Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Huyu njiti kutoka kule Rosario Argentina, tarehe kama Ya Leo alizaliwa. Katimiza miaka 34 leo, ni majonzi sana Kwa wapenzi wa Kabumbu kuona Vijana hawa wataalamu wa huo Mpira Umri unawaaga. Na...
9 Reactions
23 Replies
2K Views
Napata shida sana kuangalia clips za marudio ya hii match. Napata shida kuona mpira ukichezwa kama vita na ugomvi. Najiuliza faida ya rafu hizi ni nini. Mbali na upinzani wa timu lakini wachezaji...
4 Reactions
26 Replies
3K Views
Watanzania Felix Simbu, Failuna Matanga na Gabriel Geay, wamefanikiwa kufuzu viwango vya Olimpiki na wanatarajia kuondoka nchini Julai 27, 2021 kuelekea Japan kwa ajili ya mashindano hayo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri chini ya miaka 23 imetwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA kwa kuifunga Burundi kwa mikwaju ya Penalti 6 - 5 baada ya kutoa suluhu ndani ya dakika 90 kwenye uwanja...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Je, ni Haji Manara ambaye baada ya Kuuamisha Umma kuwa anaonewa hivyo alitamani Simba SC ifungwe majuzi ili aje Kummaliza vyema Adui yake Kisha akaendelee zake Kupiga Pesa ASAS Diary, Azam...
6 Reactions
20 Replies
3K Views
Naona mabadiliko Sana. D league imepanda chat sana. Wale watu wa NBA anything to say? Sioni uzi wa NBA..
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Kuna siku nilisikiliza Wasafi FM kuna jamaa alihojiwa nasema anaunga mfupa uliovunjika bila kupasua tena akasema hata Mapinduzi Balama angeenda kwake angemtibu within a month. Sasa kuna huyu...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Hakuna Mtu wa Simba SC hasa hao Viongozi uliowataja wakiongozwa na Salim "Try Again' Wala Nahodha wa Simba SC John Boko aliyekushauri kuwa usifanye ile Press Conference yako uliyoiahidi bali...
20 Reactions
31 Replies
5K Views
"Kwa miaka 4 sisi ndio Tumeiweka Tanzania kwenye ramani ya Soka Afrika. Mimi siwezi kukubali mdhamini kutupa hela sawa na wenzetu. Tuna mashabiki wengi hivyo mdhamini atafaidika zaidi kwetu kuliko...
11 Reactions
63 Replies
4K Views
Rejea kichwa cha Habari hapo juu Ni mechi ya kirafiki iliyochezwa tarehe 2/8/2014 mjini Michigan kwenye dimba la Ann Arbor Stadium, Nchini Marekani, ilihudhuriwa na watazamaji 109,318 na kuweka...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake...
10 Reactions
40 Replies
5K Views
Jose Mourinho: ′′ Nadhani mwanangu, Heung Min Son anapaswa kumtazama Harry Kane. Amka mwanangu Son na uombe uhamisho haraka ikiwa unataka kitu cha kuonyesha kwa familia yako kule Korea baada ya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
link hiyo hapo https://twitter.com/CAFCLCC === Mpigie kura Luis Miquissone kupitia ukurasa wa @cafclcc wa Twitter ili goli alilofunga tulipocheza na Al Ahly liweze kuwa bora la Ligi ya Mabingwa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Nenda kampigie kura dogo ashinde. Hata kama ni Yanga kampe dogo kiroho saaafi Updates Luis ameshinda kwa kishindo 92.5%
10 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwa sababu ya Manara ilibidi Yanga watafute kikundi cha wapiga kelele angalu wapambane naye. Lakini sasa Yanga itkwenda kuwa juu sana. Msimu ujao ulimuhitaji sana Manara. Yanga itakua imara sana...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
====== Hajj Manara mwisho wake ni leo, Gsm poleni sana yuda iskarioti is out, Ezekiel ni kama vile anapewa miezi miwili ya transition ili kuendeshwa kitofauti na kusafisha u snitch...
24 Reactions
143 Replies
27K Views
Manara ni 1 ya aina ya Wananchi ambao roho huwa inaniuma sana kuwa hatuna bado utaratibu mzuri wa kusheherekea watu wetu kwa Mapungufu/Mazuri yao. That guy, amechangia kuongezeka uzalendo wa...
5 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa tunaomjua Ezekiel Kamwaga ni Simba damu na ameshafanya kazi hadi za kujitolea pesa yake mifukoni enzi hizo hakuna cha Mo wala nani. Kashafanya kazi hadi ya kuwa Kaimu katibu Mkuu, watu wakiwa...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Kwanza niseme tu hewa imekuwa nyepesi mno baada ya kusikia manara kaondoka. Mechi ya juzi kiukweli Yanga tulistahili kushindwa, Mukoko kitu alichofanya sio cha kiungwana kabisa na matokeo yake...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…