Rais wa Shirikisho la soka la Afrika Kusini (SAFA) Danny Jordaan amekamatwa kufuatia madai ya kutumia pesa za Shirikisho hilo kujinufaisha binafsi, kwa mujibu wa vyombo vya habari nchini humo...
Hali ilivyo kwenye hafla ya kukabidhiwa Sh20 milioni kwa Tabora United baada ya kuifunga Yanga.
Tabora United imekabidhiwa Tsh. 20 Milioni na Mhe. Paul Chacha Matiko Mkuu wa Mkoa wa Tabora ambayo...
Kuporwa Prince Dube kibabe ndio kulifanya Yanga na Azam wawe na beef hadi kupekekea video zao wakiroga na kujidunga dawa za kujiongeza nguvu zivuje hali iyopelekea kuhama huo uwanja...
Michuano ya FIFA Club World Cup ni michuano mikubwa duniani inayoendeshwa na FIFA.
Michuano hii itafanyika mwaka 2025 kwa miezi ya Juni hadi Julai. Michuano itafanyika ikiwa na timu 32.
Fikiria...
“Mimi nalipwa hela nyingi, sasa nawezaje kuwa Chawa Mtu mwenye Ubalozi wa Kampuni zaidi ya 20, nani ananiweza Nchi hii kwa Ubalozi? tena sio kampuni ndogo Mimi sitangazi nyanya ya kopo, mmeshawahi...
Hapo vip!!
Kwa uzito wa jambo hili kutokana na madhara yake kwenye ulimwengu wa soko sio swala la kufumbia macho au kuliongelea na kuliacha hewani,hewani.
Nafikiri tuchukue hatua zaidi ya...
Mtasababisha akamiwe kupitiliza kwa upuuzi wenu wa kumpa sifa nyingi kwa mechi Moja.
Nkane usivimbe kichwa kwa sifa za kipumbavu. Kataa sifa hizo za wajinga ongeza juhudi kazini.
Licha ya kuwa mpira ni haramu kwa mujibu wa mafundisho ya dini yangu lkn kama mimi kama msomi sinabudi kuchambua mchezo huo.
Tuanzie hapa.
Yanga na simba ni timu kongwe sana Tanzania, ni timu...
Nyota wa Klabu ya Simba, Joshua Mutale, hatoshiriki kwenye mechi za kufuzu michuano ya AFCON 2025 ambazo Zambia itacheza kwenye tarehe za FIFA, Novemba 15 na 19.
Mutale, aliumia katika mchezo wa...
Bondia wa Ngumi nchini Karim Mandonga ametamba kuonyesha Ngumi ya SGR katika Pambano la Ngumi ya Tanga litakalofanyika Novemba 16 likiwa ni kuhamasisha wananchi kushiriki kwenye uchaguzi wa...
Leo wakat naenda dukan kupata mahitaj nikakuta pembezon mwa duka kuna vijana wameva jez nikajua fika hawa ni wachezaji.
Wakat nikiendelea kufanya manunuz mmoja akanifuata akanambia...
Wakuu
Mmesikia huko?
Mkuu wa Mkoa wa Tabora, Paul Chacha, ameahidi kitita cha shilingi milioni 50 kwa timu ya Tabora United iwapo itaibuka na ushindi dhidi ya Simba katika mchezo wao ujao...
Huu ni ujinga. Siku zote hamkufunga cameras. Tumekuja sisi mnataka kufunga CCTV. Maana yake sisi ndo tatizo? Acheni huo ujinga.
Kuna nini cha kusema hizo cameras zitalinda pale uwanjani? Mbona...
Kwa takribani saa 48 sasa kuna mambo kibao yanaendelea ndani ya Simba.
Tajiri Mohamed Dewji ‘MO’ ameingia msituni mwenyewe. Ameamua kufumua kitu kimoja baada ya kingine kwa vitendo katika...
VIA FIFA LEGAL PORTAL Young Africans Sport Club
Miami, 11 November 2024
Ref. no. FDD-20161 Registration ban implementation
Dear Madam, Dear Sir,
We refer to the abovementioned matter, as well as...
Coach mashuhuri mwenye mbinu za kimafya anajiunga na timu ya ndoto yake Young Africans.
Coach Moallin ameaga uongozi na wachezaji wa KMC Sasa anaingia timu ya Wananchi
Sasa Dube atafunga magoli...
Simba Queens imeendeleza ubabe dhidi ya Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake uliochezwa Uwanja wa KMC Complex jijini Dar es Salaam.
Bao la Vivian Corazone limetosha kuipa Simba pointi tatu...
Nimeshangaa kujua kumbe Azizi Ki aliyekosa Penati siku Yanga inacheza na Tabora United, aliwaongoza wachezaji wenzake wa Yanga kuishuhudia Simba ikiidungua TABORA UNITED 3-0 Agosti 18 2024.
Sasa...