Habari wakuu,
Napenda hizi taarifa ziwafikie watangazaji wa Wasafi Sports Arena na Headquater
Kama hawawezi kutafsiri kiingereza cha hao makocha wa nje wanaoongea wakati wa kipindi basi wasiweke...
Klabu ya Paris Saint Germain (PSG) imemfuta kazi kocha wao Thomas Tuchel kufuatiwa kutoridhishwa na matokeo ya hivi karibuni.
PSG inashika nafasi ya tatu katika msimamo wa Ligi Kuu Ufaransa ikiwa...
Yaani hapa nilipo ninafuraha isiyo na kifani leo ninachinja mbuzi kabisa big up Abramovic na board nzima ya Chelsea hii ndio Chelsea tunayoijua hakuna kumvumilia mtu ukiaharibu unafukuzwa.
Kama...
Hii habari ineanza kutrend huko mitandaoni, Lampard huenda akaoneshwa mlango wa kutokea pale Stamford Bridge muda wowote kuanzia leo.
Iwapo atatimuliwa kazi, kocha gani ungependa aje arithi...
Huu ndio ukweli unaofichwa, shukrani zimwendee Mwenyezi Mungu pekee, baada ya Stars kufunga goli, dk zote zilizosalia tumepumulia mashine, kuna wakati nimeshangaa wachezaji wa Namibia kukosa...
nonda shaaban ni mchezaji pekee aliewahi kucheza ligi kuu Tz na kupata mafanikio makubwa kisoka kuliko mchezaji yoyote yule wa tanzania kwa zaidi ya miaka ishilini iliyopita unafikiri nini...
Jonasi Mkude mchezaji mahiri alisimamishwa kwa muda kushiriki soka kwa tuhuma za utovu wa kinidhamu
Hatima yake itajulikana baada ya Kikao cha Kamati ya nidhamu ya Klabu ya Simba kinachoendelea...
UFC 257 inawakutanisha tena Conor McGregor na Dustin Poirier kwa mara ya pili baada ya pambano lao la kwanza lililofanyika mwaka 2014 (UFC178) Conor kufanikiwa kuibuka na ushindi wa TKO Round ya...
Ni mfaransa, karibu sana simba kwanza tunataka utuhakikishie points atleast 4 toka kwa hao waajiri wako wa zamani.
Kocha wa klabu ya Al Merreikh ya Sudan Didier Gomes da Rosa ameachana na klabu...
Ndayiragije huyu kijana wako Lyanga ataicost timu mechi zijazo.
Anapata pass nzuri Ila hafocus kutafuta goili yeye anakimbilia kwenye Kona tu na kupigwa vyenga Kama Ronaldo, kwanza chenga zenyewe...
Huo ndiyo ukweli. Mpaka sasa utopolo fc hawajapoteza mechi Hata moja lakini endapo Simba sports club watashinda vipolo vyao wataongoza ligi. Simba kapoteza mechi mbili na utopolo hawajapoteza...
Kama nilivyoeleza hapo awali hizi ni baadhi ya trick za kushinda dubwi bila hata ya kutumia nguvu wala muda mwingi.
Nimeamua kuja na uzi huu ili kuludisha pesa zetu zilizokuwa zinasafiri kwenda...
Katika Mataifa ya kusini mwa Africa huwa nawahofia SA wenyewe, Zambia na Angola. Hawa waliobaki kama Botswana, Namibia, Malawi ni saizi yetu. Msumbiji wana utata kidogo lakini si kivile...
Baada ya kuwa nje ya ulingo kwa mwaka mzima, hatimaye bingwa wa ndondi wa uzito wa juu duniani anayeshikilia mikanda ya WBA, WBO na IBF anatarajiwa kurudi tena ulingoni jumamosi hii. Sikuhiyo...
Hasira yangu kwa Kocha Mkuu wa Taifa Stars kwa Kuwaacha Wachezaji wangu wazuri na waliokuwa katika Kiwango kikubwa sasa Beki Mohammed Zimbwe Hussein (Simba SC) na Kipa Metacha Boniface Mnata (...
Shikomooni wakubwa zangu
Moja kwa moja bila kupoteza muda twende kwenye mada
Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania (VPL) imeshika namba MOJA kwa ubora Afrika Mashariki , namba NANE barani Afrika na namba...
Jamani ukiachana na ibada mpira nao unaweza kuwa kwenye rank ya kukusanya kundi kubwa la watu wenye mitazamo tofauti.
Mpira raha sana hasa pale unaposikia timu usioipenda imefungwa. Mimi ni...
Kuna tetesi kuwa muda wowote club ya Simba SC inaweza kumtangaza Florent Ibenge Raia wa Congo kama kocha wao mkuu.
baada ya kuvuja kwa picha akionekana akifanya mazungumzo na mtendaji mkuu wa...