Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Leo hii mimi mwenye akili timamu namshangiliaje Haji Manara? Huyu mshenzi ambaye alitutukana kwa kila tusi aliloweza kututukana leo hii sisi wenye akili tubebane naye? Haya ni matusi. Na...
7 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu kwema? Yanga leo imefikia kilele cha Wiki wanayoiita wenyewe ya Wananchi. Wametambulisha wachezaji wao wa timu ya wakubwa huku timu zao zote 3 (Wakubwa, Vijana na Wanawake) zikicheza...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Fundi Cherehani akiendelea kuchakata suti za wachezaji wa Yanga. Hapa ni kwa fundi Muwa pale Tandika! Kisha wakabandika nembo kuonesha ni suti za Italy πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
13 Reactions
25 Replies
6K Views
Katika hali ya kushangaza, programu ya TBC online katika mitandao ya kijamii imeripoti kwamba goli la pili la timu ya Zanaco ya Zambia dhidi ya Yanga ya Tanzania katika tamasha la kilele cha wiki...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nilikuwa naangalia mechi ya Connecticut leo, bahati mbaya wamefungwa 70 kwa 69. Mtanzania mwenzetu Hashim anaweza kupata kishawishi cha kwenda NBA. Kusema kweli mwaka huu ameimprove sana katika...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ninavowaangalia hawa jamaa ni kama beseni kubwa lililojaa mapapai.Wakati wengine wanajiandaa kwa vikombe,wao wanatafuta kiki juu ya maiti au kama imefufuka basi ni msukule waliomuokota baada ya...
0 Reactions
2 Replies
628 Views
Kuna baadhi ya mashabiki oya oya na wale wa makoro koro FC wanataka kutumia mechi ya yanga ya jana kufungwa Kama kichaka cha kueneza propaganda ya kuwa yanga imesajili vibaya. Watu hao nafikiri...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Blatter condemns European clubs Sepp Blatter has accused Europe's richest clubs of 'despicable' behaviour and engaging in 'social and economic rape' as they scour the developing world for...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Man Utd still under a big pressure. They need to win but things seem not to work out. 1 - 0 defeat from Sporting Lisbon is a shame to them! What's up Man Utd funs?
0 Reactions
27 Replies
3K Views
hapana nafikiri kila mtu sasa anaitambua majoo wa jiji kuwa wanatisha
0 Reactions
11 Replies
2K Views
"Yanga SC haiandaliwi Kiushindani Uwanjani ila kilichopungua tu sasa ni Strategy ya Kibiashara zaidi ambapo kila mwaka Timu inasajili Wachezaji wengi wa Kigeni kisha kuwatengenezea Hamasa ya...
7 Reactions
27 Replies
4K Views
Ni mtazamo tuu, wala msijenge chuki. Kuna dalili zote Lokosa Junior akawa kama Yikpe tu. Japo hajapata muda wa kutosha, ila kwa touch zake mbili tatu nikiwa kama mdau wa soka naona kabisa Simba...
7 Reactions
94 Replies
9K Views
Nimekuwa nikifatilia vipindi mbali mbali vya habari za michezo. Wahandishi wengi wa habari za michezo wanapenda kumuhoji Mwinyi Zahera kuhusu habari za Yanga. Zahera amehojiwa kuhusu tukio la...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Picha imeambatanishwa Maoni yako mdau
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Ikiwa kama tunataka kupima uwezo wa timu kujaza mashabiki kwenye kinachoitwa Yanga Day , basi ni vema tuache kujidanganya kutumia ujanja ujanja kama huu ambao yanga wanautumia. Kitendo cha...
9 Reactions
47 Replies
5K Views
Kama Yanga SC ingeshinda leo dhidi ya Zanaco FC Kesho Watangazaji na Wachambuzi wa Michezo walipanga kusema yafuatayo.... "Hakika Yanga SC hii ndiyo yenyewe na hata hao Simba SC na Azam FC hata...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar wa sport, Leo yanga imetambulisha wachezaji wote, lakin mchezaji anaeliportiwa kisajiliwa na yanga, kutoka uganda kiungo aucho.imekuwaje akuwepo wakati wa utambulisho , na kama kuna sababu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Leo wiki ya 'wananchi' imehitimishwa kwa burudani kedekede ikiwamo soka lenyewe. Vikosi vya yanga vimetinga uwanjani kupambana na vikosi pinzani, hii yote ni kunogesha shamrashamra na kudhihirisha...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Baada ya timu ya wananchi kuchezea kichapo katika siku ya tamasha lao pendwa. Msemaji wa mpya Haji Manara aka Bugatti amerekodiwa akizomewa na mashbiki wenye hasira kali. #PoleSanaManara
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba niweke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga na ninahamu ya kuona club yetu msimu huu inapata mafanikio. Ujio wa Haji Manara katika timu yetu, bila shaka ni moja ya mikakati ya timu yetu...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…