Wa Makolo Fc? Ila Mwijaku alitafuta sana Huu Uhamasishaji wa Team, alikuwa anajipendekeza Sana kwa Baba. Sent using Jamii...
7 Reactions
49 Replies
5K Views
Yanga hii inaonyesha Sana mwanga katika kupambania ubingwa msimu huu, soka linachezwa kotekote iwe kwenye viwanja vibovu ama kwenye uwanja mzuri mbungi inapigwa tu, aina ya wachezaji waliosajiliwa...
16 Reactions
48 Replies
3K Views
Wakuu ni matumaini yangu wote mmeona mpambano wa tatu/trilogy kati ya wilder vs fury. Niwaambie tu kitu ambacho nimegundua kwa mtazamo wangu. African boxers bado ni the best dunia nzima ndo...
6 Reactions
53 Replies
4K Views
UCL FULL TIME SCORES ⬇️ AJAX 4 DORTMUND 0 INTER 3 SHERIFF 1 SHAKHTAR 0 REAL MADRID 5 PORTO 1 AC MILAN 0 PSG 3 LEIPZIG 2 ATM 2 LIVERPOOL 3 Liverpool have won a #UCL game against Atletico Madrid...
0 Reactions
13 Replies
941 Views
Wakati Yanga wamepigwa faini kwa kukaidi agizo la CAF kuingiza mashabiki uwanjani mechi yao ya CAFCL,kwa Simba sports club hali ni tofauti. Simba wameruhusiwa kuingiza mashabiki mechi ya...
15 Reactions
13 Replies
2K Views
Wamiliki wapya wa timu ya Newcastle United wameamua kupata changamoto mpya ya kocha ili kwenda na kasi yao mpya . Mkataba wa Kocha Steve Bruce umesitishwa rasmi leo Sent from my SM-J500H using...
2 Reactions
10 Replies
865 Views
Naona kuna kawimbo kanaendelea kakusema yanga inakata upepo kipindi cha pili, mimi sikubaliani na icho kitu kwakuwa sijaona timu inayokata upepo ikiwa ikiwa inaruusu nafasi za wazi kwa wapinzani...
9 Reactions
7 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) azamtvtz @tplboard @twigastars https://t.co/54Bwldai8X
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nawauliza mashabiki wa mpira hapa kwetu Tanzania maana naona mashabiki na waandishi wengi kama wananung"unika baada ya simba kuifyatua galaxy kwa magoli 2-0. Je, wangependa kusikia al ahly...
21 Reactions
65 Replies
4K Views
Mechi ipo onfire sijawahi ona. naona nado ameumia
4 Reactions
19 Replies
1K Views
Tukampigie kula twitter uko kwenye pae ya totalenergiesCAFCL
2 Reactions
14 Replies
1K Views
--------- Matokeo --------- KMC 0-2 Yanga Magoli ya haraka haraka yaliyofungwa na Mayele katika dakika ya 4 na Fei Toto katika dakika ya 11 yametosha kuipa ushindi Yanga na kuipandisha kileleni...
2 Reactions
109 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…