Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Kama mdau wa michezo kuna kitu hakipo sawa, hasa hawa watangazi wa michezo wa mpira wa miguu Tanzania makanjanja. Yeye kung'ang'ania kuwa Watanzania wamesoma public notice ya tume ya ushindani...
15 Reactions
65 Replies
8K Views
Borussia Dortmund ni moja ya timu zilizowahi kuwa na full backs bora kabisa. Moja kati ya full backs wa Dortmund ni Lukasz Pisczek ambaye amekuwa klabuni hapo tangu 2010 akiwa katika ubora wa hali...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Benchi la ufundi uongozi na scouts wetu wa Yanga hebu tujaribu fanya mawasiliano na yule mchezaji beki rasta wa timu hii ya Sudan el Mereikh, hakika atatufaa sana kuimarisha ukuta kule nyuma. Ni...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Mara ya ngapi umesikia jengo la Yanga linakarabatiwa? Mara ya mwisho ilikuwa wiki iliyopita. Bosi wa timu, Mzee Mshindo Msolla aliwaita waandishi wa habari akatangaza ukarabati wa jengo hilo. Kila...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Miongoni mwa mechi muhimu kwa kundi A kwa mtani wetu ni hii ya leo dhidi ya Al-merekh. Maana baada ya mechi hii ambayo kiuhalisia ndio ya kuvunia point na kutangaza rasmi kufuzu Hatua ya robo...
4 Reactions
8 Replies
843 Views
Kamati ya Utendaji ya Yanga imepokea na kuridhia rasimu za Mabadiliko ya Muundo wa Uendeshaji wa Klabu kutoka katika Kamati ya mabadiliko Katiba na kuruhusu mchakato kuendelea kwa hatua...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Tarehe 15.03.2021 Dar,Tanzania. Nimefuatilia mijadala kwa muda mrefu hapa kwa siku ya jana na leo kwa zuio la CAF kwa mechi ya kesho ya Simba dhidi ya El Merreikh. Zuio la CAF ni la washabiki...
6 Reactions
32 Replies
3K Views
UMEWAHI KUZIELEWA PICHA ZA CEO WA SIMBA, BARBRA? Tuliwahi kuziona picha akiwa Al Ahly nchini Misri, Jijini Cairo akiwa na Mwenyekiti wa Al Ahly ilikuwa ni ziara ya kujifunza, baadae tukaziona...
7 Reactions
21 Replies
3K Views
Wadau, mwenye macho haambiwi tazama.
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa ufupi sana, CAF imezuia mashabiki wa Simba SC na timu zingine huko Afrika wasiingize mashabiki uwanjani. Lakini kidogo kidogo unasikia nchi zingine zimeruhusiwa ziingize idadi fulani...
7 Reactions
46 Replies
3K Views
Wakuu TFF ni shirikisho la mpira wa miguu Tanzania. Shirikisho hilo linaundwa na vyamw vya mpira vya mikoa kama sikosei. Vyama vya nchi kama TFF vimeungama na kutengeneza FIFA, shirikisho la mpira...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Taarifa Rasmi Kutoka Yanga ni Kuwa wameamua Kuachana Na Kocha Wao Mkuu: Pamoja na Benchi Lote la Ufundi.
14 Reactions
107 Replies
15K Views
Tarehe 16 timu ya Simba inacheza mchezo wa marudiano na timu ya El Merreikh ya Sudan. Tofauti na michezo iliyopita iliyochezwa kwa Mkapa,mechi hii itachezwa bila washangiliaji. Katika kuamsha...
4 Reactions
11 Replies
2K Views
Afisa Habari wa Simba SC Haji Manara leo ametangaza kuwa CAF wamezuia Mashabiki kwenye mchezo wa Club Bingwa Afrika March 16, 2021 Uwanja wa Mkapa kati ya Simba vs El Merreikh ya Sudan hivyo Mechi...
9 Reactions
119 Replies
9K Views
Watopolo wameshajua mchawi wao ni nani. Si TFF, si bodi ya ligi, si marefa na wala si kamati ya saa 72πŸ˜†πŸ˜† Bakora karibuni kuruka huko vidimbwini πŸ˜†πŸ˜†
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Tanzania tuna bahati moja kubwa Sana, uwanja wa uhuru upo karibu Sana na Uwanja wa Mkapa. Ziwekwe screen mbili kubwa na mashabiki wajazane humo. Halafu kelele za kushangilia zichuliwe na wireless...
14 Reactions
27 Replies
3K Views
Je, Luis alikuwa katika offside position ama lah katika goli alilofunga leo dhidi ya Prisons?
2 Reactions
69 Replies
9K Views
Mpenzi wa timu ya Simba Ally Rashidi Kuntika (71)katika mamlaka ya mji mdogo wa Namtumbo mkoani Ruvuma alidondoka ghafla na kufariki dunia papohapo mara baada ya mchezaji wa...
3 Reactions
38 Replies
7K Views
Wilfred Zaha amekuwa mchezaji wa kwanza kutopiga goti katika kampeni ya EPL kupinga ubaguzi wa rangi Zaha amesema haoni sababu ya kupiga goti wakati Ubaguzi unaendelea kila siku. [emoji995]...
3 Reactions
5 Replies
948 Views
Hakuna asiyejua kuwa All - Rounder ni mwana Yanga SC tena mwenye Umiliki wa Kadi yangu namba 357....13. Nawaombeni wana Yanga SC wote mlioko JF hebu kuanzia Kesho Alhamisi tuungane Jangwani ili...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…