Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Mnaombwa wote wana utopolo msikose jumapili kutakuwa na suprise kubwa sana anashuka prince Dube, Siphiwe Tshabalala legendary wa south africa na jopo la makocha kutoka team ya Auxerre ya...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Hata sisi wengine hatukuwa na imani na MO , na mimi nimeweka maandiko mengi sana humu kuhusu utapeli wa MO kwenye masuala ya Simba , nilikuwa Team Kilomoni (wanaofuatilia jf wanajua) , Lakini...
5 Reactions
22 Replies
2K Views
haina haja ya kumuelezea sana kanitonya kwamba semaji jipya limewasiliana naye ili amsindikize Olomide kutoa burudani kwa wana utopolo. Tumsapoti kwa nguvu zote mwana Jf mwenzetu tujitokeze kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Jana simba imecheza mechi ya kirafiki na kutoa sare, kwa mpira ule kocha anakazi ya ziada kukijenga kikosi, tumefungwa magoli ya offside alafu mpira tumecheza kama chandimu, nimeamini itatuchukua...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Simba ni club kubwa mno Hakuna mtu mkubwa kuzidi Simba Mtu akiachana na simba inapaswa asahaulike maana sio tena mwanasimba Nashangaa huko mitandao ya simba ni kumzungumzia Manara tu, mtu mdogo...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Ninawashangaa sana hawa utopolo baada ya kumsaini utopolo mwenzao wanakuja kututambia bila kujua ni sawa na mtu mzima kucheza sarakasi akiwa amevaa taulo pekee. Manara hadi kufikia kuaminiwa na...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Naona Haji Manara ngozi anasifiwa leo eti kawapa jina simba wanaitwa makorokoro fc, hivi huo ndio ubunifu aliowahiidi? kabla hata hajaja huko si mlishajaribu majina kama mikia, simbilisi...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Wana Bodi bila shaka mumeweza kulifahamu hili kuwa Haji Manara yupo kibiashara na wazito wa Yanga wanalifahamu hili. Rejea hapa:"Mithali 28:11 [11]Mtu tajiri ana hekima machoni pake mwenyewe...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Hassan bumbuli alimpa makavu live baadaya kuwacheka Yanga kwa ajali ya kupasuka tairi la mbele la gari ambayo kimahesabu ingeweza kusababisha madhara makubwa kama kawaida yake ya kutumia ulemavu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Saa kumi hiyo ishafika mabingwa wa nchi wanaanza Press conference bahati mbaya kuna jitu pori sijui linguruwe pori liko addicted sana na chochote kinachosemwa na mabingwa Utasikia ohooooo...
0 Reactions
5 Replies
895 Views
Mimi ni Simba lakini nimejikuta naisikitikia sana Yanga.
10 Reactions
78 Replies
7K Views
Kumekuwa na sintofahamu kuhusu nafasi ya 'Bugatti' hasa ikizingatiwa Yanga inae Afisa wa Habari, Hassan Bumbuli na Afsa wa Uhamasishaji Antonio Nugaz Kaimu Katibu Mkuu wa Yanga Haji Mfikirwa...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari njema kwetu mashabiki wa Rivers United tumesajili majembe mawili ya kazi, karibuni sana kutoa comments zenu msisahau pia tuko katika michuano maalumu inayofanyika huko Benin ikishirikisha...
6 Reactions
25 Replies
3K Views
Lopolopo Hajj Manara lilidai lina mkataba wa simba milion 384 kwa mwaka kuonyesha contents za simba huko Azam TV. Cha kushangaza ni contents za utopolo ndizo zinaonyeshwa huko Morocco ina maana...
9 Reactions
59 Replies
5K Views
Kwenye Mpira wa miguu ni ushabiki pekee ndio sio ajira na fulsa Kuwa shabiki wa Clabu fulani hakuangalii Maslahi wala fulsa yoyote Wengi tunashabikia vilabu vya mpira bila sababu yoyote tena...
2 Reactions
4 Replies
983 Views
Nimezipata kuwa kuna watu wetu wanaangalia namna ya kumfanya Manara awe msemaji wa Yanga. This is bullshit. Yaani kama kuna jambo la kipumbavu kupata tokea duniani na matusi kwa wanayanga ni hili...
21 Reactions
105 Replies
9K Views
Habari wakuu, Imezoeeleka miaka yote simba hufungua msimu na tukio babkubwa la simba day. Mwaka huu sijasikia kitu kuhusiana na simba day, je simba day haipo mwaka huu?
1 Reactions
35 Replies
4K Views
Ni kweli timu zote mbili kwa hivi sasa zinaendeshwa na wawekezaji wenye malengo binafsi zaidi tofauti na hapo awali walipokuwa pembeni wakisaidia kama wafadhili. Lakini ukifanya tathimini zaidi...
11 Reactions
17 Replies
2K Views
kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
6 Reactions
15 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…