Mmejanga mazoea na Simba mnadhani na Yanga ni kama Simba. Mazoea yenu huko huko msilete kwa Yanga
Mnapolalia nyie siye ndo tulipoamkia. Wala hatuna mchecheto. Kona na njia zenu tunazifahamu...
Inasemekana kuna Taasisi Moja muhimu sana kwa Wahalifu nchini Tanzania imewaahidi Wafanyakazi ( Watumishi ) wake wa Kimichezo kuwa leo Wakishinda Mchezo wao kila Mmoja wao anapanda Cheo na...
Pongezi nyingi mno kwa Serikali ya Tanzania, Klabu ya Simba, Wanachama, Mashabiki, Mwekezaji Mo Dewji, CEO Barbara Gonzalez, Shirikisho la Soka nchini TFF na hasa hasa Kwake Mwenyezi Mungu kwa...
Sasa mabingwa wa Tanzania wako nafasi ya kumi na tatu (13) hii ni kutokana na chati iliyotolewa leo na Shirikisho la mpira Afrika (CAF) kabla ya kesho kufanyika draw ya hatua ya robo fainali Klabu...
Kitendo cha Tshabalala kuongeza mkataba wa kuitumikia Simba SC bila kumshirikisha meneja wake, Henry Mzozo, hakuna namna nyingine ya kukielezea zaidi ya kusema ni udhalilishaji wa hali ya juu wa...
Kama mtakumbuka, mwaka 2019 nilienda Ulaya nchini Ujerumani katika viwanja vya Bayern Munich (Alianz Arena) na ule wa Dortmund (Signal Iduna Park) kujifunza namna ya kuboresha viwanja vya soka...
Maajabu yanaendelea baada ya kula mshiko wa zimbwe junior ikiwa malipo yake ya kuitukana simba na CEO barbra gonzalez shafii dauda anadai kwamba yeye anatakiwa ashukuriwe sababu kaiokoa simba...
1. Tonombe Mukoko
2. Feisal Salum
3. Michael Sarpong
Kwa Mtu wa Mpira na aliyeifuatilia Yanga SC 95% ya Ushindi wake ( hasa katika Mechi zake ngumu na za Kimaamuzi ) ni kutoka kwa Wachezaji hawa...
Nyuma ya mafanikio ya Chelsea chini ya Bilionea wa Kirusi Roman Abromovic yupo mwanamke wa shoka na jasiri Marina Granovoskaia,Aliajiriwa katika kampuni ya mafuta ya Mrusi Roman Abromovic ya...
Ona jinsi alivyomuattack barba. Huja jamaa ndo wale madalali njaa
"
Endelea hapa
"Kuna shida kwa Mtendaji Mkuu wa klabu ya Simba pengine labda ninyi hamjaigundua, Mtendaji Mkuu na karibia...
Hapa sasa utaona tofauti ya meneja mwenye akili na meneja muhuni ,yaani zimbwe ilitakiwa makelele yote yale hadi kutafuta back up ya shaffih dauda kuitukana simba ili mchezaji wako apewe mkataba...
Shirikisho la soka Tanzania(TFF) limesitisha mchakato wa uchaguzi wa viongozi wa soko mkoani Kilimanjaro huku usitishwaji huo ukiacha maswali mengi kuliko majibu
Kwanza wamesitisha mchakato huo...
Timu ya Taifa ya Uganda inatarajiwa kutumia Uwanja wa Taifa wa Tanzania kama uwanja wao wa nyumbani kwenye michuano ya kufuzu Kombe la Dunia la 2022.
Shirikisho la Soka Uganda (FUFA)...
Huu ndio msimamo wa mwisho wa match za makundi za CAF Confederation CUP 2020/2021. Je kwanini Vigogo kadhaa toka nchi za Africa Kaskazini zimetupwa nje ya mashindano?
Kutokana na maelezo ya wahuni fulani katika soka hasa wakizungumzia mikataba ya wachezaji wa Simba,ninaona dalili zifuatazo katika mechi ya watani wa jadi ya tarehe 8 may.
1. Kama walivyozoea...
Uendeshaji wa Soka hapa kwetu ni wa kupigiwa mfano. Sasa hivi Ligi inaelekea ukingoni lakini mpaka sasa Simba na Namungo hawajacheza hata mechi moja baina yao.
Toka Ligi Ianze Mo Fc (Simba)...
Mshika kibendera msaidi wa mechi ya Simba na Gwambina amefungiwa mizunguko mitatu baada ya kuboronga mechi ya Simba na Gwambina.
Kwa adhabu hii inaonyesha TFF na bodi ya ligi hawapo serious kwani...