Kaizer Chiefs vs Simba match on TV but NOT every fan will get to watch it!
Kaizer Chiefs fans will get to watch their team live on the South African Television for the first time in the CAF...
Ni ngumu kwa baadhi ya mashabiki wenye mrengo fulani hivi kuamini, lakini huu ndio ukweli! Simba inakwenda kuweka rekodi mpya kabisa kwa kizazi hiki kwa kufika mbali sana kwenye mashindano ya Club...
Klabu ya Yanga imemrudisha Dar es Salaam Nahodha wake Raia wa Ghana Lamine Moro kwa Utovu wa Nidhamu.
Chanzo: SportsarenaTZ
Hata hivyo Taarifa za ndani kabisa ambazo Krav Maga nimezipata baada...
Kisaikolojia Kumcheka Adui yako Mkubwa kwa Kuanguka ( Kufeli ) Kwake huwa ni Jambo la Kawaida ila halijawahi kuwa Suluhisho la kumaliza Matatizo yako ya kudumu uliyonayo.
Tunawacheka Simba SC kwa...
Nikiwa Mtanzania Mzalendo nimeumia sana kuona baadhi ya wenzetu waliomua kwa makusudi kutusaliti kwa kuwapa support wageni
Nimesikitishwa sana na kitendo cha baadhi ya Watanzania kuamua...
Wakati umefika sasa Simba na Azam wafanye makubaliano ili Simba wamchukue Dube na Azam wawachukue Kagere, Mugalu na Ajibu katika deal hilo. Kwangu nitaona ni sawa tu. Wewe je?
Nawasilisha.
Habari za jion wakuu nataka kuongeza uzito kidogo na mwili maana ni mwembamba sana tena upande wa mikono nina kilo 65 msaada wenu supploment ipi nzuri kwa kuongeza body maana kama msosi napiga...
Mpira ni burudani.. Mimi napenda mpira na nazipenda timu zangu passionately. Kufunga au kufungwa ni sehemu ya mpira; proud of my team, asanteni kwa siku mlizotupa furaha na siku ambazo tumepata...
Habari wanamichezo na wapenda soka kwa ujumla. Poleni kwa yaliyoikuta Nchi yetu huko kwa kwa Makaburu.
Jumamosi ni siku ambayo tutaenda kuishangaza dunia kwa kuichakaza vibaya mno Kaizer siyo...
Yani simba na yanga kukutana terehe 3 ya mwezi wa saba muda huo ligi si inatakiwa iwe imeisha jamani ina mana wameshindwa kubalance muda hapa katikati kuna hatari ya kutokea mazingaombwe mengne...
Wakuu Salaam!
Najiuliza kama hawa wapiga kelele wanakimbia taifa hawataki kucheza na Simba angalau tupate mazoezi kabla ya kwenda bondeni, au wakijitutumua kuingiza timu uwanjani tunawapiga mpaka...
Amenikera sana hapo jana, Mpira upo kwenye move lakini ghafla unaona anashangalia. Alifanya hivyo kwa goli la kwanza nikachuna, la pili nikapiga kimya sasa la tatu nalo nikapotezea.
Ishu ni pale...
Kwa kuwafuatilia Kwangu kwa Jicho la Kiufundi naliomba Benchi la Ufundi la Simba SC lifanye Maandalizi makubwa ikiwezekana hata kuliko yale waliyoyafanya ilipocheza na Al Ahly hapa Dar es Salaam...
Leo ni siku iliyosubiriwa kwa hamu na wapenda kandanda Africa baada ya kuisha hatua ya Makundi ya michuano ya klabu bingwa Africa na Kombe la shirikisho Africa
Kuelekea kupangwa kwa droo ya robo...
Ligi kuu Tanzania bara inaendelea leo kwenye mchezo ambao Namungo ya Lindi inaikaribisha Yanga Sc kutoka viunga Jangwani na Twiga. Mchezo huu unachezwa katika uwanja wa Majaliwa ulio mkoani Lindi...
Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), leo April 6, 2020 kupitia ukurasa wake wa Instagram @Caf_Online, limepost kumbukumbu ya Comeback kubwa zaidi kuwahi kutokea katika Ligi ya Mabingwa Barani...
Japo Jukwaa hili huwa sitokei , mini ni mshabiki wa soka ingawa sio shabiki kama miaka ya nyuma(nimepunguza sana ushabiki).
Kabla sijaendelea, niwapongezi Simba kwa ushindi waliopata na hatua...
Yanga Yazidi Kuzindua Matawi Mapya kwa Kishindo
Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano Engineer Hersin Said amezindua tawi Jipya la Klabu ya Yanga liitwalo DARAJANI LIKOMBE lililopo Mkoani...
Hivi unachaguaji kocha ambae mawasiliano na wachezaji unakua mgumu?
Kocha anajua kuzungumza kiarabu na kifaransa tu, wakati wachezaji wako wanaelewa Kiswahili, English(kama wapo) na wachache...