Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Habari zinazozunguka mtandaoni hivi sasa ni kwamba mshambuliaji mahiri wa ureno na klabu ya Juventus anaweza kuhamia klabu ya Manchester City kabla ya kufungwa kwa dirisha la usajili nchini...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mimi ni shabiki wa Simba maana watu hawakawii kukuita Yanga, utopolo n.k. Simba chini ya Babra na Mo walimfanyia Haji Figisu and Vice Versa( kila mmoja anamtuhumu mwenzake). Baada ya Haji kuona...
5 Reactions
13 Replies
976 Views
Baada ya kusikiliza clip ya Haji Manara ni dhahiri shahiri anajiona amekua mkubwa zaidi ya Simba. Uongozi wa Simba uchukue hatua haraka za kumuondoa kwa mustakbal wa klabu yetu pendwa. Anasahau...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari, leo ndio kuna fununu ya ile kesi ya kijana wetu mpendwa Morrison kule CAS. Je kuna mwenye taarifa yeyote?
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Msemaji mkuu wa klabu ya Simba amesema Simba siyo baba wala mama yake. Manara amesema anaweza kujipatia riziki yake kupitia vyanzo vyake vingine vya mapato na si lazima iwe klabuni hapo. Manara...
8 Reactions
107 Replies
22K Views
Gazeti la Mwananchi limeripoti muda mfupi uliopita kuwa Msemaji wa Klabu Simba Haji Manara alizimia mara kufuatia kipigo cha bao 4 kwa bila kutoka kwa Klabu ya Kaizer Chief ya Africa Kusini...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
KLABU ya Yanga imesitisha kambi yake nchini Morocco kwa sababu mbalimbali na baadhi ya wachezaji wakirejea Tanzania jana huku wengine wakilazimika kusalia nchini humo. Miongoni mwa sababu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Na Edo Kumwembe Mpaka pale tutakapopata sababu ya ukweli ni kipi kimewarejesha Yanga haraka hapa Tanzania kwa sasa tukubaliane na mambo yafuatayo. 1. Yanga wamekosa uzoefu (experience) ya safari...
14 Reactions
29 Replies
36K Views
Wadau mnaonaje Haji Manara akajengewa sanamu kutokana na mchango wake mkubwa aliotoa kwenye Taifa kuwa msemaji Bora Duniani Hadi FIFA wameandika hajawai tokea msemaji Kama huyu tangu dunia...
5 Reactions
46 Replies
5K Views
Bondia wa Tanzania Hassan Mwakinyo amesema hana mpango wa kupigana na bondia yoyote kutoka ndani ya nchi, amewataka wanaomzungumzia waache kumfikiria Mwakinyo anatarajia kupigana na Julius...
6 Reactions
40 Replies
7K Views
1) Eti sababu wachezaji kama nane wataitwa kwenye nchi zao kwa michezo ya kimataifa hivyo timu itameguka 2) Eti sababu kule kambi iliko joto Sana. 3) Eti tuna mechi wiki ya mwananchi na wale...
12 Reactions
199 Replies
16K Views
Mzuka wanajamvi! Natoa pongezi ya mapema (in advance) kwa timu ya mpira ya ligi kuu ya Uingereza Arsenal FC the gunners kwa kuwa timu ya kwanza msimu huu mpya wa 2021/22 kwa kuongoza ligi...
7 Reactions
48 Replies
4K Views
Jana semaji la Taifa lilitua Morocco kuungana na mdhamini wake ila bahati mbaya kutokana na poor logistics zilizofanywa na wadhamini timu imeshindwa kuendelea na kambi. Sasa sijui semaji nalo...
5 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwezi Agosti mwaka 2008, mji wa Beijing uliandaa michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto, ambayo ilifanikiwa kwa kiasi kikubwa, na kupongezwa na jamii ya kimataifa. Miaka 13 baadaye, mwezi wa Agosti...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mchezaji wa zamani wa simba, yanga, kagera na stand united baada ya kustaafu kucheza amehamia kwenye Tasnia hiyo akiwa anafanyia kazi clouds media. Kipindi ni kila siku saa 3 usiku na jumapili saa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wakuu Nimewasikia Kiemba na Shafih leo kwenye kipindi cha Sport Extra. Asee Shafih ni mweupe kabisa kwa Kiemba. Yani kuna muda Shafih alikua anatoa sababu za Namungo kufanya vibaya...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Wachezaji Wanawake Wanatufurahisha wanavyoleta makombe ila wakiwa hawana afya ya kucheza watakuwa na maisha gani?, Tujiulize tumewaandalia nini?, wengi hawana ndoa na kwa walivyo ndoa kwao ndoto...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hatimaye Aliyekuwa Makamu wa Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) John Bayo Ajiuzulu. John Bayo amejiuzulu baada ya kusakamwa na Sakata la Vyeti Feki, ingawa yeye amedai amejiuzulu ili awe...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nasikia unapanga kufanya Press Conference yako ya Kutapika Nyongo yako dhidi ya Simba SC hasa Watendaji wake kati ya Jumatatu au Jumanne ijayo. Nami pia nakuonya mapema sana just ya hili kwani...
32 Reactions
85 Replies
10K Views
Kwanza napenda kukiri kuwa mimi ni mpenzi wa Simba, hata hivyo kuna mambo mawili yamejitokeza wiki hii katika klabu ya Yanga ambayo yanafikirisha sana, na kutia shaka kama kuna weledi Kutoweka...
6 Reactions
24 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…