Tusipoangalia na kuchukua hatua, mpira wetu wa miguu, badala ya malengo hasa yaliyokusudiwa na huyo/hao, mwanzilishi/waanzilishi wa mchezo huu, utageuka kuwa uwanja wa uwasama, chuki na vita, kwa...
“Mechi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati yetu Simba na Al Ahly kutoka nchini Misri itapigwa saa 10:00 jioni siku ya Jumanne Februari 23, 2021. Ni mechi kubwa sana kwa Simba, Tanzania na Afrika...
1. Uongozi kwa Kushirikiana na GSM Kukwepa Lawama na kuwalazimisha Mashabiki wao waone wanaowakwamisha ni TFF na Kamati zake.
2. Kutaka Kuwatishia Waamuzi ( hasa huyu wa leo dhidi ya Mtibwa FC )...
Michezo ya kundi C AFCON U20 kupigwa hii leo, ambapo Morocco itakutana na Tanzania huku Ghana ikikipiga dhidi ya Gambia.
Hii ni michezo ya mwisho ambayo itaamua ni timu zipi zitasonga mbele...
Wakuu Habari zenu?
Kuelekea mechi ya simba na al ahly pale kwa mkapa licha ya kauli mbiu iliyopo ya total war :no point of return.
Nilikuwa naona ingekaa hivi ndio ingekuwa vizuri zaidi WAR IN...
Mechi imechezwa 21/02/2021 mchezaji wa Ruvu mpira umemgonga usoni refa anafunika penati.
Kwa waamuzi wa aina hii akina Saanya bado tunasafari ndefu sana kwenye soka upande wa waamuzi.
Kwa siku za karibuni tumeshuhudia Burundi ikileta watu wake kupata ajira hapa Tanzania.
Kuna makocha,tena wapo timu kubwa kabisa.
Achilia mbali lundo la wachezaji waliopo katika vilabu vyetu...
Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara inaendelea leo kwa Klabu ya Azam FC kukutana na Tanzania Prisons katika dimbani Nelson Mandela huko Mbeya
Mara ya mwisho Azam kukutana na Tanzania Prisons ilikuwa...
Patashika ya michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kuendelea kutimua vumbi leo February 21, 2021 kwenye uwanja wa Azam Complex, ambapo wenyeji CD De Agosto wanapambana na Namungo FC
===========...
Mchezo wa kombe la shirikisho kati ya De Agosto dhidi ya Namungo umemalizika katika Dimba la Azam Complex Chamanzi jijini Dar es salaam.
Katika mchezo huo ambao Namungo ilikuwa ugenini...
Kocha wetu amefeli sana katika idara zote mfano.
1.Ameshindwa kabisa kuunganisha timu kutengeneza kikosi cha ushindi. Angalia beki ya timu wanakatika Hadi wanagombana mfano Lamine na...
Wakuu,
Hii ni vita kamili, Total War! National Al Ahly ni klabu ya tatu kwa ubora duniani na tunaheshimu hilo ila Jumanne ijayo kwetu ni vita kamili! Vitapiganwa vita kamili pale kwa Mkapa!
Hii...
Sina jambo lolote dhidi ya Sarpong.
Ushauri wangu kwa klabu ya Yanga SC ni kwamba huu ni wakati sahihi wa kuhakikisha Sarpong anaondolewa kwenye mipango ya kikosi cha kwanza cha Yanga SC...
Ni mechi ya simba kuweka record mpya
1. Al ahly baada ya kufungwa na fc buyern tu hakuna club nyingine yoyote imeifunga zaidi ya simba
2. Al ahly ndio safari yake ya kwanza kutoka baada ya mechi...
Merseyside Derby imemaliza huku ikibadili history ya Everton ya kutofunga Anfield kwa takribani miaka 21 , baada ya kumtandika Liverpool goli 2-0.
N baada ya kujinyakulia alama zote 15 kwenye...
Kwa kuwa Mtibwa nayo ni timu ina Mungu
Kwa kuwa refa naye ni binadam aanaweza kupitiwa
Namuomba Mungu afanye jambo kesho, Yanga wapigwe, halafu refa akosee awanyime goli la ofside.Halafu tuone...