Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Just a Reminder, Marquinhos will Remain PSG's Captain for 2021-22 Season. ©️😎 He will be The Captain of: — Lionel Messi 🐐(Former Barça Captain & Current Argentina Captain) — Sergio Ramos 🐐(Former...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Taarifa kutoka Morocco zinasema kwamba kocha msaidizi wa Yanga Sighr Hamad amevunja mkataba na klabu hiyo na hatakuwa sehemu ya benchi la ufundi kwa msimu ujao. Mbali na kocha msaidizi lakini pia...
10 Reactions
39 Replies
4K Views
Tukirudi nyuma kabisa historia inawatambua kuwa Simba SC ndiyo klabu pekee Tanzania. Tukumbuke ishu ya Singano, Yondani, Chuji na Hassan Kessy hawa wote walisepa pale kwasababu ya changamoto ya...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Je, Kisheria baada ya jana Haji Manara kuitaja Kampuni ya Azam akiihusisha kuwa na Vita ya Chuki na Kampuni za Mohammed Dewji yuko salama kama aliyeguswa akitaka Kumshtaki? 2. Je, kati ya...
22 Reactions
107 Replies
9K Views
Imekuwa maajabu! Ukiingia youtube huko wafaransa wanafatilia mno safari ya Messi huku wakiwa live youtube airport kuanzia Spain mpaka Paris.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifuatilia usajili wa wachezaji Simba toka Mwekezaji Mo aanze kuifadhili Simba kabla hajaingiza 20b. Kwa miaka minne iliyopita usajili wa Simba ulijipambanua kama timu hasa inayohitaji...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Kipa wa Simba, Beno Kakolanya leo Agosti 19, 2021 asubuhi amefiwa na mama yake mzazi anayeitwa Eva Mwankusye na msiba upo kwao Isyesye jijini Mbeya. Taarifa za msiba huo zimethibitishwa na kaka...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimesajiliwa baadhi ya wachezaji ambao sikuwataka mfano Makambo. Walisema wanamleta makambo atakuwa na Ajibu walicheza pamoja lakini niliona mtandaoni huyo Ajibu nae amesalia katika club yake ya...
12 Reactions
31 Replies
4K Views
Hawa jamaa bana dah walikuwa wanaringia magorofa eti wako mjini siyo vijijini, jamani ushamba mzigo sana HALI YA HEWA YAGEUKA KIKWAZO KWENYE MAZOEZI YA YANGA Kwa mujibu wa kauli ya Afisa habari...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari 👋 Siku ya leo nimeona vyema nizikumbushe mamlaka za soka nchini Tanzania katika masuala kadhaa, nitumaini langu baada ya ushauri huu utekelezaji utaanza na msimu mpya 2021/2022...
12 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamani Simba na Yanga why wachezji wengi kiasi hicho, nimeona AL AHLY wamesajili wachezaj watatu. Sisi kama wanaocheza ni 11 why sasa tumesajili kama wachezaj 15 ina maana kuna wengine tutawaacha...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Msikilize Easy E -Ezekiel Kamwaga akiongea kwa staha, weledi na umakini mkubwa. Anaongea kama msomi na mtu mwenye exposure. Hakuna porojo, povu wala mapovu. Anaeleza issues na vipengele kwa kina...
12 Reactions
18 Replies
3K Views
Ukiwa shuleni unafundishwa michezo mingi sana (kwenye Masomo ya "Maarifa ya Jamii" mfano Stadi za Kazi na Haiba na Michezo) Michezo hiyo imegawanywa katika namna mbili yaani michezo isiyo ya...
2 Reactions
7 Replies
6K Views
Wakuu Nielewesheni Wajuzi tafadhali! Zinazuka Taarifa za kimkataba hapa kuhusu Hii ishu ya Yusuf Mhilu na Sakata la usajili wake kama si Usahili . Nasikia hii ya Release Clause ,Kwamba hii...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
"Football teams can win without the coaches, but coaches cannot win without the team." 👏 Thomas Tuchel after win German Coach of the year award 2019/2020
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Kutoka kwenye ukurasa wa Maulid Kitenge huko Twitter ameripoti kuwa kuna tetesi kuwa nyota mahiri wa Simba Sc kutoka Zambia, Clatous Chota Chama ameuzwa kwa klabu moja nchini Morocco. Hiyo ni...
5 Reactions
52 Replies
11K Views
Wajuzi wa mpira hebu tufafanulieni humu kuhusu ubaya na ukubwa wa makosa waliyofanya Mukoko na Onyango wakati wa mechi ya Simba na Yanga kule kigoma. Bocco alimfanyia madhambi Mukoko, badala ya...
5 Reactions
93 Replies
10K Views
Simba kumsajili na kumtambulisha Mhilu mwenye mkataba halali na Kagera bila kufuata utaratibu inamaanisha nini?
1 Reactions
42 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…