Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

JF Prefixes:

Taasisi ya kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imefanya mawasilino na Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ili kuchunguza ushiriki wa Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) Wallace Karia...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Barua ya wazi kwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa Utamaduni na Michezo Kwako Dkt. Hassan Abbas Hatuna shaka kwamba wewe nikiongozi makini na unayefuatilia nakusimamia mambo kwa weledi...
7 Reactions
42 Replies
3K Views
Nilikushangaa sana Wiki hii nzima nilipokuwa kila nikipitia Kurasa zako za Mitandaoni na ukawa unamsifia kwa Mikogo yote huku ukimpamba mno Mchezaji wa Kiungo wa Azam FC Aboubakary Salum 'Sure...
11 Reactions
25 Replies
3K Views
Achaneni na Simba jana wamecheza na team Dhaifu. Sisi leo tunamchakaza Namungo macho makavu kabisa. Miundo mbinu imeshafanyika analala kwa Bao 3-0 mapema tu. Namungo hamna kitu hapa. Hawa...
6 Reactions
49 Replies
4K Views
Simba SC Hadi hivi sasa Kikosi cha Mabingwa Watetezi wa VPL Simba SC kimefika salama nchini Erthiopia ambapo leo ( usiku ) huu kitalala katika Hotel ya Sheraton hadi Kesho tayari kwa safari ya...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Mchezaji Emmanuel Dennis (23) wa club ya club brugge (Belgium) raia wa Nigeria hapo jana alijikuta akiondolewa kikosini baada ya kupigana na mchezaji mwezie akigombea siti ya dirishani. Hali hiyo...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari! Nimesikiliza interview moja muda si mrefu ya Mwakinyo ambaye ni bondia bora kwa sasa Tanzania na Africa pia. Huyu jamaa jinsi media zilivyomu-attack baada ya ushindi wa juzi wa pambano...
10 Reactions
27 Replies
3K Views
Itakuwa ni jambo la faraja sana kwake maarifa yake ni muhimu kwa bench la ufundi, Manula ni kipa mzuri hatuhitaji kuendelea kuthibitisha hili lakini anahitaji mwalimu atakae kuwa mfano halisi...
8 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimeona video ya mashabiki wa Yanga wakilalamika waamuzi kusikitika namungo kukosa penati ,hii imekaaje au walijua kinachojiri .mhh haya twendeni tutajafika tu
4 Reactions
39 Replies
5K Views
Namshauri Mo Dewji ashirikiane na Diamond Platnumz kuunda timu ya Wasafi Football Club. WASAFI ni blrnd yenye nguvu sana nchini Tanzania na Afrika Mashariki kwa ujumla. Wasafi media imepata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League VPL' kuendelea kupigwa leo November 22, 2020 kwa mchezo miwili. Kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera, Kagera Sugar inavurumishana na Mwadui...
3 Reactions
122 Replies
11K Views
Shafii Dauda ni mchambuzi wa soka ambae yuko negative sana na soka la Tanzania especially Simba. Tangu simba walipoanza kushiriki michezo ya clabu bingwa mwaka huu, amekuwa akitoa maneno ya...
3 Reactions
19 Replies
4K Views
Kwa kifupi, nani anaefahamu bifu la Man U na Liverpool lilianzaje mpaka kushindwa kuuziana wachezaji?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Shirikisho la Soka Ulimwenguni (FIFA) limemfungia Ahmad Ahmad kutojihusisha na soka kwa kipindi cha miaka mitano. Kamati ya Maadili ya FIFA imemkuta na hatia ya kufanya makosa yanayokiuka kanuni...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Toka nianze kupenda soka sijawahi kuona mchambuzi uchwara kama Dauda. Wabongo wengi wamepewa fursa za kuzungumza na kusikilizwa lakini kichwani hakuna kitu....giza nene Wanaomfahamu zaidi watupe...
15 Reactions
291 Replies
70K Views
Papaa molinga yanga wamemsema sana.. ila timu kubwa ya zesco imeamua kumsajili.. Ikatokea molinga akafanya vizuri zesco.. scout wa yanga pamoja na viongozibmkwassa na msolla watawajibika yanga...
3 Reactions
21 Replies
4K Views
Huu ni shauri wa bure kabisa. Sio sheria,hutaki unaacha Nimefuatilia ghazabu za mashabiki lialia wa Simba dhidi ya Shaffi Dauda na kuona tunakoelekea sio kuzuri. Shaffi ameonekana kuwaudhi zaidi...
5 Reactions
43 Replies
5K Views
VP wakuu taifa stars kuna uwezekano wa kufuzuAfcon 2021? Mech kati Libya na equtotia Guinea na taifa stars ni lini???
0 Reactions
2 Replies
657 Views
Juzi kati nilikuwa nasoma majina ya Wachezaji walioitwa kwenye Timu ya Taifa ya Zambia na Kocha Mkuu wa timu hiyo Bw. Micho. Nilistaajabu nilipoona jina la mchezaji na kiungo pendwa wa ligi yetu...
11 Reactions
70 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…