Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Inaelezwa kuwa Ushabiki Wa hizi Klabu kubwa nchini ni Kama ngozi au Kabila la Mtu.Huwezi kubadili Kabila lako au asili Ya Ngozi Ya Mwili. Sasa Msemaji wetu inaelezwa Wakati Timu Ya Zanaco...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Niko sehemu namsikia Alex Lwambano akijaribu kuituhumu CAF kama walivyozoea kuituhumu TFF kuwa eti Yanga ametolewa kwa figisu figisu! Hivi aliyefanya figisu hapa Tanzania ni nani kama sio yanga...
11 Reactions
16 Replies
1K Views
Akiongea na kituo cha radio cha Efm kupitia kipindi cha michezo cha asubuhi, Kaimu Mtendaji Mkuu wa Yanga, Haji Mfikirwa amekiri kuwa hawakujipanga vizuri kwenye pre season hivyo kupelekea timu...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Wapenda Michezo wote TUACHE Ushabiki Tuzungumze Ukweli juu ya Matokeo ya Michezo miwili iliyochezwa jana na Vilabu Vyetu Vikubwa kabisa Nchini SIMBA na YANGA. YANGA ilicheza na RIVERS ya NIGERIA...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Ushindi Wa Chelsea Dhidi Ya Aston Villa Ulikuwa Wa(600)Kwenye Ligi Kuu Ya Uingereza Sasa wanaungana Na Man United(690)Kuwa Timu(2)Pekee Zenye Michezo(600)Ya Kushinda.
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Hahahaha, mmefurahi Simba kufungwa? Kwani alikuwa anawania nini hadi akafungwa, kulikuwa na Kombe, Hapana! Ahhaaaa! Kumbe alikuwa anatest tu kikosi, Yani kma mwana Simba lia lia Bora tungefungwa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi March au May kama sijakosea na ikapigwa Kalenda. Yanga SC mlitutangazia kuwa Hukumu ya CAS itatoka Mwezi July na ikapigwa tena Kalenda...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Ameyatamka hayo leo wakati alikilitambulisha benchi la ufundi la Simba..
3 Reactions
44 Replies
3K Views
Hao ndio mabingwa wa kihistoria Tz, wameitendea haki nafasi waliyoipata kwa mbeleko na kufika mbali sana kwenye caf champions league hadi NIGERIA!!!
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Msimu wa 2018/19 ilishika nafasi ya pili Msimu wa 2019/20 ilitangazwa bingwa baada ya kuishia michezo 20 kati ya 30 kutokana na Covid19 Msimu wa 2020/21 hakukuwa na ligi kabisa anateuliwa...
23 Reactions
42 Replies
5K Views
Nafasi ya Haji Manara imebaki wazi Simba. Kamwaga, Masao Mbwire na Salma Ngale kwa pamoja ni pungufu ya Haji Manara. Wamegeuka hanyahanya fc. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Haji hazibiki.
10 Reactions
46 Replies
4K Views
Wana JamiiForums Nimebeti na kampuni ya pari matchi. Nimewala pesa zaidi ya Milioni 3 lakini inakaribia mwezi sasa hawajanitumia pesa yangu na nimejaribu kuwatafuta maranyingi wakaanza kuniuliza...
4 Reactions
100 Replies
21K Views
Jana video imeonekana game ikikaribia kuanza Manara kakaa kwenye benchi la ufundi anaelekeza wachezaji kwa jazba nyingi hadi jasho. Sijawahi kuona huo utaratibu hata kwenye Ndondo Cup,amewatia...
12 Reactions
16 Replies
1K Views
Leo nilipata wasaa wa kushuhudia Tamasha la Vichekesho kutoka kwa watani zangu pale Taifa. Maana ilikuwa sio Tamasha bali ni vibweko tosha, hata ilikuwa bado kidogo nisahau kuwa ninapaswa...
15 Reactions
70 Replies
6K Views
Hao ndio mabingwa wa kihistoria almaarufu kama timu ya wananchi toka Jamhuri ya UTOPOLO!! Mwaka huu wamestahili kabisa kushiriki caf champions league na wamefika mbali sana hadi NIGERIA!! Kwa...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
YOUR WELCOME FANS
0 Reactions
0 Replies
453 Views
Wadau naomba kujua iwapo kadi nyekundu aliyopata mukoko kwa kumchezea boko rafu mbaya kama adhabu yake itampelekea kukosa mechi ya ufunguzi wa ligi!
0 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Licha ya usajii mzuri hatukuwa tumeyachukulia serious michuano ya CAF. 2. Mafanikio ya Simba SC ya msimu uliopita yalifanya ionekane ni rahisi zaidi kuweka jitihada zisizo thabiti kufika...
7 Reactions
41 Replies
3K Views
Majamaa wa Simba wamenikosesha raha sana jana, wananiambia eti jana vigogo wa soka afrika wamekutana, mabingwa wanapimana nguvu, nafahamu kuwa TP Mazembe ni bingwa wa africa mara tano. Pia...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Naam mnamo tarehe 25 mwezi august mwaka 2019 Simba ilitoka 1-1 na UD songo ikapelekea simba kutolewa kwa goli la ugenini ikapelekea Simba kuanza ligi tarehe 28 august kwa kuichapa ppolisi 3-0...
1 Reactions
7 Replies
982 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…