Baada ya kutoka sare na timu ya KMC Kumekuwa na maneno mengi juu ya hali ya timu,wachezaji,uongozi na hata uwezo wa mchezaji mmoja mmoja,kila mashabiki analalamika kivyake
Niwaombe yanga wenzangu...
Baada ya michezo ya kimataifa leo Simba wanatupa karata nyingine kwenye ligi kuu Tanzania Bara dhidi ya Mtibwa Sukari kutoka Manungu Turiani.
========
00' Mpira umeanza dimba la Mkapa
06'Mtibwa...
Mechi ya kwanza ya ligi ndani ya OT, Man Utd anafungwa vizuri tu na timu ya kawaida Crystal Palace. Bodi ya Man Utd imekuwa ikikaa kimya na kusuasua katika usajili, hivyo kumfanya kocha Ole Gunnar...
Nadhani Simba hawako Serious, watu mna Mechi za maana kabisa hapa duniani, mnacheza mechi za VPL zilizojaa watu wenye roho mbaya wanatuombea mabaya kila siku, wanawapokea wapinzani wetu wa nje na...
Why would they give Connor a title shot after losing twice in a row? I get that Dana doesn't care about rankings and it's just in it to make money but Connor doesn't deserve a title shot...
Hii nchi ni ngumu sana. Unaweza kumpa mtu elimu ukatarajia ataacha tabia zake za wanga, ila akisoma anaanzisha aina mpya ya wanga.
Niseme wazi kuwa, hao utopolo, baada ya kushindwa kwenye pitch...
Naomba kufahamishwa kuhusu katiba ya Yanga inasemaje ikiwa mashabiki hawana na imani na uongozi uliopo?
Mimi binafsi nimeona tatizo la Yanga ni Msola na magenge yake ndio wanairudisha nyuma timu...
" Mimi kama Sekilojo Chambua tena Mjumbe wa Kamati ya Usajili ya Yanga SC niseme tu kuwa hatushirikishwi katika Kusajili Wachezaji wa Yanga SC matokeo yake Mtu Mmoja anaamua kwenda Kusajili na...
Ninakubali kuwa mabadiliko ya mpira wa kisasa yanahitaji mchezaji anayeweza kufanya kwa ufasaha kazi zaidi ya moja. Ninakubali na ninaheshimu sana hilo.
Kwasababu hiyo, mpira hautaki tena mikono...
Watani zangu nawashauri mechi za ligi zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kupunguza vitambi vya hiyo mihogo mnayolishwa kambini.
Halafu ligi ikiisha mtukumbushe tuwagawie magoli kidogo.
Ni Usiku wa Ulaya!
Hatua ya robo fainali inaanza leo. Ambapo leo michezo miwili itapigwa.
1. Man City Vs Dortmund
2. Real Madrid Vs Liverpool
Na kesho jumatano itapigwa michezo mingine miwili...
Kauli ya Msemaji Mtibwa Sugar..
" Sina Malalamiko au Lawama zozote kwa Kipigo hiki Kikubwa kutoka Simba SC kwani tusidanganyane kwa sasa Tanzania, Afrika Mashariki na hata Afrika hakuna Timu...
Leo ndio leo!
Wanaume wa shoka wanakutana kutafuta Nani mbabe!
Timu zote zimeshafuzu Robo Fainali, kinachosubiriwa ni Nani ataibuka mbabe baina yao, kwa kuwa mechi ya Leo haitabadilisha msimamo wa...
Swaumu ni chungu cha pili, Meddie Kagere anaingia kambani mara mbili, kuipeleka Simba nafasi ya pili na kumwacha Prince Dube wa pili kwenye orodha ya ufungaji, MK14 haihitaji nafasi mbili kuwapaka...
Mimi ni shabiki simba damu na nimekuwa mmoja kati ya watu wanaopigania simba ipate basi jipya lenye hadhi ya simba kwa muda mrefu. Nimefika mbali mpaka kutoa ushauri kwa mo apunguze bonus za mamia...
ALIPOFIKA nchini mtu mmoja wa Simba alininong’oneza kitu kuhusu mshambuliaji anayeitwa Chris Mugalu. Aliniambia; “Mugalu ni mchanganyiko wa John Bocco na Meddie Kagere kwa pamoja”. Hii ilikuwa...
Suarez alikuwa hafurahii maisha ndani Anfield 2013 na alikuwa anataka kuondoka. Liverpool walimuambia hawana shida, wapo tayari kufanya mazungumzo na klabu yoyote aliyopo tayari kujiunga nayo...
Generalist nikiwa ' nawachana ' Yanga SC hapa JamiiForums huwa mnasema ' nawachukia ' kwakuwa Mimi ni Simba SC sasa leo kupitia Wasafi FM mwana Yanga SC Mwenzenu na Msemaji wenu wa zamani DC wa...
Kama ningalifuata usemi wa "Ya Kaisali Muachie Kaisali" basi ningebaki na donda lenye kudumisha deni la Roho yangu, na kama ningaliweza basi ningeenda pale Colombo Sri Lanka kwenye Kaburi la Sir...