Kwa ufupi tu,
Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga...
Utopolo atacheza kimataifa mwakani kwa mgongo wa Simba, cha msingi wasilete aibu kwa taifa kwa kutolewa mapema.
Kitu kingine, marefa wa kimataifa huko hawana uvumilivu na ule mchezo wao wa kihuni...
Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui
Ushauri
1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza
2) Wachezaji mjitume...
Hii kampuni ya kishenzi sana siku hizi ukila hela wanaamua wanakupa saa ngapi.
Hii mara ya nne wanaropoka subiri masaa 48 huu ungese kabisa.
Halafu ina mkurugenzi kabisa aliienda shule hope...
Simba imetangaza kujitoa kwenye mshindano ya Kagame yanatotarajiwa kufanyika mapema Agosti jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa timu Simba, Abbas Ally amesema hawashiriki Kagame ili kutoa nafasi kwa...
Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba...
1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua...
Nimekaa najiuliza hivi siku ya leo ya mechi ya Simba na Yanga na kwa hali ilivyo kati ya Manara na uongozi wa Simba, muda huu unafikiri atakua wapi?
Mimi ninavyoona atakuwa zake shamba hataki...
Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba...
Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" .
Naomba asitokee...
Habari wakuu,
Kwa hali iliyokuwepo wiki nzima kwa baadhi ya viongozi wa klabu hii kupishana maneno hadharani hasa kuelekea game nzito ya fainali inaonyesha hali sio shwari sana.
Unahisi nini...
Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu
Target...
Wasalaaaam wakuu
Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la...
jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana.....
Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.