Kesho nitamsimulia mwanangu umahiri wa Andres Iniesta wa kupiga pasi adhimu, Pasi tamu na ilikuwa ni faradhi kufurahi muda wowote ukimwona Iniesta na mpira. Utafurahi zaidi akiwa na Xavi pembeni...
Nikiwa na akili timamu bila kutumwa na mtu, nasema binafsi kuwa simba hana uwezo wa kupindua matokeo .
Hata waroge, wachinje mbuzi, kuku, kunguru, ng'ombe na takataka zote hawana uwezo wa kufunga...
Kikao cha Kamati ya Utendaji cha Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) kilichofanyika Jijini Dar es Salaam, kimefanya Uteuzi wa Katibu Mkuu Mpya ambaye ni Wakili Msomi Jackson Ndaweka.
Uteuzi...
Naam, tukutane hapa wale wapenzi wote wa Dubs #Dubnation na wazee wote wa kikapu Mambo ya #Hoops[emoji459] Tuijadili timu yetu hii yenye wachezaje wenye vipaji lukuki.
Misimu miwili na nusu...
Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuweza kunifanya GENTAMYCINE niwe najua Kujichanganya na kila aina ya Watu, Kukubalika na kujenga nao Urafiki hivyo kusaidia Kazi yangu ya 'Kufukunyuwa' Mambo...
Timu mbili kutoka Nchi marafiki, Afrika Kusini na Tanzania zinakutana leo Jumamosi ya Mei 15, 2021 kwenye uwanja wa kwanza Afrika kuchezwa fainali za Kombe la Dunia, ambapo Kaizer Chiefs...
Kwa muda wa miaka miwili nimekuwa nikifuatilia post za watu wa Clouds kuhusu hicho wanachoita Ndondo Cup.
Moja ya jambo linalotawala sana ni zile picha za waganga ama wao wanaita kamati za...
Habari.
Kocha mkuu wa Kaizer Chiefs mtaalamu Hunt aliyekuwa na kicheko cha dharau dakika ya 65 ya mchezo wa kwanza wa klabu bingwa Africa CAFCL, Hunt amethibitisha wachezaji wawili waliokuwa...
Mabondia wanne wa Tanzania akiwemo Dullah Mbabe wamewasili nchi Urusi kuzichapa na mabondia wa Urusi ambao awali Dullah Mbabe aliwataja kuwa wanapiga sana, lakini ameamua kwenda.
Dullah Mbabe...
Wanangu wa Mbeya hongera zenu kwa kuwa ma giants wa soka nchini just behind Dar
Nitoe pongezi kwa Timu za Mbeya City, Ihefu fc, Tanzania Prisons, Mbeya Kwanza na Ken Gold zinaonyesha umwamba wa...
Ni nani aliyowaambia kuwa Kiufundi (hasa katika Mpira) Timu yako ikiwa imefungwa katika ' Margin ' kubwa ili nayo Kulipiza Kisasi (Kupundua Meza) Wachezaji wanatakiwa waahidiwe Magari ya Kifahari...
Lile jambazi lililotupiga jana linalipwa randi 950,000 kwa mwezi, lilikuwa kazini serious hawa jamaa wako vizuri, hao wengine naendelea kuwatafuta taratibu.
Wengine: Lazarous Kambole randi...
1. Man City 83'
2. Manchester United 71'
3. Chelsea 67'
4. Liverpool 66'
5. Leicester City 66'
6. West Ham 62'
[emoji117]Bado mechi 1 kwa kila timu!
Fixture ipo hivi
Leicester city Vs tottenham...
Habari za mchana wadau wa Soka. Napata pilau langu hapa nikiandika uzi huu.
Kwanza kabisa, pongezi kwa Simba kwa kuweka wazi kiasi itakachopokea kwenye mauzo ya Jezi kutoka kwa Vunja Bei Group...
Time ya kaiza chiefs imepeleka malalamiko yao caf wakisema hawana imani na marefa kutoka burundi ambao watachezesha mechi dhidi ya Simba
Binafsi Naona jmaa wameanza kugwaya mapema au wanawatikisa...
Dk. Khumalo ameua kabisa
Mchezaji wa zamani wa Timu ya Taifa ya Afrika Kusini amesema kwa vituko vile alivyoviona kutoka kwa Onyango anaaminiii Orlando Pirates wamebadilisha mawazo yao kumsajili...
Habari za asubuhi wakuu.
Hivi kwa nini mkaguzi mkuu wa mahesabu ya Serekali (CAG) akagui mapato na matumizi ya vilabu vya soka hapa nchini hasa vile vyenye maslahi ya umma kama Simba, Yanga...
Kama kudharaulika tumedharaulika vya kutosha.
Viongozi wa Yanga wakati wa kusimama.pamojasasa Hawa TFF wawe na heshima kwetu.
Tunaomba msikubali cheza na Simba mpaka watujibu kesi zetu zote...