Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Azam ni timu kubwa ila wana mambo ya kishamba,hilo bus lao toka south wanafanya coverage ya kila siku kila chocho inayopitia ,Mara imefika mbeya,mara morogoro. Timu kubwa na kampuni kubwa kununua...
15 Reactions
56 Replies
4K Views
Aisee,,hawa Algeria wanatafuta nini bandugu!! First game kamdunda NIGER GOLI 6 kwa 1, Marudiano ya leo kamdunda GOLI 4 kwa 0 😁 dahh. very sad NIGER 0-4 ALGERIA, FULL TIME JUMLA YA MAGOLI KATIKA...
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Anaandika Wakili Simon Patrick , Mkurugenzi wa Sheria na Wananchama wa Yanga - Wakati unatafakari kuilaumu Klabu ya Yanga kuhusu faini ya CAF ni vyema ukafahamu yafuatayo; - Nani anahusika na...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Tukisema hii timu ni kihuni inaendeshwa kama timu za ndondo wanakuja juu na kulalamika wanaonewa. ====== SHIRIKISHO la Soka Barani Afrika (CAF) limeipiga faini ya Sh11 milioni klabu ya Yanga...
14 Reactions
52 Replies
6K Views
Dakika chache zijazo, utapigwa mchezo wa Fainali ya Uefa Nations League, Spain Vs France katika dimba la San Siro pale jijini Milan, nchini Italy. Ikumbukwe hii ni fainali ya pili, baada ya ile...
3 Reactions
135 Replies
8K Views
Safi sana Algeria kwa kipigo cha mbwa koko dhidi ya Niger, mmepiga pira la kiume mammae kama kawaida yenu, mpira mnaujuwa adi mnakera 😄,, hawa washkaji wanapiga soka acha kabisa bandugu, wanacheza...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Kitendo cha kocha kumjibu mwandishi wa habari kuwa hata kama yuko live hawezi kuongea amuache, nadhani hili sio sawa, kwa walotazama taarifa ya habari TBC nadhani watakuwa wameona situation nzima...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Huyu Amdala hamna kitu aisee miaka yote yeye hawezagi kujilinda Hapa kashaangushwa Mara tatu na mkongo man round ya 8 hii
10 Reactions
133 Replies
13K Views
Taifa Stars jana wamefanikiwa kujitoa kwenye list ya kikundi cha wahuni wanaoliaibisha taifa. Aliyebaki sasa ni utopolo tu, wahuni wasio na msaada wowote kwa taifa hata wakibebwaje. Wadau hivi...
7 Reactions
10 Replies
1K Views
Mbabe ametoa kauli hiyo kwenye mahojiano na Mwananchi Digital ikiwa ni siku moja baada ya kuchapwa na Tshimanga Kantompa wa DR Congo. Bondia huyo namba mbili nchini kwenye uzani wa super middle...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Najua unavyoumia Mdogo wangu ila GENTAMYCINE nasema Watanzania tutakutusi, kukashifu na kukuona huna lolote ila hapo hapo ulipo tambua kuwa Wewe ndiyo Shujaa yetu namba Moja ndani ya Kikosi cha...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu hivi wale wanaobet hua wanawezaje kua na utulivu wa akili? Maana hapa nimebet game 38 na mpaka sasa zimeshacheza game 26 na zote nimetoboa. Ila shida inakuja kwenye kusubiri matokeo sasa...
16 Reactions
117 Replies
15K Views
Salaam wakuu, Binafsi ninaamini Aishi S Manula ndiye mlindalango bora wa kitanzania kwa sasa ila kuna jambo ananikera sana. HAWEZI KUCHELEWESHA MUDA (nimemuona kwenye michezo mingi ikiwemo wa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Bondia wa Tanzania, Hassan Mwakinyo amewalaumu Watanzania kumkandia Bondia Abdallah Pazi ‘Dullah Mbabe’ kwa kupoteza pambano lake dhidi ya bondia wa DR-Kongo, Tshimanga Katompa. Amesema Dullah...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mujibu wa mtandao wa michezo wa Sofascore, golikipa mahiri wa timu ya taifa ya Tanzania na klabu ya Simba, Aishi Manula, hadi sasa ndiye mwenye rating kubwa kuliko magolikipa wote walio na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nampongeza sana Mshambuliaji Simon Msuva kwa Kufunga Goli zuri, tamu na la Viwango ambalo limetupa Alama Muhimu leo. Nawapongeza mno Wachezaji wote wa Kikosi cha Taifa Stars kwa Mchezo mzuri...
12 Reactions
42 Replies
3K Views
Tangu lini twiga anakuwa na rangi nyekundu, Sisi kama Wanajangwani Tutamrudishia Rangi Yake ya Khaki. Twiga wetu sisi ni huyu hapa Chini.
19 Reactions
143 Replies
13K Views
Kesho navalia kabisa na Jezi yangu ya Benin hivyo mliopo katika Kibanda Umiza Tegeta Nyuki ole wenu Kesho mniguse mtanitambua. Na nimetoka kupata Mkanda wangu Mweusi wa Karate pale kwa Warusi Sea...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…