Na hapa ndipo Kipimo halisi cha aina ya Wanamichezo (hasa wapenda Soka) wa Tanzania walivyo ukichanganya na Waandishi wa Habari na Watangazaji wa 'hovyo hovyo' tulionao Tanzania kwa sasa. Yaani...
1.Manula
2.Kapombe
3.Zimbwe
4.Onyango
5.Wawa
6.Nyoni
7.Miquisonne
8.mkude
9.Bocco/Kagere/Mugalu
10.Chama
11.Morisson
Hiki kinatakiwa kuwa kikosi dhidi ya Plateau Utd nje ndani
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Vodacom Premier League (VPL), kuendelea kuvurumishwa leo November 21, 2020 kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha, ambapo Wagosi wa Kaya, Coastal Union...
Kukiwa na tuhuma mbali mbali juu ya upangaji wa matokeo, ambapo timu ya Simba ilishapeleka mashitaka yao juu ya tabia ya upangaji wa matokeo ndani ya ligi kuu unafanywa na klabu ya Yanga kupitia...
Patashika ya Ligi Kuu Tanzania kuendelea kuvurumishwa leo Oktoba 27, 2019 ambapo Singida United wanawakabili Mabingwa wa Nchini Simba SC Mnyama Mkali Mwituni, kwenye dimba la Uwanja wa Sheikh Amri...
Baada ya Taarifa ya jana kutoka tume ya ushindani kuwa uongozi wa Simba ndio wanaochelewesha mchakato wa mabadiliko, leo uongozi wa Simba wamekuja na majibu.
1.Mo ni mfadhiri wa Simba au ni Mmiliki wa Simba?
2.Kama ni Mmiliki huo Umiliki umekamilika lini? hizo 49% kazipata lini? Pesa zake ziko wapi?
3.Kama yeye ana 49% na Club ina 51 % kwanini yeye...
Ligi kuu bara inaendelea leo kwa timu ya Simba na Coastal Union zitakutana katika mzunguko wa pili, ikumbukwe Simba ikishinda leo moja kwa moja wanaenda kuongoza ligi na kupata nafasi nzuri ya...
Pole sana Mzee Hamis Kilomoni na Siku zingine ujue kwamba nchi hii ni zaidi ya Wewe pamoja na hao Wanaokutuma au Kukutumia. Wenye Akili walikushauri sana kuwa tulia ili uheshimike zaidi lakini...
Hii ni habari mbaya kwa washabiki wa GSW waliotegemea kupambana na Lakers msimu huu baada ya kuburuza mkia kwa sababu za majeruhi msimu ulioisha.
Tuendelee kusubiri mpaka msimu mwingine tena, ila...
Walizimiwa umeme kwenye vyumba vyao vya kubadilishia nguo kabla ya mechi! Zama hizi kweli tunafanya ujinga huu? Daah soka letu lina safari ndefu sana...
Commoros ni visiwa vilivyojirani sana na nchi yetu lakini kwa miaka mingi walionekana mpira sio fani yao kabisa. Ambapo vilabu vyao kufungwa 8,7,6,5 na simba,Yanga hata na Mtibwa nilikuwa jambo la...
Baada ya mechi kati ya Yanga na Simba pamoja na kuwa na waamuzi 6 ilishuhudia maamuzi ya ajabu kama penati ya makosa yaliyofanyika nje ya 18, rafu bila kutolewa kadi, game kupozwa bila sababu na...
Nimekaa nimewaza sana. Hivi sisi Watanzania kuna wachezaji wengi wa kutoka nchi za nje wanakuja kucheza huku kwetu, na wengineo wana viwango vizuri tu ila timu zao za Taifa wanakotoka hawapati...
Tunisia 10 wanafuzu kucheza AFCON 2021 baada ya sare ya 1-1 dhidi ya Tanzania [emoji1241].
Equatorial Guinea [emoji1095] wanashika nafasi ya pili kwenye Kundi J kwa pointi 6, Tanzania nafasi ya 3...