Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Yanga SC ikiwa inafanya vyema Wazungumzaji Wakuu ni 1. Injinia Hersi Said 2. Haji Manara 3. Mshindo Msolla Yanga SC ikiwa inafanya vibaya Wazungumzaji Wakuu ni 1. Haji Mfikirwa 2. Hassan...
2 Reactions
7 Replies
863 Views
Sports Arena (Wasafi FM) Saa 2 na Nusu hadi Saa 5 Kamili Asubuhi Saa 2 na Nusu mpaka Saa 4 na dakika 55 Watangazaji na Wachambuzi watazungumzia Kufungwa kwa Simba SC na TP Mazembe Goli 1 kwa 0...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii kamati ya mapokezi mna maneno mengi sana.Mliisema sana Simba msimu uliopita mara ooh covid imewabeba,mara ooh sisi tukishiriki tutawaonesha mpira unachezwaje...Mungu si Athuman,Simba amewabeba...
8 Reactions
17 Replies
1K Views
Klabu ya Yanga imeamua kutangaza utalii katika jezi zao katika mechi za kimataifa! Wamefikia makubaliano hayo na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia waziri wa wizara hiyo Dr. Damas Ndumbaro...
3 Reactions
56 Replies
5K Views
Haji Manara: Hawajatoa mpaka sasa hivi certicates one hour kabla ya mechi. Hawajatuambia nani yuko positive nani yuko negative. Wanatuletea sasa hivi eti kuna wachezaji sita wako positive, Diara...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Asubuhi tu ..! Wakati Simba S.S.C Inaenda Kuadhimisha Siku Ya Wenye Nchi..! OMBI ... Nchi nzima Ya Tanzania Kokote mlipo tuweke Utani wa Jadi Pembeni. Haya ni Mapambano Ya Nchi dhidi Ya Nchi...
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Yanga haibadiliki kila msimu . Tunafukuza wachezaji na makocha kibao na kusajili wachezaji wapya kibao kila mwaka. Ila mechi zikianza matokeo yanabaki yale yale kila mwaka. Mchawi wa yanga ni...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Simba leo mtafungwa mbili bila na Wacongo Mnajimwambafai sana ila leo mtanyooshwa na Wacongo
0 Reactions
14 Replies
885 Views
Kabla ya Simba SC kucheza na TP Mazembe katika Simba Day Kauli zilikuwa ni.... "TP Mazembe ya sasa hivi ni mbovu mbovu na Simba SC imejitafutia Timu mchekea ili ishinde kirahisi" Baada ya Simba...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Wapuuzi na Wanafiki wakubwa nyie yaani tokea Mwezi wa Saba ( 7 ) tena mwanzoni mlijua kuwa Mwezi Septemba mtacheza CAF CL kwanini hamkujiandaa vizuri na Kimkakati zaidi? Sasa hivi nikikutana tu...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
1. Nimefungwa na Timu Bora mwenzangu na ambaye ameshakuwa Bingwa wa CAF CL mara Tano tofauti na Zanaco FC au Rivers United FC. 2. Nimefungwa na Timu yenye Uzoefu mkubwa wa Kimpira kuliko Zanaco...
8 Reactions
12 Replies
2K Views
Pamoja na Kusukumizwa Nje Ya Mashindano ya CL Ya CAF na kubakia Kuwa 'Wapenzi Watazamaji' huku ikiziacha timu Za Azam, Biashara na Simba zikiendelea kwa hatua inayofuata. Mashabiki na Wapenzi Wa...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Kutokana wacheji wapya kutokuwa pamoja na kuzoeana,matokeo haya yasitutishe wala kutukatisha tamaa,tunawachezaji wazuri wakikaa pamoja kwa muda mrefu tutakuwa na timu bora kabisa. Wale wenzetu wa...
5 Reactions
37 Replies
2K Views
Tumefungwa tena na kutolewa katika mashindano ya ligi ya mabingwa ya Afrika baada ya kufungwa tena 1 bila hivyo matokeo kuwa Rivers United 2 Yanga 0. Viongozi wote wa Yanga inabidi wajiuzulu na...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Hivi ni Mimi peke yangu kama mechi inatangazwa na Peter Drury naongeza sauti EPL?..kuna mtangazaji yeyote anae mkaribia Tu huyu jamaa? Ndo maana mechi kubwa zote huyu jamaa lazima atangaze...
16 Reactions
63 Replies
6K Views
Mnaobeti Kazi ni Kwenu tu kwani Senzo Mbatha Mazingisa kwa Maagizo ya Wadhamini Wakuu wa Klabu MSG wameshamalizana Kimjini Mjini na Rivers United FC na Kesho wanafungwa ama 2 kwa 0 au 3 kwa 1 na...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Mbwana samatta na timu yake ya Royal Antwerp wapo uwanjani muda huu wakipepetana na RFS seraing kunako jupiler pro league. Unaweza kucheki live through hesgoal.com
2 Reactions
4 Replies
874 Views
Natoa ushauri huu ili sisi ambao hatutaweza ingia mkapa tuweze shangilia nasi
2 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilikuwa nasubilia kwa hamu Sana nione timu inayosemwa iko vizuri msimu huu maana yanga ilipofungwa na zanaco kuna wajinga fulani fulani humu waliibuka na kuanza kutoa kila aina ya kejeli na...
15 Reactions
23 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…