Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Wengine tulikuja na Threads za kila aina hapa JamiiForums za Kumsema Haji Manara huku tukiwa na Taarifa za Kutosha tu kuwa alikuwa ni Msaliti ndani ya Simba SC tukadharaulika na Kupuuzwa hatimaye...
8 Reactions
46 Replies
3K Views
Vilabu vingi vinatumia baadhi ya wachezaji wao maarufu kuvaa jezi wakati wa uzinduzi tofauti na yanga ambayo imemtumia manara. Hivi yanga hawana wachezaji mpaka imtumie haji manara? kwani jezi...
1 Reactions
22 Replies
3K Views
Mbunge wa Morogoro Kusini, Khamis Tale maarufu kama Babu Tale amesema ataleta gari aina ya V8 ya mwaka 2020 ili kuwashindanisha Hassan Mwakinyo na Twaha Kiduku Maneno hayo ameyasema baada ya...
4 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimejaribu Kuwasihi mno wasifanye wanachotaka Kukifanya kwa Kitendo cha Haji Manara wakanionya ninyamaze vinginevyo nami pia watanijumuisha katika Kafara lao Kubwa wanaloenda kulifanya kwa Usaliti...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nilivyoona utambulisho wa Manara sasa naamini hawa GSM hawana lengo la kuiendeleza Yanga ila ni wachumaji tu na lengo ni kuuza jezi za Yanga tu
15 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakuu Usiku Wa Kuamkia Leo Manny Pacquiao amepigwa na Yourdenis Ugas Naona Pacquiao Kazeeka Sasa === Manny Pacquiao was unable rekindle the dominance of his prime, fading in the later rounds and...
5 Reactions
37 Replies
3K Views
Wadau tukio la No kuweka pesa halijapewa uzito unao stahili ukilinganisha na Mambo yaliyo tokea huko nyuma Binafsi naliona pengo Manara, na hii ni Mwanzo tu. Yule mtu hakua msomi lakini alikua...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Tulijiuliza sana kwanini Yanga wanamtetea Manara humu? Mtu avunje miiko ya kazi halafu kundi la wahuni linamtetea. Uongozi wa Simba sio wajinga, leo manara anatangaza tamasha la Yanga kuonyesha...
17 Reactions
81 Replies
7K Views
Habari kutoka chanzo cha ndani GSM ni muda wowote kuanzia kesho Luis Miquissone atatambulishwa kama mchezaji mpya wa kigeni kwa klabu ya Yanga. NB: Yanga wanafanya mambo kwa pupa na itawatokea puani!
10 Reactions
66 Replies
11K Views
Haji huyuhuyu anaelalamikia uongozi wa Simba, alikuwa analipwa 700k bila vyeti Manara huyuhuyu ambaye kabla ya Simba hakuwa maarufu shida zake kubwa zilitatuliwa na MO kifedha kama kijana wake...
26 Reactions
122 Replies
11K Views
Ule msemo wa kuwa Siasa haina rafiki au adui wa kudumu naomba leo uhamie kwenye soka! Mimi binafsi naomba Mo unisamehe, niliaminishwa maneno kuwa wewe ni mbaya na jamaa fulani ila leo nimeamini...
22 Reactions
69 Replies
5K Views
Wote ni viungo wa kukata na shoka katika ubora wao! Wote kwa nyakati tofauti waliweza kucheza nafasi ya box to box midfielder, holding au central midfield! Nafasi imebaki moja, unampa nani namba...
4 Reactions
38 Replies
4K Views
Hakuna blah blah ! Huo ndio ukweli, na tujue hilo na wanaomnyatia nyatia, kama hauna Bilioni 10 za Kitanzania basi usihangaike hata kumhitaji Miquisson. Tena hio Bilioni 10 ni TUNAKUFIKIRIA au...
15 Reactions
50 Replies
6K Views
Kuna tetesi kuwa Ezekiel Kamwaga atapishina na Gift Macha pale Simba. Binafsi nashuri club yangu pendwa impe usemaji Masau Bwire mbele ya Gift Macha pale Simba. Nina uhakika kuna kitu ataongeza...
5 Reactions
51 Replies
5K Views
Tulipoona tangazo la PRESS ya leo ya YANGA tulijua majibu ya Morrison ndo yamerudi kumbe wanatangaza ujio wa HAJI MANARA swali ni je WHY MANARA ATANGAZWE katika tarehe ambayo tulitarajia watupe...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Akiwa anafikiria kuondoka kwa @realcloutuschama na luis_miquison kuta leta unafuu wa kupata nafasi ya kucheza mara kwa mara @simbasctanzania ikamletea wachezaji 4 kwenye nafasi hiyo @dcduncun...
4 Reactions
8 Replies
2K Views
Huyu nia yake ya kujimilikisha Timu ya Simba sasa imekua dhahiri. Taarifa za ndani zinasema kuwa Dewj anawaondoa watu wote ambao wamekuwa kikwazo katika mkakati wake. Huyu ametapatapa sana...
17 Reactions
72 Replies
7K Views
Haji Manara ameizima Yanga na kuisigina kabisa. Msuso umewarudia wenyewe
6 Reactions
37 Replies
6K Views
Michuano ya Paralympics inaanza leo Jijini Tokyo huku Japan ikikabiliwa na mlipuko mbaya zaidi ya COVID-19 ambao umepelekea idadi kubwa ya maambukizi kurekodiwa na Mfumo wa Huduma za Afya kulemewa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…