Kwa nini wamesema hivyo? Kwa sababu ni yeye ndiye aliyekata move ya bao la pili, bila kufanya ile trick ya kipumbavu mpira ungeendelea na Simba walikuwa katika hatua ya mwisho ya kupata bao la...
Pep alifanya barcelona iwe tamu kuliko hata dem ulomuahid ndoa
Pep alifanya messi aonekane mungu wa mpira
Alitengeneza kiungo hatari zaid duniani yaani Andres...sergio...Hernandez
Hakuwai...
Habari.
Nimewaza hapa haraka haraka hizi kelele za hawa wanamsimbazi/wamatopeni siku ya kesho wakiweza kupindua meza?
Sijui ujasiri wameutoa wapi pamoja na kipigo cha mbwa koko ila bado wana...
Kuna Watu niliambiwa kuwa wakilitaka lao wanajua kulipata kwa 'Kuroga' vibaya tena kwa 'Kufuru' kabisa nikawa siamini, ila kwa nilichokiona na Kukisikia kuna Mtu aliwacheka Watu Kidharau akiwa '...
Ni half time sasa hivi. Atlético madrid 0 kibonde Valadollid 1. Ni mechi ya mwisho msimu huu wa la liga. Ushindi ni lazima kwa Atlético watwae ubingwa. Real Madrid nayo iko half time ikiwa goli...
Naaaaaaam Barabara kabisa...
Karibuni wapendwa wanamichezo katika mpambano wa kukata na shoka kati ya Simba ya Tanzania dhidi ya Kaizer chiefs ya Afrika Kusini, mechi hii ni ya mkondo wa pili...
Wadau salam,
Naomba wajuvi watujulishe kwa maendeleo ya kesi ya Morrison na Yanga huko CAS yakoje kwani ilielezwa march hii itatoka ratiba ya vikao na jaji alishateuliwa huo ni upande wa Yanga na...
Kwa wanaojua historia ya kandanda yetu hasa Simba na Yanga watakumbuka michezo ya akina Murtaza Dewji wa Pan African, Abbas Gulamali wa Yanga na Azim Dewji wa Simba.
Hawa Simba waliocheza robo...
Pamoja na KUTOLEWA, Simba imecheza Classic Game. CONGRATULATIONS.[emoji322][emoji898]
MAPENDEKEZO
1. Gomes ni Kocha Mzuri, Simba iendelee nae.
2. Nadhani Simba itafute Forward mwenye UWEZO na...
Natoa pongezi Kwa timu zangu tatu kwa kuwa mabingwa msimu huu 20/21. Timu hizo ni:
Man. City------EPL.
Atletico---------La Liga.
Simba------------VPL.( UTO hawapindui meza).
SIMBA SPORTS...
Wakati Eibar wanapanda daraja kushiriki La Liga 2014, Atletico Madrid walikuwa mabingwa wa Hispania.
Miaka saba baadaye, 2021, Eibar wameshuka daraja, Atletico wametwaa tena ubingwa.
Unaweza...
Kama ukipata nafasi ya kumshauri kocha wa simba kiufundi je nani aanze kwenye first eleven Kati ya Kagere na Mugalu ungempendekeza nani?
Mana kuna mijadala Mingi inaendelea kwamba Mugalu kazi...
Hii imekaaje mashabiki wa Simba wamezima simu na kutoweka mtandaoni hata kabla ya Mechi kuisha
Kesho tunaamkaje wazee hii gemu tushapigwa 4-0 duh.
Poleni rudini ulingoni tupambane mtujibu nani...
Kwanza nianze kwa Kuipongeza Simba SC kwa Kufa Kiume kwa leo nayo Kushinda Goli 3 kwa 0 japo tumetolewa kwa Kanuni ila hatujafungwa bali wote tumeshinda katika nchi zetu.
Hata hivyo kwa Maoni...
This is what actually Kaizer Chiefs have just done to Simba.
Wame waachia Simba washinde pambano (battle) whilst wao Kaizer Chief wameshinda Vita (war)
However hongereni sana watani kwa ushindi...
Kwanza kabisa kilichopo mezani ni kuwa Simba sc imetolewa kwenye Mashindano. hakuna njia nyingine ya ku justify simba's elimination in #CafCL lakini kuna mambo machache yametokea baada ya mechi...