Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Klabu yangu pendwa ya SSC kwa sasa ipo chini ya mwekezaji Mo ingawa yeye ana hisa asilimia 49 na wanachama hisa zao ni 51. Kwa mtazamo wangu naona asilimia 41 za mo zina nguvu kuliko za wanachama...
3 Reactions
20 Replies
3K Views
(1) Kocha mgeni tumpe muda. (2) Timu imecheza vizuri ila pale kati bado. (3) Chama akiwa ugenini sijui anakuaje (4) Yaani bora angeanza Bocco, huyu Kagere kawa mzito (5 ) Manura na kila siku...
10 Reactions
92 Replies
7K Views
Najua mna negative sana na Simba.Simba ifanye vyovyote ila mna maneno yenu ya kufanya timu yenu utopolo ionekane bora. Haya TFF imeibeba tena Simba imefunga kwa penalty. Na Simba ina mabeki...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Kuna kauli imetolewa na SENZO ambayo imeripotiwa na baadhi ya vyombo vua habari ikimnukuu akisema "kuna baadhi ya Watanzania ni mavuvuzela", mwisho wa kunukuu. Aliyekuwa kocha wa yanga alitoa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Tumjadili Thadeo Lwanga kwa mechi 3 za Mapinduzi Cup inayoendelea Zanzibar. Je atakua msaada kwa Simba? Wakati tunamjadili Lwanga tuangalie na uwezo wa 1. Mkude 2. Mzamiru 3. Ndemla na mtangulizi...
2 Reactions
98 Replies
12K Views
Name: Thadeo Lwanga Position: Midfielder Role: Defensive midfielder, Playing style: Anchor man, destroyer, and ball winning midfielder. Mnamo 2014, kiungo wa Uganda Taddeo Lwanga [emoji1254]...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Lampard alipotimuliwa na Chelsea mwezi uliopita klabu haikulipa mkataba wake uliobaki baada ya mabadiliko ya sera ambayo yalikuja baada ya kulazimika kutoa pesa nyingi wakati walimpomuondoa Jose...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mjumbe wa kamati ya Kanda ya Pwani,ya Shirikisho la Riadha Tanzania (AT) Bw. Robert Kalyahe Amefyekelewa Mbali na Kamati ya Uchaguzi, baada ya kukiuka kanuni za katiba ya RT inayokataza mgombea...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika mechi mbili za mwisho za ligi ya mabingwa afrika, As Vita ameibuka na ushindi wa goli 4-1. Hii inaashiria jamaa wakiwa uwanja wa nyumbani ni wakali sana, hivyo Simba leo wanatakiwa waingie...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
John Bocco ni Mchezaji wa Simba anayelaumiwa sana na mashabiki mbalimbali wa Simba na nje ya simba kwa kukosa magoli akiwa uwanjani. Lakini siku Bocco asipocheza huwa hatuoni wachezaji wengine wa...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Zim Diaspora Sports Connect TEAM YA ALGERIA CR Belouizdad ambayo juzi imetoa droona mazembe imelaumu kuibiwa vitu vyao zikiwemo simu za mkononi,ikumbukwe mazembe mwaka 2019 waliumiwa kuweka sumu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Mimi ni mwanaYanga tena Yanga kweli. Yanga bado ni mbovu. Tukubali hilo kwanza. Pia, viongozi na muhamasishaji wetu wasiwajengee mashabiki hisia za kuonewa. Kweli Yanga ingekuwa imara ilikuwa ya...
6 Reactions
10 Replies
2K Views
Kutokana na ushindi ambao timu ya Simba Sports Club imejipatia huko nchini DRC, hapo Jana,na pia kufuatia maneno yaliyobuniwa kwenye t-shirt zao ya "Visit Tanzania', Mheshimiwa Waziri mkuu...
8 Reactions
27 Replies
2K Views
Naitazama kwa umakini sana hii mechi ya Al ahly vs Palmeiras ya brazili, ni wazi kuwa Al ahly wameimarika maradufu tangu wakati ule tulipo wafunga pale taifa goli moja naomba ikiwezekana timu...
3 Reactions
44 Replies
4K Views
Kiwango chake cha Uchezaji kwa Siku za karibuni si tu Kinashuka bali Kinaporomoka vibaya mno hadi naanza Kujiuliza Maswali mengi na kupatwa na wasiwasi. Tshabalala sasa amekuwa Mzito Uwanjani...
10 Reactions
59 Replies
6K Views
Chelsea itakuwa mwenyeji wa Newcastle katika moja ya mechi mbili zilizopangwa kuchezwa leo Jumatatu usiku. Itakuwa mechi ya sita ya Thomas Tuchel. Tangu kuchukua nafasi ya Frank Lampard kama...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Kuna story za kitoto mida ya miaka ya nyuma huyo mwamba alikuwa na nguvu mpaka Mohamed Ali aliomba afungwe mkono wa kushoto. Nilisikia alifungwa mkono wa kushoto, alivyo fungua alivunja nondo ya...
4 Reactions
64 Replies
6K Views
Habari za weekend wakuu Baada ya jana kusambaa video ikimuonyesha waziri mkuu akimsifia ALI KAMWE kwa tathmini yake aliyoifanya juu ya simba kuvaa jezi ikiwa na neno linalosomeka 'VISIT TANZANIA'...
9 Reactions
12 Replies
2K Views
Kam una grup la wasap ambalo lipo activ na mikeka
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Hii ndio taarifa ya sasa kutoka CAF kutokana na sakata la wachezaji watatu na kiongozi mmoja wa Namungo kukutwa na corona Tusubiri taarifa zaidi kutoka CAF ambalo ndio shirikisho linalosimamia...
6 Reactions
100 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…