Kwangu mimi hakukuwa na namna nyingine ya kumzuia mfungaji wa goli lilitosababisha Kaze afukuzwe kazi zaidi ya kusababisha penaliti.
Buswita ni mrefu na alitumia urefu wake kufungu, full stop...
Imekua ni kasumba kwa huyu mtangazaji anajiita Kitenge ambaye anafanya kazi Radio ya Wasafi, kuja na tuhuma mbalimbali kuhusu SIMBA na zaidi tunajua anatumiwa na watu wasioitakia mema SIMBA sababu...
Tunawaomba wadau wa soka wote wa ndani na nje ya nchi kuisaidia timu ya Yanga katika kipindi chake kigumu inachopitia , timu hii kiukweli haikuwa na kocha , Kaze hakuwa kocha , hajui chochote...
Nimeona Nkana FC ya Zambia imeshawasili jijini Cairo Misri kwaajili ya kuvaana na wenyeji wao Pyramids FC siku ya Jumatano tarehe 10 March 2020, saa 12:00 jioni za Misri.
Nikawakumbuka ndugu zetu...
1. Injinia Hersi alikuwa wapi tokea zamani kuja Kuipigania Yanga SC?
2. Injinia Hersi ni nani ndani ya Management ya Yanga SC hadi amekuwa ndiyo kila Kitu?
3. Injinia Hersi ni nani hadi kujua...
Inawezekana kabisa hao walioamua kuondoa benchi lote la ufundi ndio hasa waliostahili kuondoka!
Benchi hilo mnaloliondoa nani aliliweka?vipi kuhusu gharama?
Naona kama Yanga ilikua hatua tisini...
Kings of Tanzania na East africa tume slip nafasi moja mwezi uliopita tulikuwa namba 17 ila haina shida sana tunaingia robo fainali hadi nusu tutaruka hadi nafasi ya 13
Kwa kifupi ni kwamba kwa...
Waende kwa Tahadhari zote huko Tanga Alhamisi na Arusha Jumapili kwani kwa Umafia ambao umefanyika huenda Wiki hii ikiwa Ngumu Kwao kwa Michezo yao. Nawaonea sana Huruma Kocha Kaze, Boss wa GSM...
Hii ni baada ya Rangers kutwaa ubingwa wa nchi hiyo hapo Jana.
===
Rangers have been crowned Scottish Premiership champions, removing Celtic’s vice-like grip on the trophy at the 10th time of...
Hii timu ilianza vizuri na ilikuwa mashabiki wengi sana. Lakini miaka ya karibuni inakufa kidogokidogo na msimu huu sidhani kama itaweza kubaki ligi kuu. Ni wazi kuwa wamiliki wake wameshindwa...
Naam! Assalam aleykhum.
Tangu jana napokea vijimeseji vya kejeli hasa juu ya uchambuzi na bashiri zangu hasa hasa baada ya bashiri ya jana kati ya young vs police, ambayo kiufupi ilikwenda na...
Kila nikijiuliza kwa nini Yamga wamefukuza benchi lao la ufundi kwa kupoteza mechi moja nakosa jibu, hii kitu naamini itamshangaza kila mpenda michezo duniani kote.
Wengi wetu hujidai makocha...
Habari wadau,
Nimeona yanga leo tumemfukuza kocha Kaze.
Hii haijatosha. Niliwahi kuandika kwenye uzi wa Enyimba success case study maneno haya.
Mimi ni mwanayanga ila naona kabisa simba atatwaa...
Sijapata kuona watu waliokosa akili kama mashabiki wa Yanga. Nimesikitika sana pamoja na kuwa ni mshabiki wa Yanga lakini kamwe hakuna na kusitarajie mafanikio kwa Yanga kwa aina hii ya mashabiki...
Nimemtazama Kocha Cedric Kaze, nimeitazama tena Yanga ikiwa inacheza kisha nikamtazama tena yeye, nikasafiri mbali sana kupitia makabrasha yake Bwana Kaze.
Kaze huyu ana leseni A ya CAF na Leseni...
Ikumbukwe kuwa akiwa anaongea na Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM na hata kile cha EFM Boss huyu kutoka Kampuni ya GSM inayoifadhili kwa Kuinyonya Kimapato Klabu ya Yanga Injinia Hersi alisikika...
Assalam aleykhum,
Jana nilitoa prediction kati ya Simba na Al Merekh ambayo ilitimia kwa 56%. Leo Yanga Timu ya wananchi wataibuka na ushindi kwa sababu hizi;
Yanga wana presha ya kubeba ubingwa...