Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Simba watasema hili dongo kwa Mwamedi
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Droo ya michuano ya kombe la mataifa ya Afrika AFCON 2021 imepangwa jana, huku vigogo na mabingwa watetezi Algeria wamepangwa kundi moja na bingwa wa zamani, Ivory Coast. Katika sherehe za...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari. Hizi habari naona Simba SC wanazichukulia poa sana kwa haya madudu waliyofanya juu ya mchezaji wa Kagera Sugar, Yusuph Mhilu. Wamemsajili na kumtambulisha kabisa kwa wanachama wao wote...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Ukiwasikiliza redioni wanavyolalamika kukosolewa inashangaza sana, yes nazungumzia hawa WACHA-MBUZI MAAN KUNA WACHAMBUZI NA WACHA MUNGU HALAFU KUNA SOCCER PUNDITS Haiwezekani umekalisha tu...
5 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukaichilia team moja tu ambayo kupitia kwa watu wake inaratibu syndicate hii kubwa inayohusisha waandishi takataka lifuatalo ni onyo kwa teams nyingine za bongo zinazoenda kimataifa: Msithubutu...
13 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu, Tumewazungumzia sana kizazi hiki cha wachambuzi wetu ambacho pia kinachangia kuharibu mpira wetu na hasa michezo isiyo soka alafu wao ndio mabingwa wa ulalamishi kwenye media zao. Yapo...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Juzi hapa niliwapenyezea za chini ya kapeti. Wengi walinijia Inbox na kuniuliza hizo habari nimezipata wapi ila sikuwajibu. Tetesi: - Walace Karia akubaliana na ombi la Simba SC kuongeza Idadi ya...
8 Reactions
91 Replies
9K Views
Habari ndugu zangu, mm ni kijana ambaye nimesomea kozi mbali mbali za ukocha japo level yangu siyo kubwa sana lakini namshukuru Mungu kwa hapa nilipofika. Kwa sasa nafundisha watoto kuanzia miaka...
2 Reactions
0 Replies
601 Views
Hii ndio taarifa iliyotolewa na Sky Sports , kwamba kuna dalili za club ya soka ya Arsenal kuzinduka kutoka kwenye limbwata la Mikel Arteta na kumtupia virago , huku ikihusishwa na Kocha wa...
11 Reactions
33 Replies
38K Views
Uongozi wa Kagera Sugar umetangaza unataka dau la milioni 200 kama ada ya uamisho ya mchezaji wao kwenda Simba SC. Iko hivi... Simba waliweka dau la milioni 35 kwa Kagera Sugar kuvunja mkataba wa...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Kuna mpasuko mkubwa uliopo ndani ya simba hivi sasa. Kuna bomu kubwa sana linakuja kulipuka muda sio mrefu. Hiyo yote ni kwa ajili ya Boss kuuza wachezaji wawili na mpunga bado haujasomeka katika...
23 Reactions
115 Replies
7K Views
Habari wanajamvi? Kwa siku za karibuni kila kocha akiondoka Yanga huwa anatuacha na jina. Mara tuliitwa wapumbavu, wajinga, hatuna akili, nyani, golira hayo ni baadhi tu ya majina tuliopewa na...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Team inayoongoza msimamo wa EPL ligi ni MANCHESTER UNITED Top Score anatokea MANCHESTER UNITED Top assists anatokea MANCHESTER UNITED Timu ilofunga magoal mengi ni MANCHESTER UNITED Team yenye...
2 Reactions
9 Replies
927 Views
Tokea tetesi za usajili zimeanza na hali ilivyoendelea hadi jana mtaani hawa jamaa zetu wamekuwa wapole kuliko kawaida hata zile jersey zao wamepunguza kuzitinga hii ni kwa utafiti mdogo...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
UNAAMBIWA SIMBA ya msimu ujao utawaona watu kutoka UGANDA, KENYA, CONGO, SENEGAL, ZIMBABWE, IVORY COST, GHANA, MALI n.k. inshort utaiona AFRIKA. YANGA ya msimu ujao utawaona watu kutoka CONGO...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya jamaa kupigwa moja pale Kinshasa na kugongwa goals 4 hapo taifa kama kawaida takataka'z zenye hasira na mafanikio ya Simba zikaja na tahmini yao zikidai kwamba AS Vita iliyopiga simba bao...
4 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamni mbona wenzake wanajua ku balance mapenzi yao ya simba na yanga inapokuja issue ya team nyingine? Ibrahim maestro alishawahi kuwa hadi kuwa kiongozi wa simba lakini hajafikia level ya...
3 Reactions
24 Replies
3K Views
Brother ifunze ku balance shobo basi yaani haihitaji hata mwanasaikolojia akiangalia hiii video kujua kwamba una chuki kwa simba iliyopitiliza, Magori anaongea vitu vya maaaa unajifanya uko bize...
5 Reactions
37 Replies
4K Views
Beki mwenye uwezo na sifa za kuwa sehemu ya kikosi cha Simba SC, Israel Mwenda (21) sasa ni rasmi kuwa ni mchezaji wa mabingwa wa nchi [emoji881] Karibu Mwenda. Wanasimba tunaamini utaitendea...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
Habibu Kiyombo mchezaji aliyeonekana kuwa na Kipaji cha Kutisha kuanzia Simba B na baadae Mbao FC alionyesha cheche za Kufunga mabao kadri alivyojiskia, Wachambuzi uchwara wa Soka wakamjaza Upepo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…