Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nasema kwa masikitiko makubwa sana kwqni mimi binafsi huwa naingia uwanjani kwa lengo la kuisapoti timu yangu. Ila nimekatishwa tamaa sana na mapato ya uwanjani kwani ni wazi kuna wizi mkubwa...
1 Reactions
2 Replies
589 Views
Wazee wa klabu ya Simba wamemuomba Mheshimiwa Rais John Pombe Magufuli ampeleke CAG kupitia na kuikagua Klabu ya Simba ikiwemo kupitia sheria kandamizi na za kibaguzi katika michezo. Wazee hao...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Ushirikina utakaotumika kesho ni njiwa wengi walizoea PAKA aka mapaka kesho roho za bahati mbaya zitatumia njiwa. Njiwa hawa watatolewa kabla ya mechi na HT nayo watatoa Salute. Baada ya mechi...
3 Reactions
39 Replies
4K Views
πŠπ”π“πŽπŠπ€ πŠπ–π€ 𝐃𝐀𝐃𝐀 π‹π˜π‹π˜ π‹πˆπ‹πˆπ€ππ„ [emoji404]Kwa akili ya haraka haraka tu!! Team imeshinda mechi mbili za kimataifa na kufuzu hatua inayofuata lkn hawakupewa hata senti kumi ya MOTISHA...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Nimeona watu wengi wanasema kuwa simba wanakamiwa na timu ndogo kitu ambacho si kweli. Why simba na si Yanga? Ukweli ni kiwa simba ilishafikia peak ya mafanikio 'na wachezaji walishatumika vya...
3 Reactions
30 Replies
2K Views
Simba bingwa tena msimu huu wa 2021/2022. Azam atashika nafasi ya pili. Kimataifa Simba itavuka hatua ya makundi klabu bingwa CAFCL.
4 Reactions
44 Replies
4K Views
naomba kuuliza wataalam kwenye hayo magoli yaliyokataliwa, hizo ni offside kweli?
3 Reactions
34 Replies
2K Views
Naona kuna kamjadala apa jukwaani kanakochagizwa na wajinga wachache ama kwa kutokuelewa au wanajua lakini wanapima kina cha maji, hii michezo ya timu pinzani kupewa motisha ya pesa kuikazia timu...
8 Reactions
40 Replies
3K Views
Tatizo lililopo hapa ni mfumo. Wachezaji walioondoka waliacha mfumo wa uchezaji ambao waliobaki wameshindwa kuufuata. Na hao walikuwa wanatengeneza rhythm ya timu na jinsi itakavyo flow na...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
1. Yanga SC wameamua kuwa kwa Msimu huu iwe Mvua au Jua na kwa Mikakati yoyote ya ndani na nje ya Uwanja wanashinda. 2. Kuumiza kwa Makusudi Wachezaji wa Simba SC ili Timu itetereke na ikose...
18 Reactions
68 Replies
6K Views
Tutegemee kumuona Kibu akivaa tena jezi ya Taifa baada ya sakata lake kuisha. === Chibu Denis (kushoto) akiwa katika kikosi cha Taifa Stars. Kulia ni John Bocco WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini...
6 Reactions
74 Replies
10K Views
Ligi zikiwa zimeanza katika nchi mbalimbali duniani , je ni kocha wa klabu ipi unadhani Atafukuzwa mapema kutokana na mwenendo mgumu wa timu, au timu kumshinda uwezo. Je, kocha yupi unatamani...
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Wadau Ile mechi ambayo iliepekwa saa moja usiku halafu Yanga wakagoma wakaondoka. Taarifa yake ya fedha ikoje!?Zile hela zilienda wapi?Au ndo zimeliwa? Kuna anaekumbuka labda maelezo yeyote...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Katika kile kinachoelezwa hali si shwari ndani ya Club ya Simba, inaelezwa Msemaji wa timu hiyo ndugu Ezekiel Kamwaga ameamua kukaa pembeni kuendelea na majukumu yake ndani ya club hiyo. Tukio...
19 Reactions
107 Replies
8K Views
Je wajua? Wacheza watatu(3) pekee kutoka Africa ndio waliofanikiwa kufunga zaidi ya magoli 30 kwenye champions league barani ulaya,,, chakufurahisha zaidi wote hawa wamecheza katika club ya...
4 Reactions
6 Replies
929 Views
Jamaa baada ya kuongezwa dakika 5 kipa hajashuka hadi mpira unaisha akawa mshambuliaji wa kati Uzi tayari
4 Reactions
2 Replies
771 Views
Jamaa alicheza mechi ya kirafiki na Malawi akatoa assist moja, akangushwa na kusababisha foul iliyozaa goal, tukawapiga malawi goal 2 ikasaidia kidoogo kupanda ranks za Fifa Jamaa kacheza huko...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Duru la raundi ya kwanza ya EPL imeitimishwa leo baada ya kuona games kadhaa zikipigwa katika madimba kadhaa ya kabumbu uko England. Kwa upande mmoja naona Chelsea ikikubali kichapo cha goli 4...
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Sijasikia ahadi zozote kama ilivyo kwa wapinzani wa Simba , Dodoma jiji na Biashara United . Au yanga sio timu kubwa ndio maana hamna ahadi zq mamilioni kwa vijana wao?!
7 Reactions
23 Replies
2K Views
Ni aibu Kubwa Timu imetumia karibia Tsh Bilioni 1 za Kitanzania Kusajili Wachezaji wakubwa kisha wakichexa Uwanja mzuri wa Benjamin Mkapa wanashinda Kagoli Kamoja tu. Mnatusumbua kuja Kuwatizama...
2 Reactions
3 Replies
557 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…