Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa humu jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania mimi binafsi ninadhani;
Kuna umuhimu wa klabu moja wapo kubwa (Simba au Yanga) kuondoka Dar na kuhamia...
Habari za wakati huu kaka na dada zangu wote wa hapa jamiiforums.
Ndugu zangu watanzania;
Kwanini TBC wanashindwa kununua mechi za Fenerbahçe watanzania wamuone Samatta?
Tulishindwa kununua...
Tangu ilipokuwa inaitwa FAT chini ya mzee Ndolanga na bwana Rage mpaka leo hii kuwa TFF ya Jamal Malinzi, mimi kama mdau wa michezo hususani mchezo wa mpira wa miguu sijaona juhudi zozote za...
Ronaldo amecheza mechi 4 dhidi ya Ujerumani. Mara zote hizo hajawahi kufunga goli! Je leo atauvunja mwiko huo na kuzifumania nyavu? Ngoja tuone, yetu macho!
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara VPL Kuendelea kupigwa leo Juni 19, 2021 ambapo Polisi Tanzania wanawakabili Mabingwa wa Nchi, Simba SC, Mnyama Mkali kwenye Uwanja wa CCM Kirumba Jiji Mwanza...
Japo tunakupongeza lakini upande mwingine tunasikitika kua umewahi mno kuipiga hiyo free kick, hiyo iliwafaa sana wale jamaa...maana ungekua ni msumari muhimu mno...lakini bado hata hivyo ngoma...
Tafadhali aambiwe upesi hizi ' Interviews ' zake alizozianza Jana (baada ya Kuchukua Fomu) na hii ya Leo ya Wasafi FM zitamponza.
Aachane nazo mara moja kwa sasa.
Wakuu At last Redemption and Apology imetoka kwa Mhusika. Its a good start. Tamko la klabu Jana lilikuwa Sahihi. Following Punishment haziepukiki.But it's life , we live, make mistakes and learn...
Nimemsikiliza ndugu yangu Ali mayai nimestuka kusikia Ali aliondolewa kwa kukosa udhamini.
Hizi chaguzi zina vituko kweli yule mdada amefanikiwa wadhamini na Ali akose udhamini inawaingia...
Inasikitisha kuona timu kubwa kama Yanga ambayo imeupachika uwanja wake jina la Kenneth Kaunda Stadium inashindwa kutoa hata taarifa ya kusikitishwa na msiba wa mwanamajumui huyu wa Afrika.
Ndio...
Jemedari Said ( Meneja wa Kipa Metacha Mnata ) mwenye 'Matatizo' sasa na Klabu yake ya Yanga SC katika Mtu ambaye huwa sisahau, najua Kukariri haraka na natunza Kumbukumbu kwa 100% Ubongoni ni...
Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha.
Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya...
Dhambi za madeni hamna tofauti na uhujumu uchumi.
Nimemsikia mchezaji wetu leo golikipa akiomba radhi.
Alienimaliza na meneja wake bana jama amemaliza mkataba mpaka sasa awajakaa.Nae wanazingua...
Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC...
Japo ni 'Poti' wangu kabisa kutoka Mkoani Mara (Musoma) ila kwa hili na haya yanayokutokea sasa hapo Yanga SC Kipa Metacha Mnata wala sikuonei 'Huruma' kabisa kwani umeyataka Mwenyewe na...
Wakuu wakati akiwa Mwanza nilimsikia Rais Samia akizungumzia suala la uanzishwaji wa academics kwa kila mkoa ili kukuza sekta ya mchezo wenyewe.
Ni jambo jema sana ila mimi nina mawazo tofauti na...
Juhudi zangu za Kuchimba kutoka Jikoni nimeambiwa na Mmoja wao kuwa si Kweli kuwa Yanga SC hawataleta Timu Siku hiyo ila Kutishia kwao huku mara kwa mara kutoitambua au kutocheza 'Derby' ni kutaka...
Wakuu habari
MWADUI VS MTIBWA
Npo nasikiliza mpira kupitia redio hapa vikindu lakn kinacho nishangaza kocha wa timu hii anasikika Tena kwa sauti kupitia U FM akiwafundisha wachezaji wake kila...