Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team...
Habari wadau,
Nimekubali hujui thamani ya ulichonacho hadi kikiondoka. Mwinyi Zahera tulimfukuza kwa mbwembwe.
Ila mpaka leo yanga haijapata mafanikio kuzidi ya mwinyi zahera japo alikaa mida...
Namungo alikuwa CAF na walitolewa pamoja na simba ila wamecheza gemu 31 wakati simba gemu 27 hapa hakuna gemu wamecheza je walikuwa wapi.
Ligi imekuwa ya kipumbavu Karia ni takataka kabisa
Yanga...
Kila siku nasema yanga inaonewa sana kwa kweli, imagine mshambuliaji hatari aliyemzidi hata Mohamed Salah kwa magoals kwenye kwalifikesheni za afcon anaonekana kituko Bongo.
Kumbuka mtambo huo wa...
"Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni...
Kupitia Runinga leo nimetazama mechi ya Ruvu dhidi ya Yanga, Nilichokiona cha maana leo ni goli la Saido Ntibazonjiza "antibiotic akipiga free kick maridhawa kabisa, nikimtazama vizuri alijiamini...
TFF inasema timu zimeongezeka baada ya "Tanzania" kukusanya alama nyingi. Ni sawa, ila kwani kuna ubaya gani mkisema baada ya Simba Sc Lunyasi timu tishio Afrika na mabingwa watarajiwa wa...
Habari Wadau,
Mimi ni mfatiliaji mkubwa sana wa Sports Arena. Ninaamini ni kipindi kuzuri sana cha michezo na kina wachambuzi wazuri sana kama kina George Ambangile, Edo Kumwembe. Tatizo liko...
☝
Expansion Joint ya Chuo kikuu cha DSM kama mnaikumbuka ndio mfano halisi wa mabeki wa Yanga .
Bila Lamine Moro hawataweza kupata Clean sheet milele, unaweza kudhani Mwamnyeto ni beki bora...
Amefanya Mambo mengi mazuri hasa katika kuleta Mandeleo ya Soka Tanzania
Katika Wagombea wote waliochukua Fomu Karia ni bora na anafaa kuliko wengine.
Tena ikiwezekana na Katiba ikiruhusu...
Match kama ya leo itusaidie kupandisha wafungaji wetu wafikishe bao nyingi. Huyu kipa wa Mwadui tunamfahamu vizuri sana.
Naomba tutumie nafasi hii kupata ushindi wa kishindo.
===========
21'...
" Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo...
Baada ya ushindi wa leo wa goli 1 bila mbele ya Polisi TZ, na kufikisha pointi 70 , ni wazi kuwa Simba Sc wanahitaji point 6 tu yaani ushindi wa mechi 2 ili wawe mabingwa wa msimu huu VPL...
Keeper la zamani la yanga under 20 ama kwa hakika ni mchezaji ambaye kajiwekea historia mbovu kwa goli la ajabu alilohakikisha linaingia golini.
Huyu hastahili tena kuonekana ligi kuu aende huko...
Nangalia mechi ya azam na gwambina, vivuli vya wachezaji ni vingi mno, mchezaji mmoja anaweza kuwa na vivuli vinne, hii inahalibu ubora wa picha. Wakuu nyie mnaonaje au ni ushamba wangu
Kusajili wachezaji bila kuwepo kwa kocha mkuu, kuondoka kwa Zahera na makocha wengine, kuondoka Molinga, Yondani, Ngassa, Carlinhos, Lamine, Morrison, Mwakalebela na kusuasua kwa mabadiliko ya...
Hili jina la taifa stars halina baraka kwa timu yetu, hasa baada ya kulaaniwa na Rais mstaafu Mwinyi. Taifa stars ndo nini? Wakati timu za wenzetu zikipewa majina yenye maana na ya kishujaa kama...
Footballers with degrees: Kompany, Mata & 10 players who went to university | Goal.com
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa Jamiiforums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima...