Ikumbukwe waliojaza uwanja wengi ni yanga na wale wa simba waliojaa kushangilia kmc hata simba ikienda mikoani hali huwa hivyo watajaa wa simba na wa yanga kushangilia team pinzani
Sasa bodi ya...
Kelele nyingi zimekuwa zikisambaa kwa ile hoja dhaifu eti Messi hawezi cheza pahala pengine zaidi ya timu yake toka utotoni FC Barcelona.
Taarifa latest zinasema mchawi huyu wa soka yupo mbioni...
kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje...
Kipa Saveli Kononov wa timu ya Izhstal Izhevsk, mwenye umri wa miaka (23), nchini Urusi, amepewa zawadi ya silaha aina ya AK-47 baada ya kuibuka mchezaji bora wa mechi, walipocheza dhidi ya...
Hamjatutangaza vibaya Watanzania na Tanzania ya sasa ya Rais Samia kama 'Wendawazimu' wengine ambao Furaha yao na Ubingwa pekee walionao ni Kukusanya Waganga wa Kienyeji nchi nzima, Kukata Kiganja...
Baadhi ya viongozi wa timu hizi kubwa hasa Simba na Yanga wamekuwa na desturi ya kutengeneza mazingira ya kuonyesha kuwa wanaonewa pale mambo yanapoanza kuwaendea kombo kwenye mashindano mbali...
Nawasalimia wana Msimbazi wenzangu!
Nimesikitishwa na mpira unaochezwa na timu yetu pendwa ya Simba (Lunyasi), timu siku hizi inacheza mpira mbaya sana, mpira makande, magoli yetu yenyewe...
Brentford wanaupiga mwingi sana, has a wakiwa nyumbani. Watu wengi waliwadharau sana Arsenal walipofungwa 2 bila na Brentford mechi ya mwanzo.
Kusema ukweli haka katimu kalikopanda daraja mwaka...
Anayekata ticket ni nani?Kama takwimu zinabaki kama zilivyo,ni wazi kuwa kuna upigaji mkubwa wa pesa za viingilio.
Nashauri kama huna wataalam wa IT, utafute wataakamu waliobobea ili waibue...
Niambie vitu gani vya tofauti unatarajia kuviona katika mchezo huu..? Kwa timu zote mbili
Suprise package..[emoji116]
Inonga..Sakho..Banda..Kanoute..Duncan..Mhilu..Kibu..Mwenda..Kisubi Maingizo...
Sio kwamba Samatta hatoi mchango kwa taifa lakini mchango wake hautoshi kabisa. Kule Ulaya anaitwa Samagoal lakini Taifa stars anaitwa Samaassist. Hiki ndicho watu wasichokitaka. Mafanikio ya...
Kwanza niipongeze TFF hii ya Wallace Karia, imefanya kazi kubwa sana licha ya mapungufu yaliyojitokeza katika uongozi wake ambayo ni machache na yanatokea kutokana na uelewa finyu wa watanzania...
Mkuu wa habari wa Simba Sports Club, Haji Manara, naye amelalamika kufanyiwa undava kwa kusukumwa na mchezaji wa Kagera Sugar Juma Nyosso bila sababu.
Manara kupitia ukurasa wake wa Instagram...
Ni jambo la ajabu Sana timu inayoshiriki michuano mikubwa kama hii inafungwa mabao ya aina moja ndani ya dk 4?
Aina ya namna beki zake zinavyojipanga kucheza mipira ya kona ni kichekesho...
NBC wame surrender kwa utopwinyo na kukubali kuharibu logo yao , inasikitisha sana ni vile Utopwenga hawana ga desturi ya kufikaga robo fainali ya champions league lasivyo wangejua ni lazima kuvaa...
Hivi unakodi vipi kabisa Ndege kwenda Kucheza Mechi yako ya CAF CL huku ukijitapa kabisa Kushinda na ndani ya Ndege unapandisha Waganga wa Kienyeji 60 kisha unaenda Kufungwa na kuja na sababu za...