Kwema Wakuu?
Nimekua nikitumia hii kampuni kubet bila tatizo muda mrefu tu. Lakin Sasa takriban siku kumi hivi nilikua Nina hela nimeshinda bet kwa hii kampuni ya PmBet nimeshindwa kuitoa.
Kila...
Mechi kati ya Morocco na Mauritania, kwa wale waliobahatika kuitazama mechi leo...Kuangaza kwangu macho nikamuona fundi wa Sevilla Munir El hadad akichezea timu ya taifa ya Morocco, nikabaki na...
Aliyewahi kuwa Kapteni wa timu ya Taifa India na mchezaji mashuhuri na mwenye rekodi nyingi zaidi wa kriketi kuwahi kutokea nchini humo Sachin Tendulkar amesema, leo machi 27, 2021 amepima virusi...
Good morning ladies and gentlemen. Shikamooni wakubwa zangu wote.
Hivi kwanini ndani ya mamlaka ya kupambana na dawa za kulevya kusiwe na kitengo maalum cha kushughulukia matumizi ya mihadarati...
Pamoja na kwamba nchi yetu ya Tanzania inasifika kwa mambo mengi, ikiwemo vivutio vingi vya utalii, madini, maziwa na bahari n.k
Pia kuna jambo ambalo limekuwa la upekee kwa watanzania, yaani...
Asee Comoro ya sasa siyo ile ya kujipigia kama zamani,nimefatilia kikosi chao vijana wengi wanacheza nje Ufaransa, Ubelgiji n.k
Sina hakika kama Tanzania tukicheza nao watatuacha salama...
[emoji1428][emoji1428]Kuna wakati unaweza kufikiri kuwa unapofanikiwa kimaisha basi unafanikiwa pia kuwa na busara na hekima.
[emoji3499]Unadhani kabisa busara na hekima hizo, ni sawasawa na...
Al Ahly walijifanya vidume. Tulipowaambia tuwazungushe zungushe waijue mitaa wakajidai walishacheza hii game kwao Misri. Matokeo yake ndo hayo
El Merreikh hawa wamekuwa watiifu wakati...
Itakua jambo la furaha kuona club zetu pendwa za mpira wa miguu zikipatikana kwenye games kama fifa, Pes na magame mengine!
Hizo picha nimezitoa kwenye ukurasa wa habari tu za kimichezo africa zone !
MCHANGANUOA WA MIKATABA YA SPORTPESA NA VILABU VYA SIMBA SC NA YANGA SC
YANGA
Mkataba wa jumla wa Yanga SC na Sportpesa ni shilingi 5,229, 349,688.
Mkataba huu una ongezeko la asilimia 5%...
Poleni kwa msiba,
Aliyekuwa kocha wa Simba SC, Sven Vandebrock ameishtaki klabu ya simba fifa kwakuwa klabu hiyo imeshindwa kumlipa kiasi cha Tshs 101 milioni kama hela za mishahara na posho...
Klabu ya al hilal ya sudan imeruhusiwa kuingiza mashabiki 1000 uwanjani.
As Vita imeruhusiwa kuingiza mashabiki 3000 uwanjani. Rais wa As vita athibitisha.
Hii imekaaje wadau au ndio figisu za soka?
Kwanza kabisa nianze kuwapongeza kwa mwendelezo wa matokeo mazuri katika michuano ya Klabu Bingwa barani Afrika hatua ya makundi na mapaka sasa mpo kileleni na jumla ya alama 10.
Sisi wadau kwa...
Njia pekee ya kumuenzi kwa mema yake na uchapakaji kazi ni ninyi Kuleta Kombe la CAF hapa Tanzania. Hili ndilo Deni mlilo nalo kwa Marehemu JPM aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Moja kwa moja kwenye mada, Clouds fm ni kituo cha redio chenye watangazaji (wachambuzi/watoa maoni) wengi zaidi katika kipjndi cha michezo japo hawakutani wote kwa pamoja.
1. Shaffi Dauda
2. Alex...