Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Nakumbuka wakati Kaze anatajwa kutakiwa na Yanga, kuna mwandishi mmoja wa Burudani/ Rwanda Kama sikosei alisema Kaze hana uwezo wa kufundisha timu kubwa kama Yanga. Akatoa sababu kadhaa ikiwepo ya...
6 Reactions
20 Replies
2K Views
El Merreikh leo wanaangazia kujaribu kurudisha tumaini baada ya kupoteza michezo yake miwili ya kwanza ikiwemo mchezo wa nyumbani. Simba ikiwa imeshinda michezo yake miwili ya kwanza na kuongoza...
13 Reactions
357 Replies
28K Views
Rais mpya wa fc Barcelona It remains to be known the final result with the official count of votes by mail and the rest of the places in which there were ballot boxes that the number of votes of...
0 Reactions
0 Replies
433 Views
Watani zangu nawashauri sasa mechi zenu za ligi kuu zilizobaki mzitumie kwa ajili ya kufanya mazoezi ya kupunguza vitambi tu, hii ligi msimu huu Simba SC ameshachukua ubingwa. Vilevile kutokana...
4 Reactions
3 Replies
691 Views
Ukiitazama Yanga Afrika kwenye karatasi wala sio timu mbaya, kila Mchezaji ana kitu cha upekee ambacho kinaweza kukupa kitu kwenye VPL, ni timu nzuri tu kwenye karatasi wala sio timu mbaya kama...
2 Reactions
6 Replies
659 Views
Kocha wa kagera sugar na mbabe wa yanga amefurushwa Habar Zaid kuwajia
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Hapa duniani kwa sasa washabiki wa Yanga ndio wanaoongoza kwa kuwa na huzuni ijapo wanaongoza ligi. Natoa wito wa tahadhari kuwa ukikutana na mpenzi wa utopolo mchukulie kama mgonjwa wa...
2 Reactions
3 Replies
790 Views
Wapenzi wa FiFa 14 naombeni link ya ku download update ya FiFa 21 Please
1 Reactions
2 Replies
773 Views
Habari wadau. Mimi mshabiki wa yanga kiukweli mwenendo wa timu unanikwaza, hasa viongozi wakina Msolla na Mwakalebela. Ninatamani kiongozi mwenye Magufuli mentality aje aiongoze Yanga.
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa hali inavyoendelea kundi la Simba, kama Al Ahly atashindwa kumfunga Vita Congo basi hatakuwa na njia nyingine zaidi ya kuomba kwa miungu wao Simba SC amfunge AS Vita kwa Mkapa ili angalau Ahly...
11 Reactions
49 Replies
5K Views
Wadau kuna ligi ya kick boxing inandelea Azam Sports, kwa sasa kila Alhamisi kuna mapambano. Alhamisi iliyopita kuna masta mmoja ambaye wanasema ni mkali wa Kung Fu, Shaolin na Gujuluu aliingia...
3 Reactions
6 Replies
973 Views
Katika tathmini ya makocha nimejaribu kuftizama kwa mapana ni wap makocha huwa wanakosea.nimegundua ni rahisi kocha kuipeleka timu kileleni lakini na vigumu kocha kuchukua ubingwa.vitu ambavyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nafikiri kwa Sasa Kuna haja aelezwe ukweli na si kuhofia kumnyanyapaa kisa ngozi yake. Anagombana na waandishi wengi na yeyote atakaye isema Simba ilimradi kwa kulinda ugali wake. Mbaya Zaidi...
12 Reactions
40 Replies
3K Views
Mlinzi bora kwa miaka 10 iliyopita katika soka letu la bongo, Kelvin Yondan Vidic Injinia Cotton Juice amesaini mkataba wa miezi sita katika timu ya Polisi Fc inayoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom! Ni...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
Wengi wanaamini Al Merekh ni mbovu kiasi kwamba watapigwa nyingi na vijana wa kariakoo lakini amini usiamni hii gemu ngumu sana kwa pande zote hasa hasa kwa wekundu wa msimbazi. Tarajia yafuatayo...
9 Reactions
97 Replies
8K Views
Akiwa ameshaifungia Borussia Dortmund mabao mawili mpaka sasa dhidi ya Bayern Munich kwenye El Klassicker, Haaland anakuwa ndie mchezaji wa kwanza kufikisha magoli 100 mashindano yote katika mechi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Balaa la UFC 259 ni zito. Light heavy weight Jumapili tarehe 7th March 2021 Ikumbukwe Israel Adesanya kijana ambae ni mzaliwa wa Nigeria lakini anaishi NewZealand amepanda weight class na kuingia...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Al Merrekh watawakaribisha wababe wa Msimbazi katika Dimba la Al Hilal huko Khartoum saa kumi jioni, katika mchezo huo Wasudan watatafuta kupata ushindi wao wa kwanza katika hatua ya makundi ya...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Hizo ni takwimu za game ya leo numbers dont lie. Kama hujui kusoma basi tazama hata picha. Simba Sc ilikuwa bora sana, plan A ilikuwa kumiliki mpira na kukataa kufungwa. Plan B ni kupata point 3...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…