Wakuu natanguliza Uzalendo na naomba kujibiwa kama kuna anayefahamu .
Kwamba kama kuna raia wengi wa nchi zingine wanafundisha soka nchini mwetu , basi bila shaka kuna watanzania pia...
Kama ningekuwa refa yeyote atayembutua huyu dogo kiwango hiki ni red card. Nadhani ukilima kadi wawili hawatarudia. Kinachomsaidia ni kuwa flexible na anapiga judo, tofauti na hapo angeshafunjika...
Hapa katikakati umemlazimsha mkwambi aliyechaguliwa na wanachama ajiuzulu ili mipango yako ovu ya kujimilikisha Simba ikamilike
Kumbuka mkwambi amechaguliwa na wanachama wewe unamfukuza kazi...
mara paap Simba tumechukua ubingwa wa VPL,Azam FC kawa mshindi wa pili, Ruvu shooting kashika nafasi ya tatu na Azam confederation Cup(FA) kabeba Namungo hatuombei ila najaribu kuwaza watani...
Tangu jana nimekuwa nikisikia maoni ya watangazaji wanaoonesha wazi kuumizwa na matokeo ya Simba hasa kwa kuwa yamewa prove wrong.
Wamekuwa wakitumia vyombo vya habari kuikejeli kwa maneno mengi...
Uchaguzi Mkuu wa RT unatarajiwa kufanyika mwishoni mwa mwezi huu wa kwanza, huku nafasi ambazo zitahitajika ni nafasi ya Rais na Makamu wake pamoja na Wajumbe 6, ikiwemo moja ya Viti Maalum...
Premier League, ligi kuu soka ya Uingereza ikifahamika vyema hapo awali kama BPL kabla ya mabadiliko mnamo mwaka 2015 toka BPL iliyokuwa ikiuza kupitia chapa ya Barclays Premier League chini ya...
Bakari Mwamnyeto Kasajiliwa kwa Bei ya juu na Yanga SC na Gari bovu ( japo aliambiwa ni jipya) ila anaishia tu Kucheza VPL, Mechi za Kirafiki za Chamazi na ile Michuano ya Kombe la Mapinduzi...
Mchezo wa michuano ya Klabu bingwa barani Afrika umepigwa hii leo katika Dimba la Benjamin Mkapa Jijini Dar es salaam ambapo Wekundu wa Msimbazi Simba alikua nyumbani akiikaribisha FC Platinum ya...
hii ni hatua kubwa sana kwa simba mwaka juzi tulikuwa pot 4 leo tuko na kina as vita pot 3,way to go champions
#CAFCL Group Stage Draw
POT1
Al Ahly SC
TP Mazembe
ES Tunis
Wydad Casablanca...
Nampongeza Kocha wa Simba kwa kazi nzuri anayofanya hakika anastahili, Mitano tena.
Kwa falsafa yake yeye anachojali ni kuvuka stage moja na kuendelea na mashindano , hii itatufikisha mbali...
Simba SC have been placed in Pot 3 for Friday's Caf Champions League group stage draw to be conducted in Cairo. As a result, the Msimbazi-based charges have now been placed in Pot 3 alongside...
Hellow Football Fans..!!
Kwenye soka kuna kuna aina mbalimbali ya vionjo vinavyochochea burudani zaidi.. Kuna style nyingi za kushangilia magoli pale mfungaji anapofunga na kushangilia goli lake...
Nimekuwa shuhuda siku ya leo majira ya alasiri wakati timu ya Platinum kutoka Zimbabwe ikipokelewa uwanja wa ndege JNIA.Ukweli zile mbwembwe na amsha amsha kutoka kwa wenzetu 'Wananchi' kwenye...
Fainali ya kombe la EFL Cup maarufu kama Carabao itapigwa siku ya tarehe 25 Aprili 2021 katika Dimba la Wembley ambapo inamkutanisha Bingwa mtetezi wa kombe hilo, Manchester City dhidi ya...