Wakuu ukweli lazima usemwe kwa sasaman united wanachokosa ni kocha tu Ole Gunnar sio kocha hata manyema hawezi fundisha kama wanataka kubeba kombe msimu huu basi wamtimue kocha wao.
Kiherehere chenu cha Kujitutumua nanyi kwenda nchini Morocco Kuwaiga Simba SC ili mkae Siku 10 na mkaa Siku 5 tu Kifurushi cha Kisinda kikaisha kilitoka wapi?
Aliyewaambieni mfanye Usajili wa 75%...
Manchester United is delighted to confirm that the club has reached agreement with Juventus for the transfer of Cristiano Ronaldo, subject to agreement of personal terms, visa and medical...
1: ROONEY vs DROGBA vs AGUERO
2: LAMPARD vs SCHOLESY vs GERRARD
3: TERRY vs FERDINAND vs SOL CAMPBELL
4: OBLAK vs De GEA vs COURTOIS
5: EVRA vs ASHLEY COLE
6: MARCELO vs LAHM
7: XABI ALONSO...
Wakuu kuuliza si ujinga je ni vigezo gani hutumiwa na hizi app zinazoenesha livescore (sanasana flashscore) kupanga msimamo wa ligi pale timu zinapokuwa hazijacheza hata raundi moja Yaani zote...
Binafsi nimeona haya
Mosi:
Yanga walianza kucheza kimasihara, na kuwachukulia poa Rivers united, walicheza kama vile wanacheza ndondo.
Nilirudi sasa kwenye ufundi
Rivers walianza na Viungo 5...
Kwanza niweke wazi mimi ni shabiki WA Yanga.
Jana nimeangalia Ile mechi yote nikagundua yafuatayo kuhusu wachezaji wetu.
1. Mukoko: huyu kiungo maridadi nmegundua anaonekana kama Hana furaha kbs...
Jana yanga tumepoteza pointi tatu muhimu katika mechi dhidi ya Rivers united ya Nigeria Simba wametuzomea sana kana kwamba hawajui hali yetu.
kwa sasa tujuavyo Simba kwetu sisi ni mke wetu..na...
Wasikie utopolo wanavyosema!! Tumewashtukia caf!! Caf wanaibeba simba! Hatupeleki timu Nigeria!! Kwa nini sisi tucheze mechi 2 wakati simba hawacheza hata mechi moja?? Kwa utopolo hiyo ni hoja...
Haitakuwa kazi ngumu kwa kocha, viongozi, wachezaji na mashabiki wa Yanga kujitetea kama ikitokea bahati mbaya wakafungwa na kutolewa kwenye mashindano ya kimataifa msimu huu. Sababu zao zitakuwa...
Ukiondoa zile ranks zilizotolewa na CAF katika timu bora na mambo mengine
Ni sifa zipi ambazo zinasema kwamba hii timu ni TIMU KUBWA
Tuendelee kujifunza, elimu haina mwisho
Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti...
Tena na sema yanga watachukuwa kombe la afrika mwaka wa 2021-2022
Andikeni tariki hizi na nina waomba nyote mrudi hapa mwisho wa msimu mje ku comment na nina sema utabiri wangu utakapo timia...
Ile Kauli mbiu ya Utopolo waliyodanganywa danganywa na Msukule wao kuwa Return of Champions walipigwa changa la Macho. Lengo la Mwamba Manara lilikuwa ni kujipa promo yeye Binafsi kwamba he is a...
Baada ya kuangalia mechi yetu ya leo haya ndo mawazo/maoni/maswali na mapendekezo yangu
1. GSM kupitia Hersi Said kwanini wanahusika kwenye usajili wa wachezaji? Yani Hersi ndo scout wa Yanga...
Kikosi cha yanga kwa Muda waliokaa kambini ni Mchache sana na ukizingatia Safari za hapa na pale!
1st Goalkeeper, Djigui Diarra ni bonge Moja la Mchezaji, hata uwe mnafiki vipi Lazima kazi yake...
Baada ya Timu ya wananchi kufungwa mama katoa mkeka wa Baraza la mawaziri.
Watu wamesahau kipigo cha Yanga sasa ni kujadili baraza la mawaziri.
Ajenda imehama.