Kama ambavyo tweet inavyoonesha hapo juu, Mbwana Ali Samatta amerudi nchini Ubeligiji, na safari hii akijiunga na klabu kongwe nchini humo, yaani Royal Antwerp! Kwa wafuatiliaji, bila shaka...
iwapo mechi ya ccl afrika dhidi ya Nigeria Yanga watapoteza na kutoka kwenye mashindano na kisha mechi ya ngao ya jamii Yanga afungwe na simba huu ndiyo utakuwa mwisho wa haji manara !wana Yanga...
Kiukweli utakuwa mnafiki sana kuwalaumu wasomaji wa gazeti la Mwanaspoti na wasikilizaji wa Efm ambao hadi leo najiuliza wana akili gani za matope kudhani Maulidi ni mtu sahihi wa kuwa anchor wa...
Chonde chonde viongozi wangu hasa GSM itilieni mkazo mechi hii na msipoanglia kwa umakini inaweza ikawa chanzo cha nyie kuondoka Yanga.
Atleast yanga hiii inatakiwa kufika group stage caf...
Yanga itacheza na Rivers Jumapili Mkapa Stadium. Naionea huruma Tanzania inaenda kuingia kwenye aibu kubwa ya mwaka.
Hii timu mazoezi inafanyia mitandaoni. Hii timu mazoezi inafanyia kwenye...
Taarifa za michezo ya Ndondo Cup kuchezewa uwanja wa Kinesi badala ya Bandari haijatolewa na Mkuu wa Mkoa wa Dar kama baadhi ya wana JF wanavyo ihabarisha umma wa wanamichezo na kuhusisha jambo...
Habari zenu wana michezo mliomo humu ndani, hakika msimu wa mwaka 2020/2021 umeisha na pongezi kwa timu zilizoweza kufikisha malengo kwa asilimia mia moja na waliokaribia asilimia mia. Ila pole...
Msemaji mkuu wa Yanga bwana Haji Manara ameongea na waandishi wa habari na kuwahakikishia mashabiki kuwa Yanga itaibuka na ushindi mnono siku ya jumapili dhidi ya timu ya Rivers united kutoka...
Sasa ni wakati wa timu ya Yanga kujifunza kuhusu mechi za nyumbani,hii spirit ya Simba ya "Hatoki mtu kwa Mkapa" imefanikiwa kwa asilimia 100
Simba wamejenga imani mechi za nje wanaweza kupoteza...
Kiukweli ukiangalia namna GSM na viongozi wa Yanga wanavyoendesha timu kiukweli inashangaza sana. Nilitoa uzi hapa nikiziomba timu zetu zinazowakilisha nchi zijikite kwenye maandalizi ya uhakika...
Nyie Yanga ili muweze kusonga mbele CAF tumieni slogan ambayo Simba huwa wanaitumia kwenye mashinda ya CAF
Pia ua galagaza ,iwe mvua au jua ,kwa Mkapa hatoki mtu
Na kama mnaanzia nyumbani...
Nitawalaumu kwa umakini mdogo mlioonyesha leo kufumania nyavu, nafasi 4 za wazi zingetosha kuwafanya muondoke na ushindi Leo hii, huwezi kupoteza nafasi kama hizo halafu ukategemea eti usonge...
Kwa kweli nimeumia sana niwe mkweli, hawa Rivers nao ni wa kutufunga kweli?
Sawa tulifungwa lakini makosa haya yamechangia
1: kocha alijua wazi na kuona namna mukoko na zawadi hasa hasa zawadi...
Maandalizi hafifu ndani ya uwanja huku nguvu kubwa ikiwekwa katika kutimiza malengo ya wadhamini ambayo ni kuuuza bidhaa zao kwa kuwekeza zaidi katika njia ambazo kwao walizani zitaweza kutangaza...
Igweeeeeeeeeeee
Hatimaye file limefika kwa waziri mkuu
Jana kabla ya kuahirishwa kwa vikao vya bunge, Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa alipongeza juhudi na mafanikio yanayofikiwa na wanamasumbwi wa...
Masaa mawili kabla ya mechi ya leo .wachezaji 3 tegemeo wa Timu yw Nigeria walizuiwa kucheza . Kisingizio ni Covid.
Yanga mjiandae kwa shughuli kamamlioifanya kwa Mkapa leo!
Bondia wa ngumi za kulipwa Evander Holyfield(58) ambaye alistaafu mwaka 2011 alirejea ulingoni na kupambana Septemba 12, 2021 katika pambano la maonesho ambapo alipambana na Vitor Belfort(44)...
1, Aina ya sajiri walizofanya kikosini na muda wa maandalizi watawapa mashabiki wao kile walichokimiss kwa muda mrefu ?
2, Kuwakosa Khalid Aucho, Djuna na Mayele kunaenda kuiathiri vipi Yanga ...