Mashabiki wa kikosi cha As Vita wamevamia kambi ya Simba iliyopo katika hoteli ya Rayol hapa Kinshasa muda mchache kabla ya kwenda uwanjani.
Mashabiki hao mara baada ya kufika hapa hotelini saa...
Naaaaam Barabara kabisa,
Ndugu wadau wa Michezo wa hapa Jamiiforums na kwingineko karibuni katika Live updates(Matukio Mubashara) kutokea hapa Kinshasa katika Dimba la Stade De Martyrs, uwanja wa...
Mungu kweli si Athuman,
Baada ya kusoma comments mbalimbali humu kuelekea mechi ngumu ya Simba dhidi ya AS Vita, nilivunjka moyo mno kiasi cha kula chakula cha jioni na baada ya taarifa ya habari...
Taarifa fupi toka Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika CAF inasema mechi ya kombe la Shirikisho kati ya timu hizo mbili iliyokuwa ichezwe kesho imefutwa kwa sababu ambazo zitatolewa baadaye...
Mfano, kama Sure Boy angetakiwa na Simba angeruhusiwa kwenda Simba na kama Perfect Chikwendwe angetakiwa na Yanga angesajiliwa na Azam.
Azam imejaza viongozi na wachezaji wasiokuwa na moyo na...
Rekodi ya sare yaendelezwa katika dimba la Sokoine kati ya Mbeya city dhidi ya Yanga baada ya mchezo uliochezwa hii leo kumaliza kwa matokeo ya 1-1.
Goli la Yanga limefungwa na D Kaseke dakika ya...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Kitendo cha wachezaji wa Namungo FC na benchi la ufundi na timu mzima kuzuiliwa kwenye uwanja wa Ndege wa Luanda nchini Angola ni siasa za Soka.
Akizungumza...
Baada ya mabingwa wa soka Simba kuwaduwaza makamanda wa Congo AS Vita, kwa ushindi mwembamba na muhimu wa goli moja kwa nunge.
Leo ham ya watanzania wapenda soka,masikio ya wapenzi wakandanda...
Ni uamuzi wa hiari kabisa ambao nimeufanya nikiwa na akili timamu tena bila shinikizo au ushawishi wowote.
Kwamba kuanzia leo nitakuwa Mwanachama kindakindaki wa Klabu ya Simba.
Kwamba...
Wababe wa Simba kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho leo tarehe 24/10/2018 wamechapwa magoli manne bila majibu. Hadi mapumziko wenyeji AS Vita walikuwa wanaongoza kwa mabao 2-0, mabao...
Kuelekea michuano mikubwa ya klabu bingwa barani Afrika timu Yangu ya Simba iliangalie Hili tatizo la Manula kutoka golini kuwahi Mpira bila hesabu za uhakika. Hili nimeliona sana Stars ilipocheza...
Kikosi cha Simba sports kimeondoka siku ya Jumannne kuelekea DR Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita Club.
Mchezo huo ambao utapigwa siku ya tarehe 12 Ijumaa...
Mimi nikiwa kama shabiki nguli wa mpira, naona kabisa klabu ya Yanga inapotea kwenye ramani.
Baada ya kuona wenzao Simba wakifanikiwa kwa kishindo juu ya bonanza lao la Simba Super Cup, viongozi...
Michezo miwili ya ligi kuu soka Tanzania bara imemalizika katika viwanja viwili tofauti.
Mchezo wa kwanza ambao ulipigwa saa 8 mchana, uliochezwa kati ya Kagera sugar dhidi ya Gwambina...
Ni suala la uzalendo na zuri kutangaza nchi ya Tanzania nje ya Tanzania. Timu ya Simba inapaswa kupewa heko kwa Hilo.
Simba itapata kutembelea nchi za Sudan, Misri na Kongo. Nchi hizi za kiafrika...
Baada ya kumnyuka Namungo bao 3-0 , leo KMC wamepoteza mbele ya Tanzania Prisons bao 2-1 mchezo uliopigwa katika dimba la Nelson Mandela huko Shmbawanga.
Jeremiah Juma alitosha kuiibua timu hiyo...
Kocha wa klabu ya Caen Pascal Dupraz amekuwa sababu ya ujumbe wa kukasirishwa kutoka kwa baba wa Neymar ambao umetumwa kwenye mitandao ya kijamii, baada ya Mbrazil huyo kuumia mechi ya Coupe de...
Habari,
Kuna hili sekeseke na mihemko ya kufuka machoka kwa kipindi kifupi sana kwa timu yetu ya Taifa.
Kabla ya huyu Ettiene Ndayiragije kocha ambaye tuliwapora Azam Fc kwa lazima na mbwembwe...
Nimejiuliza hadi nikakosa jawabu.
Ni kwamba wizara imefanya tathmini yake na kugundua kuwa Idadi ya wageni kutoka nje ya Bara la Afrika inatosha na kuamua kuweka jitihada za kuwatafuta wageni...