Msemaji wa Simba alipokuja redioni kuinadi mechi ya Simba na Yanga majuzi,
akiwa na advataizi ya mavazi ya timu ya mpira wa baseball ya New York Yankees
Nawasalimu wakubwa habari zenu,
Nashindwaga kuelewa soka la Tanzania haswa kwa upande wa Dada zetu. Asilimia 90% wanaocheza mpira wa miguu wengi wao ni ma-tomboy.
Yaani utakuta mpaka bange...
Kuna timu zina wachezaji wenye majina makubwa lakini sio ndio garantii ya kufanya vyema hasa linapokuja suala la Tournament kubwa kama hii ya Euro 2016 ambayo itafanyika Ufaransa kwanzia 10 June...
Picha inajieleza,Mzee Mpili Ameridhia, kila la heri Young Africans,Mabingwa wa Kihistoria[emoji123],Yanga ya Wananchi[emoji172][emoji169].
Naiona timu yenye matokeo mkononi ikienda kula...
Sergio Ramos leo inaripotiwa kuwa atafanya vipimo vya afya Paris Ufaransa kwa ajili ya kukamilisha uhamisho wake wa kujiunga na PSG, Ramos atasaini mkataba wa miaka miwili.
Habari wanajamvi, tangia dakika 90 ziishe (Simba 0_Yanga 1) nimebaini kupitia mashabiki kindaki ndaki wa timu hizi yakuwa ni raha sana kumfunga mtani ikiwezekana nje ndani yaani 1st & 2nd round...
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba...
#NIONAVYO MIMI: HAJI MANARA HAFAI KUWA MSEMAJI WA SIMBA SC.
kwanza kabisa napenda kukiri wazi kuwa Mimi ni shabiki wa chama la wana SIMBA SC, pili nina muheshimu kaka yangu Haji Manara na nina...
Wazee wa michezo, huyu mwamba tunaanza kumdiscuss lini?
Mdigo anaewakilisha taifa la mama yake.
Damu yetu hii mbona hatuipi air time kwenye vyombo vyetu vya habari?
Nawapongeza yanga kwa ushindi wa jana lakini nawakumbusaha tu kuwa jana refa alitunyima penati halali kabisa beki wa yanga aliunawa mpira ndani ya box
Wachambuzi (takataka) wamenyamaza kimya kama...
Wakala wa Cristiano Ronaldo, Jorge Mendes anafanyia kazi mpango wa kuongezwa kwa mkataba nyota huyo wa kusalia Juventus kwa mwaka mmoja zaidi utakaomfunga mshambuliaji huyo wa Ureno kuendelea...
Habari 👋🏾
Kumekuwa na wimbi la wachezaji wa soka wanaopewa uwezo ambao kiuhalisia hawana na mara nyingi wanakuzwa na waandishi wenye mawazo hasi na vyombo vya habari vilivyojijenga katika...
Kwa miaka ya karibuni ukiwa Rais wa Tanzania na ukitaka ujihakikishie sana Kupendwa / Kukubalika na Wananchi anza Kuwapenda Vijana kisha njoo kwa Wasanii wa Muziki Kisha maliza na Wapenda Soka...
Mahakama Kuu Jiji Dar es salaam leo Julai 2, 2021 imetupilia mbali ombi la kusimamisha mchakato wa uchaguzi mkuu wa viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu (TFF) uliopangwa kufanyika Agosti 7...
Kwanza naomba nieleweke vizuri kuwa nimekosa neno sahihi la kutumia zaidi ya hilo "ushenzi"Neno ushenzi ni kinyume cha neno ustaarabu.
Kwa miaka mingi nchi zetu tumekuwa tukipambana na utamaduni...
Habari zenu wapenda soka wote popote pale mlipo na wapenda michezo mingine pia wasalaam, wakuu kumekuwa na swali fikirishi ambalo linanisumbua ubongo hivi mwaka huu endapo simba atatwaa ubingwa wa...
Mimi nikiwa mwana Simba napenda kuwapongeza wachezaji wetu kwani walijitahidi kutengeneza nafasi sana hasa kipindi cha pili lakini bahati haikuwa yetu.
Yanga kama akina Mwadui,Prison,na wengineo...
"Kuna sababu za msingi ambazo zilinifanya nichague kuichezea timu ya Taifa ya England badala ya Nigeria, sababu ya kwanza ni wazi Nigeria haina nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia wakati...
Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu...