Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Asalaam Aleykum Dar es Salaam Asalaam Aleykum Tanzania Asalaam Aleykum Afrika Mashariki na kati Asalaam Aleykum Afrika kwa jumla. Ni katika Derby ya kariakoo Simba na Yanga watani wa jadi hawa ni...
20 Reactions
607 Replies
47K Views
Order ya u captain simba ilikuwa ni Boko,zimbwe,nyoni,kapombe,manula Ila kwa sasa ni Boko, kapombe, Nyoni, manula...... Kijana wetu Zimbwe alikosea wapi, kama nidhamu anayo lugha anajua au labda...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Baada ya Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli kuonyesha Chuki zake alizokuwa amezihifadhi dhidi ya aliyekuwa Mtendaji Mwenzake Afisa Uhamasishaji Antonio Nugaz kuna yaliyojiri huko. Najua Watu...
15 Reactions
66 Replies
6K Views
Usiyempenda kaja!! Utopolo huna jinsi, inabidi ukubali tu simba gari kubwa!! Likiwaka gari zote zilizotangulia zinakuwa kama baiskeli za miti.
2 Reactions
15 Replies
1K Views
"Mchezaji unamvalisha Jezi ina Watu kibao halafu unataka awabebe wote na Kukimbia nao hizo nguvu atazitolea wapi?" Chanzo: Ukurasa wa Dodoma Jiji FC. Akhsante mno Admini kunywa Soda tu.
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hayaa Hayaaa Hayaaa, Mechi Ya Kujipima Uwezo Wao Kabla Ya Kuelekea Bostwana Kwenye CAF champions League, Mechi Ya Kufikisha Alama 4 kwenye Msimamo Wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Mechi ya Mtu kufikisha...
1 Reactions
261 Replies
51K Views
Wana soka napenda kuona maoni yenu kuhusu moto wa magwiji hawa wa soka duniani, yupi kati ya Messi na Ronaldo ataanza kupumzika na kwa sababu zipi maana kila kukicha maajabu yao hayatabiliki...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Kama tulivyozoea msimu uliopita,ilikuwa Simba wakicheza siku basi utafunguliwa Uzi wa update kuelekea match hiyo asubuhi na mapema. Cha kushangaza mpaka sasa saa saba mchana hakuna Uzi wala dalili...
13 Reactions
56 Replies
3K Views
Kanuni za biashara na uwekezaji ndizo zilizomlazimisha mo kujiuzulu uwenyekiti simba au ni kwakuwa mo anasafiri sana nje ya nchi? Wenye ujuzi kwenye hili atudadavulie. Kuwa mwekezaji na kuwa...
0 Reactions
7 Replies
815 Views
Tukiwaambia Makolo FC kunafukuta mnabisha? Mo anawaambia wachezaji wa simba wajitume waache kubweteka kama wanavyofanya sasa Bundi katua Makolo fc
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu salaam, Baada ya sajili mpya kocha aliamua kubadili mfumo ajili ya maingizo mapya kitu ambacho kinaigharimu team hadi sasa. Kocha alipaswa kutumia mfumo wa awali then akawa-train wachezaji...
3 Reactions
12 Replies
907 Views
Mightier nataka hawa wawe wanaanza kuanzia sasa tafadhali... 1. Kibu Denis 2. Osmane Sakho 3. Yusuph Mhilu 4. Jonas Mkude Mightier nataka hawa Wapuuzi ama wasahaulike au wawe wanaanzia Bench...
6 Reactions
33 Replies
3K Views
Ukiangalia ile mechi ya Simba na Mazembe kiwango walichoonesha ni tofauti sana na kiwango cha Yanga kwa Zanaco na hata mechi ya Kagera. Simba pamoja na kutoa sare na Biashara lakini waliupiga...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Habar.. Kila team pale epl Ina nickname yake ..orodha za team zote na nickname zake 1.Liverpool( The reds)(Majogoo) 2.Mancity(The citizens) 3.chelsea(The blues🌐) 4.Manchester United(The red...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Ndugu yangu Try again hakikisha haya unayafanya kwa mafanikio ili "waandishi/wachambuzi"na lopolopo la utopolo wasikusumbue, ukifanikisha haya nakuhakikishia utakuwa rafiki wa kila mtu na media...
9 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni kauli ya Murtaza Mangungu ambae ni Mwenye kiti wa Simba, Ikumbukwa kwamba jana Mo alijiuzulu, hili likitua wengi ila na leo kuna kauli mpya ya Mwenyekiti wa Simba "Bilioni 20 zimewekwa...
9 Reactions
30 Replies
3K Views
Wandugu Salamu! Niende moja kwa moja kwenye mada. Nikiwa kama mdau wa soka na shabiki wa Club ya Simba nimefanya ufuatiliaji wa performance ya kikosi chetu, nimebaini aadhi ya mapungufu ambayo...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mohammed Dewji a.k.a Mo, amesema kikao walichokaa Septemba 21, 2021 kiliamua kwamba asiendelee kuwa Mwenyekiti wa Club ya Simba Sc kutokana na safari zake za kibiashara kuwa nyingi. Hata hivyo...
12 Reactions
287 Replies
22K Views
Habari wanajukwaa Nikiwa kama mdau wa soka la nchi hii nasikitishwa sana na tabia isiyokoma ya Viongozi wa yanga kuamini ushirikina na vurugu za kuvunja mageti na kupita milango isiyoruhusiwa...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa Ligi kuu ya Tanzania kukosa mdhamini shida nini au TFF wanaweka gharama kubwa kiasi wadhamini wanashindwa? Kama Azam ametoa 80ml kwa kila timu, je makampuni tuliyonayo...
2 Reactions
5 Replies
675 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…