Habari wanajukwaa?
Leo kwenye pita pita zangu mitandaoni nimekutana na hiyo mada instagram iliyoandikwa na mchambuzi wa michezo pale Azam tv anaitwa Alikamwe, ameandika mengi kuthibitisha...
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limezitaka Klabu zote za Ligi Kuu kuwasilisha wasifu au CV pamoja na vyeti vya Makocha wao wote hadi kufikia Septemba 15, 2020
Taarifa iliyotolewa na TFF imesema...
Kwa wale washabiki wa Yanga na baadhi ya watangazaji wanaolalamika kuhusu habari za Yanga kutopostiwa kwenye pages za CAF Champions League
Kwanza mnatakiwa mfahamu kama haushiriki mashindano ya...
Taarifa iliyopo ni kwamba Rostam Aziz amekubaliana na Yanga kununua share 29% halafu GSM wao kununua 20% na wananchi kubakiwa na 51%.
Walikuwa wanaona simba inapotea kumpa Mo 49%,nao pia...
Kaseke siyo mtu wa kuanza daaah TUMEFELI SANA KEPTENI GANI YULE
Kaseke hafai, chimbi hafai mchezaji wa bei ghali carlinhos kakasirika kaenda vyumbani kabla mpira haujaisha, mwambusi hafai...
Nimeona baadhi ya wachambuzi maandazi wamepata jambo la kuongelea wiki hii nzima baada ya Kigwangala kuhoji uteuzi wa CEO mpya wa Simba.
Kifupi tu namuomba aache kuleta uswahili na choko choko...
Wakuu,saluti kwenu.naamini wote jana mlishuhudia mechi mbili tofauti za watani wa jadi.Wakati naangalia mechi ya mnyama mkali na Ihefu nilishangaa mashabiki na wapenzi wa Yanga wakibeza matokeo ya...
Moja ya Habari iliyotamba kwenye duru la michezo na kwenye mitandao ya kijamii nchini mwishoni mwa wiki ni klabu ya soka ya Simba kumpata Afisa Mtendaji Mkuu mpya mwanamke , Barbara Gonzalez...
Msimu ujao haupo mbali sana, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwajili ya msimu unaofata. Uzi huu utakuwa unatoa updates za jezi hizo mpya, huku tukitoa max zetu kuhusu jezi nzuri na...
NATUMIA MANENO MACHACHE-Nilichokiona jana.
Yanga ni ileile,kilichobadilika kidogo ni watu. kuna wachezaji wapya ambao wanasifa zao binafsi.
hadi dk ya 30 Yanga ilikuwa haijafanya shambulizi...
Patashika ya ligi kuu Tanzania Bara VPL, kuanza leo Jumapili 06, Septemba 2020. Leo zitapigwa mechi sita(6) katika viwanja mbalimbali. lakini katika uwanja wa Sokoine kuna bonge la mechi kati ya...
Salaam Wananchi Wezangu
Sisi Washabiki wa Dar Young Africans tunatangaza Wazi kuwa alichotufanyia Hamisi Kigwangwala ni Hujuma dhidi ya Wananchi, Alijitengezea Mgogoro na MO Dewj akatuhadaa sisi...
Kwanza nianze kwa kusema kuwa mimi ni shabiki kindakindaki wa Yanga, japo miaka miwili iliyopita nilijipa likizo ya kutoifuatilia. Hili la kutoifatilia ilitokana na timu yangu hii kuwa na mambo...
LIST YA WACHEZAJI WAPYA WALIO SAJILIWA KWA MSIMU 2020/2021
AZAM FC
1. Alain Akono
2. Prince Dube
3. Emmanuel Charles
4. Davi Kissu
5. Awesu Awesu
6. Ismail Aziz
7. Ayoub Lyanga
BIASHARA UNITED...
Mechi live kila mwenye access atupe updates
Kila la heri asukile uwanyooshe jiesm
========
Kipindi cha Kwanza
Goal dk ya 7 Lambart nje ya 18 anawatanguliza Prisons
Yanga 0-1Tanzania Prisons
ukweli ni kuwa mourinho anasumbuliwa na frustration za moto wa guardiola hadi ameingia chaka kwa sanchez. sanchezi ni kiazi kwa sasa na hatoipa mafanikio yoyote man u
mwezi wa tano mwaka huu 2018...