Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kocha wa timu ya Taifa ya Spain, Jose Luis Enrique ameita kikosi cha timu ya taifa kwaajili ya maandalizi ya Michuano ya Ulaya kwa Timu za Taifa zitakzoanza Juni 11 mwaka huu. katika hali ya...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Mara kwa mara tunakutana na nyakati ngumu, wala hatupaswi kuzikimbia bali kuzikabili na kuzishinda. Hii sio kwenye mpira pekee bali kwenye maisha yetu kiujumla. Vitu vibaya hutokea lakini...
2 Reactions
2 Replies
679 Views
Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu...
1 Reactions
4 Replies
994 Views
Salam wanaJF! Kwa wafanya mazoezi, zoezi la Plank ni moja ya zoezi maarufu na Muhimu lakini gumu. Licha ya kuwa na faida nyingi mfano kuondoa kitambi, kuupa mwili uhimilivu na kujenga misuli...
5 Reactions
21 Replies
5K Views
Kesho ndio ile fainali ya EUROPA kati ya Manchester United na Villa Real, moja ya vitu vilivyo nishangaza ni kocha mstaafu wa manchester united kusafiri na timu wakielekea kwenye fainali hyo maana...
2 Reactions
18 Replies
1K Views
Ama kwa hakika utopolo wnajiona wajanja lakini kiuhalisia ni majinga fulani tu embu angalia hizi tweets za mashabiki wa kaizer chiefs wakishangaa walichokuwa wanakiona na kikubwa zaidi majezi feki...
3 Reactions
22 Replies
4K Views
"Huyu Kocha nimejuana nae Siku nyingi hata kabla ya kuja hapo Simba SC. Anafanya mambo ambayo najua yatakuja Kumrudia na ataumbuka kwani hata Mwenyezi Mungu anayaona na atamuadhibu. Ana Chuki...
8 Reactions
68 Replies
7K Views
Jumatatu iliyopita Wabunge ambao waliripotiwa kuwa ni mashabiki was Yanga waliingia Bungeni wakiwa na bashsha Bila kuficha furaha yao walinyoosh vidole vyo juu wakiashiria kufurahia kipigo...
2 Reactions
29 Replies
2K Views
Mabingwa wa nchi Simba Sports Club wameondolewa kwenye michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya robo fainali. Hata hivyo kufika hatua hiyo Ni mafanikio mengine makubwa kwa mabingwa hao wa...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mchezaji wa soka Louis Suarez raia wa Uruguay aliyekua akiichezea Club ya Barcelona ya Spain toka mwaka 2014 - 2020 akitokea Liverpool,aliambiwa na kocha mpya wa Barcelona Ronald Koeman kua alikua...
11 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakuu Mpira wa Afrika una mambo mengi sana, yaani ukiziangalia hizi mechi mbili ile ya kwanza kule SA na hii ya jana Temeke unaona kuna nguvu kubwa sana inatumika nje ya uwanja. Ukiitizama Simba...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Licha ya Simba kutumia propaganda,muda na Pesa nyingi,bado wameshindwa kumpata fundi wa kutengeneza Meza ya miguu mitano
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Nasisitiza tu, ilikuwa hoja dhaifu kutuaminisha kuwa mngeshinda tano. Pia ni hoja dhaifu kutuaminisha kuwa Yanga watakwenda body ya ligi kabla ya tarehe thelathini. Kiufupi hoja zenu zimekuwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sijui Morrison aliwaza nini kwa kufanya hivi alivyofanya. Yaani unaacha mpira unaenda kujiparamia kwenye miguu ya mchezaji. Pengine angefanya maamuzi zaidi ya haya aliyoyafanya ingesaidia timu ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala? Au Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hii iwafikie uongozi wa Yanga ya kua Sisi Mashabiki Hatukubalian na wao kwa kumpa Mkataba Ajibu sabab ni Mchezaji ambae Alitudharau Sana Mpaka kufikia kiwango cha yeye kugomea mechi na kusema...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Leo kusema ukweli wachezaji wametufurahisha sana japo mimi ni Yanga. Penye ukweli lazima tuseme ukweli. Hongereni sana wana Simba.
19 Reactions
39 Replies
4K Views
Wakuu, leo nimekuja na mjadala. Man City wametwaa ubingwa wao wa EPL na leo wamekabidhiwa ndoo yao. Cha kushangaza kocha Guardiola amekiongoza kikosi hiko kutwaa ubingwa bila ya kuwa na namba 9...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
EPL itaishia timu zipi zipo top ten?? naamini hizi ndo zitaingia top ten. Liverpool arsenal man city Chelsea Everton man u. Leicester Tottenham wolves. leeds..
6 Reactions
56 Replies
4K Views
Lete yako, mimi yangu... 1.Liverpool 2.Chelsea 3.Man city 4.Man united
3 Reactions
72 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…