Ofisi ya mkuu wa mkoa Mwanza imesikitishwa na taarifa zilizoenezwa na baadhi ya watu kuwa mkuu wa mkoa Mhe Said Mtanda amevamia mazoezi ya Simba akiwa na polisi na kuwashikili meneja wa timu na...
Soma pia: Vurugu kali zimezuka Uwanja wa CCM Kirumba wakati Simba SC ikifanya mazoezi kuelekea mechi na Pamba Jiji hapo kesho'
========
Uongozi wa klabu ya Simba umesikitishwa na vitendo visivyo...
Naona inasemwa semwa kwenye mitandao kwamba mkuu wa mkoa wa Mwanza Said Mtanda aliyeleta tafrani katika maandalizi ya Simba ni mlezi wa timu ya Pamba na mshabiki wa Yanga ambazo zote ziko ligi kuu...
GUINEA WANTS TANZANIA OUT OF #AFCON2025
Guinea has asked African football governing body, CAF to nullify Tanzania's #AFCON2025 qualification due irregularities cited in a report submitted by the...
Yupo mwandishi uchwara wa habari za michezo raia wa Ghana aitwaye Micky Jnr ambaye kwa ujinga wake ameamua kuwa upande wa wasio itakia mema timu yetu ya Taifa na kueneza habari za kuhanikiza...
Ahmed Ally
“Tunawaomba Pamba Jiji Fc katika mchezo wa kesho wacheze mpira kwenye uwezo wao, wasicheze mpira wa hovyo wenye lengo la kutuumizia wachezaji wetu, Bado hatujasahau kesi ya Moses...
Timu yetu imeshinda kwa bahati na juhudi binafsi za wachezaji wetu,hao makocha wetu wote,hawana ujuzi wala sifa za kuifundisha timu ya taifa.
Ushindi wa jana hakuna ufundi wowote uliooneshwa na...
Najua Watanzania ni watu wa matukio
Hapa tumefuzu Kwa mbinde na coach Morocco anaonekana shujaa, ila ana mbinu duni akikutana na timu ngumu atapigwa kama ngoma
Tumefuzu lakini Kwa kubahatisha tu...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeeleza kusikitishwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni kuhusu uhalali wa mchezaji Muhamed Ame kuchezea Timu ya Taifa (Taifa Stars).
TFF imefafanua...
Hakuna ubishi kuwa baadhi ya viongozi wa Pamba ni wanachama wa Yanga na walitangaza dhahiri kwenye mitandao ya kijamii wakati walipocheza na Yanga na kutafunwa mabao 3 0 kuwa baadhi yao wanajiweka...
Sijazoea Unafiki na najua kwa huu Ukweli wangu nitachukiwa mno na wasiopenda Ukweli na Wadau wa Unafiki.
Yanga SC wametuzidi Simba SC kwa Jezi nzuri katika Michuano ya Kimataifa inayoenda kuanza...
Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini
Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo...
Klabu ya Yanga Sc kupitia kwa Meneja wake wa Habari na Mawasiliano Ally Kamwe, imethibitisha kuwa jezi mpya za klabu hiyo kwa ajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zitazinduliwa Tarehe 20, Novemba 2024...