Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Benki Kuu ya biashara National Bank of Commerce (NBC) ndio imeshinda kuwa Mdhamini mkuu wa ligi msimu wa 2021/2021. Ligi hiyo itaitwa NBC Tanzania premier league ambapo NBC wameweka mkwanja wa...
7 Reactions
119 Replies
17K Views
Jana nimemsikiliza huyu sijui ndio mtendaji mkuu wa bodi ya Ligi alivyokuwa anaongelea msimu mpya wa Ligi kuu, ukweli nimepatwa na hofu sana. Anasema wanaendelea kutafuta wadhamini zaidi ya Azam...
3 Reactions
51 Replies
5K Views
Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3. Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Nimewaletea latest FIFA ranking kwa nchi wanazotokea wachezaji wa Simba na Yanga ili kupanua mjadala wa kwanini timu gani wachezaji wake wanaitwa kwa wingi katika timu ya taifa. Kwa mfano Taifa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kesho inatarajiwa benki ya NBC kutangazwa kama wadhamini rasmi wa ligi kuu ila tuambiane tu ukweli UTOPWINYO KESHO KINANUKA watakataa hiyo logo watasema Twiga mwekundu hawataki awe wa njano au...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
1.kibu denis alisajilikuwa Simba kama raia au mchezaji wa kigeni??? 2..je kama alisajiliwa kama mgeni kutoka nchi Gani ?? 3.. Je kama alisajiliwa kama raia inamaana Simba walisajili mchezaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Leo tarehe 06 October 2021 ndio siku ya kusomwa hukumu ya kesi inayowakabili aliyekua Rais wa klabu ya Simba Evans Aveva na wenzake. Katika kesi hiyo washtakiwa wanadaiwa kula njama, matumizi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Shirikisho la mpira Tanzania, Tanzania Football Federation (TFF) Kesho linategemea kumtangaza Mdhamini mkuu wa ligi kuu Tanzania Bara kwa msimu wa 2021/2022. Shirikisho hilo limewataka waandishi...
5 Reactions
49 Replies
4K Views
Point ya msingi wapenda soka, tunataka tujue huyu Kibu Denisi kama hakuwa Raia wa nchi hii pendwa, Mbeya city na Taifa Stars alikuwa anacheza kama mchezaji wa kigen! Na Simba walimsajili kama...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwa kweli ligi kwa sasa ni tamu sana hongereni club zote zanazo shiriki ligi hii matokea ya michezo ya leo ni kwamba mpira sasa umeanza kueleweka kila kona ya Tanzania. Timu kubwa mjipange sana...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Nani kamuita Jonas Mkude Team Ya Taifa? Kwanini kaenda wakati hajaitwa? Hii Bongo hii[emoji2][emoji2]
0 Reactions
1 Replies
584 Views
Pamoja na uwekezaji mkubwa unaofanywa kuanzia kwenye usajili,maslahi ya wachezaji na hata miundombinu lakini bado wawekezaji na mashabiki hawapati kile kitu wanachotarajia kutoka Kwa Timu Yao ...
6 Reactions
45 Replies
4K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Adam Kighoma Malima, amefunguka ya moyoni kuhusu timu mbili kongwe hapa nchini. RC Malima amesema " Mtu yoyote anayejua mpira anajua wazi Yanga ina mashabiki wengi kuliko...
2 Reactions
84 Replies
6K Views
Kina Feisal, Zimbwe, Kapombe huwa wanapigwa push moja tu chini hivyo inakuwa rahisi kupitika. Afadhali ya Samatta ana body stability kali. Tujifunze kwa kina Mugalu, Aucho, Bangala, wapo stable...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Naomba TFF ibadili faini au waongeze adhabu ,hii faini ya 500,000 hadi 1,000,000 ni ndogo mno haiwaumizi Yanga ,Tangu ngao ya jamii na mechi zote za ligi Yanga hawajawahi kutumia milango rasmi na...
6 Reactions
23 Replies
2K Views
Inasemekana ni leo wakiwa mazoezini kiwanja cha boko veteran, kwenye picha namuona beki mkongo Innonga na Jonas mkude Kinachonichanganya ni kwamba Innonga tuliambiwa kaitwa the leopards team ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Nimemfuatilia mchezaji huyo heritier makambo kuwa alistahili kuwekwa bench na hata yanga anaetahili kuanzia bench, kabla ya kuondoka Yanga alikuwa ni wa kiwango Cha juu Ila kwa Sasa amekwisha
5 Reactions
16 Replies
2K Views
Soka letu lina safari ndefu, simba ina hali nguvu sana. Ni kweli mchezaji kafanya makosa lakini waamuzi wote hawakuona, refa alipata wapi uwamuzi wa kutoa kadi nyekundu? Ametoa kadi kwa...
5 Reactions
76 Replies
5K Views
Utopolo SC mnatakiwa kujipanga upya, na dalili zinaonesha mnatakiwa kusubiri sana ubingwa Tpl kwa kiwango mlichoonyesha Leo kwa timu dhaifu. Ya GEITA GOLD. Msitumie nguvu nyingi kupitia viongozi...
11 Reactions
24 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…