Mji mmoja hivi wa bandari kutoka Kaskazini Mashariki mwa England, ndio mji huu unaomiliki binadamu vichaa zaidi wa soka duniani.
Wenyewe hupenda kujiita 'The mighty Reds' yaani wababe wekundu...
Bonge moja la mechi, definition halisi ya ligi ya mabingwa, ilikua njoo nije
Ukiachana na zile hadithi nzuri za Sungura na Fisi, basi tunaendelea kutengeneza hadithi nyingine tamu kwa vizazi...
[emoji382]Baada ya kipigo Cha jana ni rasmi sasa mchezaji wa West Brom Callum Robinson tangu azaliwe amefunga magoli 5 tu kwenye EPL na goli zote ametufunga chelsea, mechi ya Jana katufunga...
One of the most funny part of an automobile, is its acceleration. Super cars command one of the fastest accelration that can hardly be found in any human machine but an airplane!
The list goes on...
Kuelekea mchezo wa klabu bingwa afrika kati ya AS Vita vs Simba, mchambuzi wa michezo wa Efm, Jemedari Said akiongea asubuhi hii kwenye kipindi cha Sports Headquarters amesema Simba ni underdogs...
Wakuu nipo mkoani Tanga nilikuja kwa shughuli maalum ya kushuhudia pambano Kali la kutafuta bingwa wa draft mkoa tanga fainali siku ya Jana jion ilitakiwa kupigwa Kati ya bwana Mtaleban dhidi ya...
mambo ni faya fire fireeee mootoooooo..ewaaaahhhhhhhhh kings of East africa wanakamata nafasi ya 13 huku vijana wa waziri mkuu wa awamu YA TANO asiyejulikana kama atarudi madarakani wakiwa nafasi...
Wachezaji nyota wa simba Sc, Clatous chama na luis Miquisson wamechaguliwa kwenye kikosi bora cha week, kwa mujibu wa CAF
Hii ni mara ya tatu kwa luis kuingia kwenye kikosi icho bila shaka...
Habari wakuu nimerejea jukwaani kwa mara nyingine tena nikiwa naitabiria Simba kucheza mechi ya fainali ya klabu bingwa Africa ndani ya msimu huu. Hapa nikimaanisha Simba itafuzu mechi yake ya...
Anaandika @exaud_msaka_habari
Huwezi kutaja Timu zako tatu bora Africa kwa sasa kwenye haya Mashindano ukaiacha Simba, tukubali tu hilo kwanza ndio tuendelee kijadili soka.
Ukitaka kupima uwezo...
Nkana Fc wakipasha nje ya uwanja
Muda wa mechi umefika lakini hakuna timu uwanjani. Nkana FC wamegoma kupima Covid 19 wakidai wameshapimwa kwao.
Tunaendelea kusubiri
Baadhi ya wanaHabari na Wachambuzi wa soka kuelekea mchezo wa Klabu Bingwa Afrika kati ya Simba SC dhidi ya AS Vita Club, waliosema As Vita Club ni hatari sana wakiwa viwanja vya ugenini, hatimaye...
Uwezo wa timu ya soka ya DRC ya AS VITA bila shaka umefikia kikomo , hawana jipya wala hawana uwezo tena wa kufanya lolote kwenye soka la Vilabu barani Africa , nimeifuatilia timu hiu kwenye game...
Wakuu,
Kwa ufupi sana kuna kila dalili Vita wanaweza kutushangaza kuliko walivyowashangaza Al Ahly kule Cairo. Wamejiandaa kwa hii mechi kuliko walivyowahi kujipanga kwa muda mrefu kwa mujibu wa...
Baada ya kipigo cha 4-1 kocha Ibenge amewaambia wana habari kwamba hana la kusema anakiri amefungwa kihalali na timu bora Afrika kwa sasa.
Nami nasema nitamlipa Simba Sc hizo goli 4 usiku wa leo...
Mimi ni shabiki namba moja wa Dar Es Salaam Young Africans but kwa huyu bwana mdogo wacha nimpe sifa zake . Dogo anacheza mpira mkubwa sana.Analitendea haki jina.la wajina wake Mohamed Hussein...
Mimi ni shabaki kindakindaki na mpenzi na mwanachama wa klabu pendwa hapa nchini natabiri kuwa simba ambayo ni timu yangu hapo kesho majira ya saa kumi alasiri ndani ya LUPASO (Mkapa Stadium) timu...