maandiko matakatifu yanasema ukweli hukuweka huru na mimi leo hii nimeamua kuongea ukweli ambao nahisi utaniweka huru.
ukweli huu uko wazi kwa baadhi ya watu wanaoifuatilia na kuitakia mema...
Mniwie radhi kwa herufi makubwa, nimeichukua hii toka kwa Michuzi kama ilivyo.
SHIRIKISHO LA SOKA NCHINI A.K.A TFF LEO IMEIFUNGIA TIMU YA YANGA KUTOSHIRIKI MICHEZO YOYOTE YA KIRAFIKI NA...
Mzee Karume alikujengeeni jengo hilo zuri tu bureee! Mbona mwashindwa kulitunza pamoja na mihela yote mnayoimwaga. Sijui kwa nini mzee Karume asiwajengee kama hilo Miembeni. Mna bahati mwaikejeli.
Wakuu habari,kimsingi sielewi km ni sahihi kwa anachokifanya huyu mwandishi,kutwa kucha kuikejeli Young Africans. Kwenye utaratibu huo wa post zake za kuitweza brand kubwa ya Yanga kuna matangazo...
Kwa mtazamo wangu bado timu inahitaji kufanya usajili wa maana. Bado pengo la Chama na Luis lipo wazi. Ushauri wangu kupitia dirisha dogo tufanye usajili laa sivyo ubingwa ligi kuu utakua ni...
Inawezekana leo Oktoba 7, 2021 waarabu wa Saudia wakainunua Newcastle United.
Uwekezaji unategemewa kua mkubwa zaidi ule wa City, hii italeta vita kubwa sana kuwania nafasi 4 za juu kushiriki...
Uraia alionao na tuliompa after the fact unaweza kupingwa kwenye mahakama za juu za mpira kama timu iliyofungwa na Simba au taifa stars ilimchezesha Kibu Denis kwenye mechi zake.
Kibu alisajiliwa...
Haya hayaa wale wazee wa kupitisha milioni 15 kwa WALEZI have done it again, call them UTOPOLO, UTOPWENGA, UTOPWINYO waharibifu wa logo na brand za wenzao kudadekii majitu ambayo logo yao ni...
Hapa tuseme ukweli.
Tangu kuondoka Manara kuna mambo tayari Simba imerudi nyuma na kulingana na Yanga.
Kuna faida moja Manara ameiacha kwa Yanga nitaitaja baade.
Katika kipindi hiki cha...
Kwa mujibu wa kipindi cha michezo cha clouds fm cha asubuhi hii ya leo, Perfect Chikwende ameamua kuvunja mkataba na simba na kurejea kwao Zimbabwe ambapo kwasasa anafanya mazoezi na klabu ya fc...
Kuna Mjadara Unzazungumzwa Sana Pasi na Kuangaliwa na Kutazamwa Kwa Jicho la Ziada.
Suala la Idadi kubwa ya wachezaji wa Simba SC kuitwa kwenye Timu za Taifa.
Kiufupi iko hivi:
Dar es Salaam...
Wewe kila ukija Maskani Mikocheni Kupiga Stori na Kukutana na Marafiki zako Wanamuziki wa Bendi za Dansi kutoka Congo DR kazi yako ni Kulalamikia tu.
Unasema unachukizwa na Klabu ya Yanga...
Wakuu Mchezaji wa Taifa stars anapewaje uraia leo?
Daaaah So sad figisu za soka letu. Mtu ameshavaa jezi ya Stars leo ndiyo anapewa uraia leo?
NaKumbuka hata Yusuph Poulsen alitaka sana...
1- Udhamini shilingi ngapi?
2- Mgawanyo utakuwaje kwa vilabu, sawa au mgawanyo kwa thamani ya vilabu?
3- Mechi zilishokwisha chezwa included katika mafikirio au mechi zinahesabiwa kuanzia siku...
Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie...
Ni ajabu na kweli kwamba lile jina lililokuwa linawanyima usingizi mashabiki na wapenzi wa Young African sasa limejifia lenyewe by "Natural Death" huku wenzao wakipokea shurba hiyo kwa jina lao la...
Yanga wakikataa twiga mwekundu ,na Simba wakisimamia kwenu kanuni ya TFF nini kitatokea?Maana hawa majamaa walikimbia mechi mchana kweupe basi lilipaa kama mwewe wakisimamia kanuni.
Sasa wapo nje...
Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii...