nasikiliza reedio clouds fm hapa dah kuna kanjanja moja mwandamizi linalopenda kusihambulai simba liko very low baada ya utoplo kupigwa na team ngumu kabisa kutoka tanga iitwayo african sports...
Yani jana nimeishushia hadhi sana hii radio hasa kipindi cha michezo.
Binafsi sina ujuzi wowote wa kuchambua mpira lakini game ya jana kati ya Barca na PSG nilijua kabisa Barca anakufa, jambo la...
Ligi kuu soka England kuendelea hii leo kwa michezo miwili ambapo mchezo wa kwanza utapigwa saa 3 usiku ukiikutanisha Burley dhidi ya Fulham katika Dimba la Turf Moor.
Baada ya kuiadhibu Crystal...
Lwanga: Mzamiru kazi yako ni kubonyeza OFF kwenye main Switch ya Umeme Taifa zima.
Mzamiru: Lakini wewe ndie mkata umeme bro.
Lwanga: Najua ila leo nakupa hiyo kazi.
Mzamiru: Na wewe utafanya...
Uamuzi huo umefikiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika ( CAF) baada ya kujiridhisha kuwa timu zote mbili hazikuhusika kukwamisha mchezo uliopangwa kufanyika Februari 14 nchini Angola...
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head".
FORM
ALL...
Hii ni kwa sababu CAF yenyewe haijajipanga kabisa kuhusu Ugonjwa wa Corona.
Ikumbukwe kwamba kila nchi ina sera yake kuhusu namna ya kujilinda na Corona, wengine wanapiga nyungu za malimao na...
Hii ndio "form" ya Simba na Al Ahly kuelekea mpambano wao tarehe 23/2/2021. Yaani matokeo ya mechi kadhaa kabla ya mpambano wao na matokeo ya mipambano yao kadhaa yaani "head to head".
FORM
ALL...
Mpaka dakika ya 33 Ghana wanaongoza kwa bao 2 kwa bila - dakika 33 Ghana 2 Tanzania 0, Mashindano yanafanyika Madagasar.
===
BAADA ya Timu ya Taifa chini ya miaka 20 (Ngorongoro Heroes) ya...
Namungo FC imezuiliwa uwanja wa ndege wa kimataifa wa Luanda nchini Angola baada ya mamlaka kudai wachezaji watatu na kiongozi mmoja wana virusi vya Corona.
Mpaka wakati wa kuandika taarifa hii...
Sevilla atakuwa mwenyeji wa Borussia Dortmund katika Dimba la Ramon Sanchez- Pizjuan .
Mara ya mwisho kukutana kwenye michuano hii timu hizo mbili ilikuwa msimu wa 2010- 11 kwenye Europa ligi...
Wakuu,
Ndio nakubali mimi mnazi wa Simba! Ila hii statement ya Nugaz kutuliza mashabiki wao ni aibu sana huko mitandaoni!
Bora angepost yeye binafsi na wachache ku repost, aibu ni statement kuwa...
Kwanza naanza kwa kuwasalim wakulungwa wote wa jf na kuwambia vimbeni na jipigeni kifua maana mko mahali salaaaama.
Back to the topic.
Kumekuwa na mifumo mingi sana ya soka na uchezaji wa soka...
Baada ya kuondoka na alama moja katika mchezo dhidi ya Kagera sugar juma lililopita, Gwambina hii leo ameambulia patupu baada ya kuruhusu kichapo cha bao 1-0 akiwa katika Dimba la nyumbani dhidi...
"Kwa sasa TFF tushukuru wamelala au wana woga. Kitendo tulichofanya juzi uwanja wa Sokoine hakikuwa sahihi. Ifikie hatua tuwe wakweli. Ifikie hatua tuangalie mpira na mchezo wa Mpira na si...
Fainali ya Ligi ya Mabingwa ya UEFA ya 2005 ilikuwa mechi ya mwisho ya michuano hiyo ya msimu wa 2004-05 , mashindano ya mpira wa miguu huko Ulaya.
Fainali hiyo ilipigwa kati ya Liverpool ya...
Mwezi mmoja baada ya kuanza kibarua chake kuinoa Chelsea , Thomas Tuchel ameiongoza timu hiyo kurudi kwenye nafasi nne za juu kwa ushindi mara tano mfululizo.
Katika mchezo huo ambao ni wa 6...
Hawa watu wanahitaji msaada wa kisaikolojia. TFF watoe onyo kwa Yanga na mashabiki wao,ipo siku watasababisha vurugu kubwa sana itakuwa too late. Wasiachwe hivi. Kwa upuuzi huu kuna siku watakuja...
Manchester United imetangaza kwamba Mason Greenwood amesaini kandarasi mpya ambayo itamuweka klabuni hadi Juni 2025.
Greenwood ni zao la Academy ya klabu na amekuwa huko Manchester United tangu...