Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Cristiano Ronaldo’s international goals: 👇 🇵🇹 Total: 111 🦶 Right foot: 58 🦶 Left foot: 25 😚 Head: 28 ⚽ Inside box: 90 💥 Outside box: 21 ☄️ Free-kicks: 10 ✅ Penalties: 14 🎩 Hat-tricks: 9...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
MTANI UNATUANGUSHA SANA. Simba: Andaeni Timu Yanga: Mtakoma Chama kaondoka Simba: Andaeni Timu Yanga: Trh 28 kutakuwa na Suprise Simba: Andaeni Timu Yanga: Suprise ni Luis Miquissone...
7 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni mkasa wa aina yake, dakika kadhaa kabla ya mchezo wa fainali ya kombe la dunia mwaka 1998 pale nchini Ufaransa, katika mechi iliyokuwa inazikutanisha Ufaransa Vs Brazil kulitokea tukio la...
5 Reactions
47 Replies
6K Views
Huu ndio ujumbe uliopo huko Instagram, ambapo Mabingwa wa Nchi, Simba Sports Club kwa makubaliano maalum na Wizara ya Utalii, watavaa jezi zao zenye maandishi, "Visit Tanzania" lengo ni kutangaza...
15 Reactions
57 Replies
8K Views
16 September 2021 Arusha, Tanzania Mechi ya kujiweka sawa pre season kuelekea msimu mpya wa mashindano ya ndani yatakayoanza tarehe 25 september 2021 league ya Tanzania na baadaye michuano ya...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Makocha wote wa Simba Gomez na Matola hawakuwa na sifa za kuwa makocha wa timu kubwa kama Simba kwa mujibu wa mashindano ya CAF na FIFA hadi hadi kulazimika kuzuiliwa na CAF kwenye mashindano...
7 Reactions
73 Replies
6K Views
Katika kuonyesha kuwa lile Rungu la Kichwa lililompasua Kichwani na Komandoo wa Yanga SC Uwanja wa Mkapa limemchangasha Ubongo sasa Msemaji wa Rivers United FC Charles Mayuku kaja Pigo la...
15 Reactions
35 Replies
4K Views
Kuelekea siku ya Simba day wewe mpenzi wa soka Nchini je unamajibu ya maswali haya? 1, Je simba itaendelea kuwa bora kama msimu uliopita? 2, maingizo mapya kikosini yataleta tija kama matumaini...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni kwamba Mnyama anapiga chafya tu,bado hajanguruma kama Simba
10 Reactions
45 Replies
5K Views
Mimi mwanayanga ile zile pass zimenitisha. Wale jamaa kila mtu anajua kupiga pasi na ikafika. Jana refa alikuwa wetu. Na kama mnavyojua mpira wa africa kila mtu anabebwa na refa akiwa kwake...
5 Reactions
46 Replies
4K Views
Nani asiyeipenda simba ukiachana na wavuta bangi ? Nenda kwa wanalamba lamba watakwambia simba baba lao wanajeshi wa mpakani huwaambii kitu kwa mnyama Sasa Caf wameanza kuisogelea simba washajua...
20 Reactions
21 Replies
3K Views
Pimeni leo hapo Muhimbili hiyo Covid-19 yenu ila mkifika tu Kwao nchini Nigeria 85% ya Wachezaji wenu watakutwa nayo na Kuna uwezekano Golini akakaa Hersi, Kiungo akacheza Haji na Ushambuliaji...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Tupo ukingoni mwa msimu huu 2020/2021 ambapo ligi mbalimbali zinaenda kufikia tamati. Kufika tamati kwa msimu huu, ni maandalizi ya kuingia msimu ujao. Tayari baadhi ya timu zimeshaanza kutoa...
15 Reactions
364 Replies
77K Views
Siku zote Watu wa Simba SC ambao 99.99% si tu kwamba ni Wasomi bali pia tumebarikiwa Akili Kubwa ili tuweze kutoa Elimu kwa Mashabiki wenye bahati mbaya ya kuwa na Upeo mdogo pamoja na Uelewa...
6 Reactions
33 Replies
5K Views
Habari wanaJF, Naomba kwa yeyote anayejua full team (kikosi cha simba na kikosi cha Yanga) na jezi namba za wachezaji msimu huu 2021/2022 anitiririshie hapa. 🙏🙏🙏
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Vs Roma..(7-2) Vs Rb Leipzig..(5-1)..cjui Bila Vs Southampton..(9-0) Vs Leeds..(5-1 6-2) Kamaliza wa 2 kwny league..na lose 6 sawa na champion.. Kafika fainali EUROPA..[emoji23][emoji23]..(tukakaa...
0 Reactions
6 Replies
611 Views
Wachezaji hao wamepata upenyo huo baada ya ndege yao kutumia uwanja wa kimataifa wa Orly, jijini Paris kama kituo, ilipokuwa ikitokea Morocco ikielekea Algeria, walipochuana na Niger mapema mwezi...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwa kubonyeza hapo chini utaona ratiba nzima ya mechi za Yanga kwenye ligi kuu Tanzania bara. Ratiba mechi za Yanga Ligi Kuu TPL 2021/2022, Ifuatayo ni Ratiba ya Yanga msimu huu 2021/2022 ,Mechi...
2 Reactions
10 Replies
8K Views
Ratiba mechi za Simba Ligi kuu TPL 2021/2022. Simba Sports Club watoto wa Kariakoo, Dar es Salaam, Tanzania. Walizaliwa 1936 as Queens, baadaye club ilibadilisha jina na kuitwa Eagles, baadaye...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
Nilishasema kuwa kuna Kazi iliyo nyepesi sana Kwangu Mightier ni ya Kufuatilia Habari ngumu na zinazofichwa ndani ya Klabu ya Yanga. Kwa taarifa nilizopemyezewa na Mmoja wa Waandamizi wa Yanga SC...
13 Reactions
35 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…